Professional Documents
Culture Documents
Nnje Ya Muda
Nnje Ya Muda
(OUT OF TIME)
13.
Camera inaonyesha rafiki yake na
huseni akiagiza vijana wake
wamkamate Yule meneja mtarajiwa
atakapokuwa akienda kwenye
interview wanaitikia wito huo.
14.
Camera inaonyesha Juma akitoka
usingizini kutazama saa anajikuta
amechelewa yupo nje ya muda saa nne
na dakika 10 asubuhi, anakurupuka
kunawa uso na kuvaa nguo haraka
kasha anaondoka kwa haraka
15.
Camera inaonyesha muda si rafiki
zimebaki dakika 5 anakutana na jamaa
ana baiskeli na kuomba lift ili ajaribu
kufika kwa haraka japo yupo nnje na
muda kwa bahati mbaya wanakutana
na watu njian wasio julikana na
kuwasimamisha,wanawakamata na
kuondoka nao mpaka kwa rafiki yake
na Husen (mafia).
16.
Camera inaonyesha kwenye
kampuni Bosi akisubiri watu wa
kuinerview na juma akiwa mmoja wapo
anajaribu kuwatazama kwani mda
ulikuwa umeisha kati ya watu
anaowategemea Juma yupo lakini
anapotoka nnje anashangaa hamuoni