You are on page 1of 5
‘REVOLVE Revolve,v. sunguka, pinduka,geuka; (consider) wasa moyoni, fikirsfikiri. Revolver, n. bastola [ya midomo mi- ngi, ya mashindo mengi). Revulsion, n. mageust ya moyo; (disgust) machukio, Reward, v. -fa sawadt, tusa, toa bakshishi, pa pesa, liga, jas 3 (for thing Tost) diotost 3 (for work) sara, wjira; (in competition) /#20; (present) sawads, bakshishi (Taz. Present, n.). May God reward you, Muungu akujasi heri, Mun- ngu akuweke. Reynard, n. [ ina la mbweha katika hadithi|. Bhapsodical, a. 4ama Rhapsody. Bhapsodist, n. mwandikaji wa Bhapsody. Rhapsody, n. [maneno yahyobunika pasipo akili wala kufungamana, ‘ama mapayo, kama kuota ; (poeti- cal) fungu la utensi). Rhetoric, n. ehimu ya usemayt, 13 mafi ; (eloquence) #fasaha wa sema; (1 smbast) Aucema dea dujé- ouna| fw fahart| bupigadomoin- accurate statement) stwongo, ¢ Bhetorical, n. -a usemayi; (not seri. ous) -a Aufanya usurt, -sto kweli. Rhetorioian, n. msemayi, mwalimu wa kufundisha usemajs. Bheum, n. delghamu (Ar.). Bheumatic, a. -¢ Rheumatism. Bheumatism, n. uweli wa viungo, baridi yabis BRheumy, a. -a belghamu. Bhinoceros, n. 4ifaro (v:-}. Bhomb, aeeoeae n. [sanamu M1} nne sawa, na “aie sf mrabba Bhomboid, n. (4ama Rhombus, /a- Aint pande silisolekeana tu sawa). Bhyme, n. [mashairi yenyi sauti mwishoni sawa, sauts sa mwisho sawa], kina; (poetry) mashatri, Write rhyming verses, fanya kina cha mashairi, tia vina, —— v. -wa sautt sawa muwvishoni, wa na kina. 886 RIDDLE Bhymer, n. mwandikaji wa Bhyme. 1, 8. -enyi Ehyme, -a aina. Rhythm, n. slinganifu wa santé, mfuatano msuri wa sauti, usoni (Ar). Bib, n. ubavu [mbave]; (of ship) taruma[ma-); (of cocoa-nut | eam mal Ribald, a. -a Autukana, Ribaldry, n. matukano, matusu. Ribbon, Riband, Ribband,n. usepe loci (rowing) mpunga:: (grain) ice, n. (growing) my (grai mchele; (cooked) wall; (ground) unga; (burnt in cooking) séoko ; (A dish of) tice and ish, wal Fwa samaki, Rich, a, (man) fajsri [ma-], -enyi mali,-kwasi; (country ~enyimalt ; (soil) -@ dusaa Sana; (abundant) -ingt, tele; (colour, &c.) -2gt,-surs ; (taste, &c.) -tame sana. Kich in metals, -enyi madini tele. Get rich, tajirika, nafisika, Riches, n. mali, utajiri, ukwasi ; (abundance) wing. Richness, n. wings, neema, mbarake ; (value) thamans ; (productiveness) tesaayi,neema;(colour, dress) ssurt, urembo ; (taste) stares, Biok, n. "(chang ya majant ma- Riokets, n. [uthaifu wa watoto). Ricochet, n. [Awenda rukaruka chins, kama lisast ya ak eit mbali). Rid, v. (p. t. ee nee pone, toa, Rid of anxiety, toa mashakani. He is rid of his trouble, ‘ametoka na taabu. Rid of, ondolea, twalia, Sungulia. Be rid of, okoka hatiha, ondokewa. Get rid of, pois au- okoka hatika, jiomdolea, Riddance, n. Auokoa, bee. Ridden, pf. t. ya Ride. aaa 2 hitendawik [vi-], i ere) hayamba > Make a riddle, vega. —_—v “oma kwa fumbo; chomachoma, suasua. RIDE Ride, v. (p. t. Rode, pf. t. Ridden) twa [na gari ao frasi); (of ship) clea baharini. lt is riding at anchor, tmetia nanga. —— n. [kupanda frasi, matembest wa frasi, mahali pa kutembea Awa frasi), Rider, n. manda frasi; (added clause) [maneno ya siada, maneno ao sharti thiyotiwa juu ao baadaye, nyongeza). Ridge, n. mgongo [mi-]; (of furrow) + mfuo (me) 3 (in gardening) tuta [ma-]; (of roof) utiko, mwamba, Jus st ‘yanyumba); (of hills) mgongo, ‘ele, Ridicule, v. cheka, fanyisia msaha, thihaki. —— n, msaha, thihaka, Ridiculous, a. -2 kuchekwa, -a ku- chekesha, -a maaha, -teshteshi. 4-0 Riding, a. -2 kupandika (frasi], -a kutumika kwa frasi. —— n. kupanda frasi, mwendo kwa Rife (Be) v vumika. Rifle, v. teka, nyang’anya, kumba. —.. bubki [ya nguou, yenyt mifuo ndani). Bifleman, n, (asikari mwenyi Bifle]. Rift,n. ufa[ny-], shimo|ma-), bonde. Big, v. pamba (chombo), tengenesa. — n. pambo [1a chombo}. Rigging, n. pambo (matanga, kamba, &c., ya chombo}. Right, a. (side) - -@ upande wa kuume, . ~a mkono wa kulia; (good) -2 haki, -a adili, -ema, -suri; (exact) sawa halist, barabara; (fitting, true) -a Aweli, -a bufaa, aur wdjibu. A right angle, ya mrabba. All right, syema, vema, Be (earn out) right, elehea, ongokea. tengenesa, simamisha, weka .. sawa [viseri]; (get justice for) patia haki; be upright) simama Sawa: —— adv. vema, njema; (enactly) stawa, haswa; (very) sana. Right Teverend, -a heshima sana. . wa -ingt, chaga, enea, —y. 337 BING Right, n. (justice) Aaéz; (morality) adili; (goodness) wema; (truth) Aweli; (correctness) usawa, uha- list; (side) up~ande wa kuume, mkono wa kulia, Put to rights, tengenexa. On the right, Auumeni, Awa mkono wa kuume. A man’s rights, [mtu astakiliyo kupewa ao Aupata|. The rights of man, [ ya- mstahiliyo kupata killa mwana- damu). Righteous, a. pasi~o thambi. pasipo hatiya, -a haki, -ema,-suri,-a adili. Righteousness, n. wema mie fee na thambi, utakati en, -a hakt, -a adili, -ema. Rigid, a. -siopindikana, -siokunyika, -gumu, yabis, thabiti; (severe) -hali. Berigid, Aazana, pindamana. Bigidity, n. Auwa Rigid, Autopinds- hana, ugumu, uthabiti. Rigmarole, n. mapayo, upust. Rigor, n. (shivering) setemeko [ma-], mtetemo (mi-}. Rigorous, a. -kali, -gumu; (precise, exact) hali Rigour, n. ukali, Rill, n. ditto kidogo, mchirist (wed-1. Bim, n. uhingo [kingo), hando, msi- ngo. * Rime, n. = Frost. Rind, n. ganda (ma-] ; (hard) gome [ma-] ; (of squeezed fruit, &c.) kaka. Ring, v. (p. t. Bang, pf.t. Rung) (sound) /#a; (make sound) piga (Aengele] ; (make a noes oe na elele, Vuma sana —— n. pele Ae hecte) mviringo, a (or a &c.) uwanja [wa kuchesea mashi- ndano); spectators) Jjamit ya watn wakikuthuria; (sound) mito | wa madini, kengele, &e.]; (society) {sharika la watuwenyi shauri moja, sayidi wapiganao masharti yafetha © Awa mashindano]; (ferrule) roleo {ma-], pete; (on sword-sheath) ukoa abet ‘of bells) sami? [ya Aengele nyingi). Nose-ring, asama, Lip-ring, ndonya, Ear-ring, pete