Englishswahilid00madagoog 76 PDF

You might also like

You are on page 1of 5
SELF-GOVERNMENT yuko peke yake halist, -a hakika; (uncreated) -sioumbwa. si hiumbe. Self-government, n, Aujiwesa nafsi, Aujitawala -enyewe. Self-importance, n. 4ama Self- assertion. Self-indulgence, n. anasa, upotofu. Self-interest, n.. Aujipatia fayida, hujipendesa nafsi, choyo. Selfish, a. -a choyo, -a kusiangalia nafsi wala si mwensiwe, -a huji- pendesa, -a kujipendelea nafsi, -a Aushika Jake; (grasping) -pasi; (miserly) bakhsli. Lepper n. choyo, kuwa Belf- Selfishness: Belf-made, a. -past, -lojipatia uta- jirt. A self-made man, mastkini aliyejipasha utajiri. Self-possessed, a. -a kujiwesa nafei, -a hiasi, -kavu wa macho, -taratibu. Self-possession, n. kuwa Belf- possessed, macho makavu. Self-reliance, n. hujijetea nafst, ku- totaka msaada, ukinaifu, ujasiri. Self-respect, n. hujiheshimu nafst ‘kadiri ipaswavyo, pasipo kiburi), uchunga cheo. Selfseme, a. -moja halisi, sawa , yule yule [sle ile, &c.). tisfaction, n. Aujiona, mayi- sifu, ukinaifu. Self-sown, a. (tree) Aimelea ca (vs 1. gaits -love, n ayeende nafsi; [kama Self-sufficionoy,n.Ainaya.ukinaifu; (pride) majivuno, kiburi. Self-sufficient, a. -enyi Self-suffi- ciency. Self-will, n. whaidi, &c. Belf-willed, a. -kaidt, -shupafu, -ast, -potofu, Sell, v. (p.t. na pf, t. Bold) uza, toa Awa fetha; (neut.) uszanya, usika ; (deceive) danganya. Sell up, fii- sisha, Sell out, ssa mals yote. Sell to, Zsa, Seltser, n. ya pofupofi). Belvedge, n. tupinde, Selves, pl. ya Self. ‘maji ya Ulaya, mayi 856 SENSE Semaphore, n. [mti wenyt vipande, kama mikono, vya kuashiria]. Semblance, n. ‘mfano, sura, umbo. Semen, n. shakawa. Semi-, nussu, kidogo. Semibreve, n. nusse Breve. Semicirole, n, nussu halisi ya duara. Semicircular, a. 4ama Semicirole. Seminal, a. -a mbegu ; (original). -a asili, -a mwanz. Seminary, n. = School, madrasa, chuo, chuoni. Semsem, n. ufuta; (oil) mafute ‘ya uta, Senate, n. (Jarasa kuu ya ware). Senator, n. miu wa Senate. Senatorial, a. -z Senator. Send, v. (p. t. na pf. t. Sent) peleka, tuma, agiza; (cause to go) toa, tupa, rushay endesha, sukuma, Jongesa; (grant) jalia; (despatch messenger) fuma mtu. Send for, ita, tuma mtu kuita. He was sent for, akkwenda kwitwa. Sender, n. mwenyi hupeleka, &c. Seneschal,n. msimamisi wa nyumba [{samani sa kale), Senile, a. -a msce, -a kizee. Senility, n. uzee, ukongwe, Senior, a. na n, -kubwa (kwa dara- J@, cheo, umri, &c.), -a kwansa, Seniority, n. Auwa Senior; (rank) hadiri ya cheo, cheo. Senna, n. sanamakt, Sensation, n. (perception by sense) ; (excited feeling) Aushtuke, hushtusha, fathaa, kishindo; (ex- citing object) Aztisho, Aituko, ajabu. Sensational, a. -a kustusha, -a hutisha, -a ajabu, Sensationalism, n. [Ausema, Hatu- pati kujua neno ila kwa kiwili- wilt ; asili ya maarifa yote wi nje si ndani, ni hatika vitu vyenyewe, si katika moyo na akili ya miu’), Sense, n. akili, dusara; (meaning) maana ; (perception) huona (kwa macho, masikio, pua, ulimi, ku- gusa); (opinion) shauri; (lower nature) mwili, Have a sense of, ona, The sense of smell, hearing, SENSELESS taste, &c., Ausikia, Auonja, &c. A man of good sense, mtu wa akili, hodari. Pleasures of sense, anasa va mwili, In the sense of, Awa maana, maana yake. In the same sense, Awa