You are on page 1of 2

MAAMUZI YA TUME YA KISERA KUHUSIANA NA UPIGAJI KURA

NA
.

CHANGAMOTO

ATHARI

MAAMUZI

1.

Kutofautiana kwa namba ya kadi ya Mpiga


Kura ile iliyopo kwenye Daftari la Kituo
wakati taarifa nyingine zote zimo kwenye
Daftari.

Wapiga Kura wenye sifa za


kupiga kura kukosa haki ya
kupiga kura.

Kwa Mpiga Kura ambaye atakuwa na kadi


ya Mpiga Kura ila namba ya kadi
ikatofautiana na namba iliyo kwenye
Daftari la Kituo: Aruhusiwe kupiga kura.

2.

Kutoonekana vizuri au kutoonekana kabisa


kwa picha ya Mpiga Kura aliyejiandikisha
katika kadi ya Mpiga Kura ili hali taarifa zake
nyingine ziko kwenye Daftari la kituo sawa
na zile zilizoko.

Wapiga kura wenye sifa za


kupiga kura kukosa haki ya
kupiga kura kwa picha zao
kutoonekana kwenye Daftari la
kituo.

Kwa Wapiga Kura ambao picha zao


hazikuonekana vizuri au kutoonekana
kabisa kwenye kadi ya Mpiga Kura:
Waruhusiwe kupiga kura hata pale
ambapo
picha
zao
hazitotokea
kwenye Daftari.

3.

Mabadiliko
ya
mipaka
ya
kiutawala
yaliyofanyika wakati au baada ya zoezi la
uandikishaji kukamilika.

Majina ya maeneo mapya ya


kiutawala
kutofautiana
na
majina yaliyopo kwenye kadi za
Wapiga Kura.

Kwa Wapiga Kura walioandikishwa na


Tume waliopo kwenye maeneo mapya
kiutawala na majina ya maeneo hayo
yanatofautiana na majina yaliyopo kwenye
kadi zao: Waruhusiwe Kupiga Kura.

4.

Wapiga Kura wasioonekana kwenye Mfumo


wa
Daftari
lakini
wana
vitambulisho
vilivyotolewa na Tume na fomu zao za
kuandikishwa kufikishwa Tume.

Wapiga Kura hao kukosa haki


ya kupiga kura kwa kuwa
majina
na
picha
zao
hazionekani katika mfumo wa
Daftari.

Majina ya Wapiga Kura hao kuandaliwa


katika mfumo wa orodha bila kuwa na
picha
na
kupelekwa
katika
vituo
walivyojiandikisha: Waruhusiwe kupiga
kura.

5.

Wasio na kadi za kupiga kura lakini majina


yao yapo kwenye Daftari.

Hawataweza kupiga kura kwa


kuwa hawana kadi.

Wapiga kura ambao majina yao yamo


kwenye Daftari la Kituo lakini hawana kadi
ya kupigia kura:Wasiruhusiwe kupiga
kura.

6.

Wapiga Kura wenye kadi za kupigia kura


lakini taarifa zao hazipo katika Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura.

Hawataweza kupiga kura kwa


kuwa hawapo kwenye Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura.

Kwa Wapiga Kura ambao wana kadi ya


kupigia kura lakini hawapo katika Daftari,
wasiruhusiwe kupiga kura.

You might also like