z RBING-DOVE ye sikio. Make a ring, Bend into a ring, pela. petana, petema- nisha,viringanisha ; (gather round) sunguka, kutanika, huthuria, Ring-dove, n. hua. Ringer, n. mpiga kengele. Ringing, a. -2 sauté kubwa, -a husi- hika, -a makelele, -a mshindo. Ringleader, n. mangulisi, mkuu [wa jambo ao shauri baya, wa watu wataya). ‘Ringlet, n. songo la nyele, msokoto. Ringworm, n. choa. Rink, n. (satafu yenyi utelesi, ya Auchesea). Rinse, v. osha kwa maji, chovya- chovyas (the month) piga funda, Riot, n. filina, makelele, uthia, jeuri, ulevi, — v. fanya fitina, &c. Run riot, potoka, fanya vyo vyote, fuja mali. Rioter, n. mfanya fitina, &c. Rioting, n. = Riot, n. Riotous, a. -@ Riot, n. Rip, v. pasua, rarua, hata, tatua, tumbua. Bipe, a. -bivu, -pevu; (ready) ta- yars; (complete) Aamili, -timilivu, Of ripe years, -sima. aoa tvisha, pevusha, komasa, neut.) #va, a, komaa; (per- fect) ee em hamilisha ; Ore. pare) fanya tayari. Ripeness, n. wdivu; ukamilifu, usitawi. Ripple, n. viwimd:. (perfection) — . fanya viwimbi, lia kama viwimbi, Rippling, a. -a viwimbi, -a mlio([-a mfano| wa viwimbi, Rise, v. (p. t. Rose, pf. t. Risen) |. enda jun, inuka, panda, Rwea; (above others) nyanyuka; (stand up) stmama, ondoka ; (appear) to- ea; (increase) scha, sidi; (advance) pata cheo[ubele, utajirt) ; (rebel) fanya jfitina [maasi); (cease sitting) vunjika [barasa, ” &c.), isha; (originate) toka, -wa 338 RIVER na asili [na mwanso], ansa dough) wmka; (sun, &c.) ¢ panda’; (from death) fufuka, Rise in price, Awea, panda, ghalika. Risein importance, ongeseka nguvu. Rise, n, Aupanda; (raised ground) mahalé kupanda, ikilima; (degree of elevation) Aadir? ya Aupanda ; (increase) maongezo, ku- sidi; (advance) macndeleo; (origin) asili, mwanso; (flow of tide) £e- jaa; (of sun)’ kuchomosa, macho. Give rise to, toa, fanyisa, anzisha, Bisen, pf. t. ya Rise. Risibility, n. Auwa Risible. Risible, a. -a kucheka, -a kuchekesha. Rising, n fing, Auast; (ascent) ansa; (as —a-e hupandas (progressing) ~ -a Auendelea, hodari, -pasi. tising generation, vijana wa nes Aisi, Rising ground, Ailima, Hiduta (vi-). Risk, n. hatari, mashaka; (chance) bahati, At the owner's risk, fuse yoke mwenygi. Insure against tisk, fanya bima, lipa jukum. Run a risk, ingia Aatarini, sihatirisha, Jasiré. — v. hatirisha, bahatisha. 1 will tisk it, Aasara kwangu, yuu yangu, Risky, a. -a hatari, -a mas! Rite, n. hanunt [kawaida) ya dint, tendo la ibada, Ritual, a. kawaida ra dint, urembo wa tbhada, utaratibu wa sala, nguzo sa sala, . Bitualiam, n. [Aupenda na kutumia Ritual]. Ritualist, n. [ashikaye Ritualism]. Ritualistio, a. -2 Ritualism. Rival, n, mshindani [wa-}. Tt hasno rival, haina hifant, haina mwensi. — a. -shindant, -a kushindana. —— v. shindana na, taka Jaribu kuwa sawa na, -wa sawa na. Rivalry, n. ushindani. Rive, v. pasua. River, n. milo (#1, mio mkubwwa ; (abundance) wingz. a, RIVET Rivet, n. [msomari wa kugongomewa ncha sole mbili). —-v. kasa kwa Rivet, kaza. Rivet the gaze on, fazamisha sana, kasia macho. Rivalet, n. Aijito [2i-]. Roach, n. [samaki ya mito Ulaya]. Road, Roadway, n. ja. On the . toad, Aatika safari, njiani. Out of the road! simillah! jihathari! Boads, Roadstead, n. bandari, ma- elesi, pa kutia nanga. Roam, v. sunguka, potea, tembea. Roan, a. [rangi ya frasi, nussu nyckundunussu nyeupe); (leather) [xg0si yarkondoo, iliyotiwa dawa na rangi|. Roar, v. sguruma, lia sana [kama simba, msinga, théruba,mawimbi), vuma. Roar at, vumia, —-, Roaring, n. ngurumo, uvumi, shtndokubwa, mléo( wa simba, &c.]. Boast, v. choma (kwa moto), oka. n, [chakula hilichokwtsha cho- mwa). Bob, v..tbia, nyang’ anya, poka. Robber, n. mnyang’anyi (wa-], mwiai (wesi), mwivi, haramia, Robbery, n. utsi, unyang’anyt. aoe n. vesi [ma-) la heshima, vasi —— v. vaa (vika] Bobe. Robin, m [ndege mdogo wa Ulaya). Robust, a. -enyi maungo, -a nguvu, z, -nene. Robustness, n, unene, maungo, utha- > biti. Roochet, n. [vast moja la askofis) Rock, v. (swing) pembea, pembexa, ning’ inia, ning inisa; (shake) ti#i- Sa, tikisika; (of a ship) sukasuka, Sanya mramma; (stagger) levya, taka anguka. —n. mwamba( mi-], jabalé (ma-}; (small) dijamba{vi-]. Sunkenrock, hipwa [v1-). Rockery, n. = Rock-work. Rocket, n. ( fatati kubwa ya kuruka jun). BRoock-salt,n. [chumvi ya mawe, chu- mvi itokayo chint], 339 BOLLING Book-work,n.[ mawechunguchun, ya oe maua). ™ Rocky, a. -2 mawe mengi, -enyi mi- amba; (stern, hard) -gumu, -kali. Bod, n. w/to [ fito]; (punishment) athabu, pigo(ma-}; (authority) Au- umn, mamlaka; (oppression) thu- 4umu; (for fishing) ufite, mwanst [wa Auvulia samaki]; (measuring) chenzo; (measure) = Pole, Perch. Bods, p. t. ya Ride. Rodent, a. [yama] -enyi kutafuna. Bodomontade;n.majivuno, maneno makuu, upusi. Boe, n. mayayt ya samaki, ng ofu (2). Roebuck, n. [xyama kame paal. Bogation, Rogation days, n. [situ 20 kuombea, sik tatu mbele ya- Ascension Day). Bogue, n. ayari; ragai, mjanja, mbaya, mshari. i Roguery, n. ujanja, hila, uragai; (fun) ubishi, Vcheski. poed Roguish, a. -¢ Roguery. Roll, v. fingirisha, (neut.) fingirika; (fold) Aunja; (impel) sukuma; (spread) enea, enesa; toa -ingt [kwa nguvu); (move by rollers, &c.) Jjongesa kwa magurudumu (kwa nyenso}; (revolve) sungusha, st- a; (move swiftly) pita upesi Awa nguvu); (smooth) Jainiska ‘Awa gogo, &c.); (make by rolling) JSanyiza kwa magurudumu; (pro- long sound) fulisa sauti (kama ngurumo}; (of ship) sukasuka, Sanya mramma. —'n. kufingirisha, kufingirika, &c. (Tas. Boll, v.); (of cloth, &c.) Jura; (of paper, &c.) gombo, hati; (register) Aesabu, tarthi; (bread) mkate; (sound) mdundo [wa ngo- ma), uvumt; (of tobacco, &c.) bumba; (of ship) mramma. Roller, n. wenso (ny-], gogo [ma-]; (wave) wimbi [ma-] _kubwa; (wheel) gurudumu frei (ban- dage) &étambaa cha kuganga. Rolling, n. Aapfingirisha, dafingir’. ha, msunguko, msingo;. (tolding) mkurgo ;.(circular motion) mwendo z2 BOLLING wa gurudumu; (of ship) mramma, msukosuko, mtumbotumbo, Rolling, a. -a kufingirika, &c.; (fire) -a fulalizo ; (stock) -# Futumika. He is a rolling stone, mhamishi huyu, hana kituo. Rolling prairies (country), syzha, pana keuba [ama ri na mawimbi yake}. Roman, a. -a "firumi, -rumi. Roman Catholic, n. xa a. Mmasthi- ya wa Kanisa la kirumi, -a Ka- nisa la kirumi. Romance, n. [4isa chenyi habari sa mambo mengi ya ajabu, hadithi silizobunikasa kupiga chuku); (fc- tion) uwongo, usushi, [kujitungic mambo ya ajabu na kufurahkisha). —a. [-a mfano wa lugha ya Waru- mi wa kale), Romance languages, ugha ya mataifa ya Ulaya ini). Romanesque, a, = Romance. Romanism, n. [#mani na hawaida sa Kanisa la kirums). Romanist, n. = Roman Catholic. Romanize, v. [fuatisha desturi na mathehebu sa Kanisa la kirumi, geusa kuwa -a Kanisa la kirumt). BRomantio, a. -@ ajabu, -a kigeni, -a 0 akili, -2 burre, c Romish, a, -¢ Kanisa la hirumi, Bomp, n. mchexo(mi-). —— v. chesa, rukaruka, randa. Rood, n. [sanamu ya Isa Masiya amekaswa msalabant). Roof, n. (thatched, side) paa [ma-], (end) Aipaa |od-], Bisusi [vi-]: (stone) dart, sakafu ya jun; (in an excavation, cave) jus, upande wa jus. Roofing, n. kutia Roof, [vitu vya kufanyisia Roof, miti, makuti, mabati, p matofali). E Boofiess, a. ipo Roo’ Rook, n. Cidge' kama kunguru). Rookery, n. [ jamii ya matundu ya Book; (bad houses) jamii ya nyumba pee na mbovu). Boom, n. chumba [oy-]; (apper) oe (front) sébule,, 340 BOTATORY (store) ghala; (space) nafast, chi= mbuko. Inthe room of, mahali pa, hatika kazt ya (mtu mwingine). Make room for, ondokea, pisha, ambaza, Boominess, n. nafasi tele, uwasi. Roomy, a.-enyi nafasi,-kubwa, wast. Roost, n. Aituo cha ndege, hijité cha kutulilia, kiota, —v. jikalia, tulia, Boot, n. shina [ma-1; (small) msisé (mi-]; (origin) asiti, awali, mwa- nso; (cause) sababu ; (in grammar) neno la asili, harufu sa asili; (in arithm.) 7az. Square Root. panda, kaza chini, penyesa chint; (establish) weka tmara, kaza, ingisa ndani. Be rooted, pandika, kaswa, fansiwa shina, Root up, mg'oq, toa. Bootlet, a ae (mi- dy Bope, n. kam we ; (lar; igwe [ma-]; (small) \ Siewe ep ee megs ae| (makali pa kufanyi- —vy. ” Rose-water, ma- rashi mawdridt, maji wdridi. Otto of roses, hal wdridi. ——p.t. ya Rise. . Rose-appie, n, (fruit) darabé [ma-], pera la kisungu, Boseate, a. -2 rangi ya wdridi, -ekundu; (hopeful) -a Tfuraha, -a Rutumaini. Rosette, n. fundo la utepe, shada. Rose-wood, n. [mii mwekundu na mweusi). Rosin, n. = Resin, [4ama sandarust nyekundu). Rosiness, n. wekundu. Rostrum, n. (Lama mimbara). Rosy, a.-a rangi ya wdridi, -ehundu. Rot, v. osesha, vundisha; (neut.) osa, vunda. —n, hioza. Rotary, a. -2 kusunguka. Rotate, v. sunguka, sungusha. Rotation, n. msingo, msunguko ; (turn) samu, taratibu. jl Rotatory, a. -a kusunguke.,

You might also like