maana ile ile, maana sawa. \t has a bad sense, maanayakembaya. The senses (five senses), Auona kwa macho, kusikia, hunusa, kuonja, kugusa ; [milango ya maurifal, Be out of one's senses, Lose the senses, fofewa na akili, rush'wa na akili, simia roho, fathaika, Recover the senses, Jirudia, pata akili tena. Common sense, waonavyo watu wote, akili ya watu wote, akili va kadiri ya binadamu, \t is a matter of common sense, 4illa miu husema Aivi, inakubalika na wote. Moral sense, kupambanua mema na ma- bay a. sings, -pumbafu, pa- sipo akilz. Ee (become) senseless, simia roho. Benselessness, n. uhosefu wa akili, upumbafu. Sensibility, n. (sense) a&i/i; (sen- sitiveness) wepesi wa kuona, ku- stuka upesi, Sensible, a. (prudent) -eny# akili, -a busara,-a maana; (palpable, per- ceivable) [-a Auoncka na Senses). Be sensible of, ona, jua, tambua, He is sensible, ats/s sake anaso; (conscious) amejirudia. Bensitive, a. -epesi kuona [kustuka, Aubadilika, kugeuka, kuwa na hasiva ao chuki, &c.}, -siovumilia maumivu. The sensitive plant, hifa uwongo. Soensitiveness, n, [Aalt ya kuwa Sensitive). Sensual, a. -2 muwili, -2 mambo ya mwili, -a furaha 2a mwili, -a ta- maasamwili; (licentious)-a anasa, -a ufisadi, -asherati, -a ng oa. Sensualism, n. = Sensationalism; = Sensuality. Sensualist, n. m/u wa Sensualism. Sensuality, n. suwa Sensual. 357 SEPTEMBER Sensualize, v. haribu kwa anasa 4a mwili, ongosa vibaya, geusa Rinyama. Sensuous, a. = Sensual ; -a Senses. Sent, p. t. 2a pf. t. ya Send. Sentence, n. (verdict) Aukumu, maamusi, neno la kathi ; (decision) shauri, wosia; (maxim) mfano rm maneno, mithals: i in grammar) fungu la maneno lenyt a iene, mee —_v. (give, pronounce sentence on) pasisha athabu, hukumu, amua, kata hukumu. He has been sentenced to death, amekatiwa hukumu ya kuuawa. Sententious, a. -enyi maneno ya hekima, -a kujivuna (kwa kuwa na maneno ya hekima), -a kujifanya mwalimu, Sentient, a. -enyi akili ya kuona [si kama mmea, ao jiwe). Sentiment, n. nia, shauri [ma-], neno [ma-). Sentimental, a. -enyi Sentimen- tality, -ofaji. Sentimentalist, n. min wa Senti- mentality. Sentimentality, Sentimentalism, n. Ruotacta, kujitungia mawaso moyoni, kuchukuliwa na fikara, wepesi wa kuvutwa na tamaa, Sentinel, Sentry, n. astkart, mngoje (wa-] samu, mlinst, mvisia, Sentry-box, n. Aituo [Atbanda) cha Sentry. Separable, a. -a Lutengeka, -a kuba- guka. Separate, a. mbali, -liotengwa, peke yake [yao, &c.), -moja -mojfa. —— v. tenga, gawa, weka mbali, Sarikisha, bagua, changanua, Beparation, n. mfengano, kuachana, mgawo, kufarakana, kuwa mbali, huwa peke yake | yao, &c.). Separatism, n. ([kutengana na Kanisa la kimasihiya). Separatist, n. mtu wa Beparatiem, Bepoy, n. (asikaré wa kihindi), September, n. [mwest wa kenda Aisungu). SEPTENNIAL Beptennial, a. -a miaka saba, -a 4illa mwaka wa saba. Septic, a. -a kuozesha, Septuagenarian, n. (mtu wa miaka sabwini umri wake). Septuagesima, n. (juma a pili ya tatu mbele ya mwanzo wa Lent]. Septuagint, n.[maandiko matakatifu ya Wayahudi yamefasirika kwa hiyonani, Agano la kale kwa ki- yonani). Sepulchral, a. -2 Laburi; (of sound) -a kulia wast, -a sauli nene, Sepulchre, n. kaburi (ma-], siara (ma-, Sepulture, n. kusika, masiko. Bequel, n. mwisho, mambo ya baae daye, Bequence, n. mwandamano, ufua- tano, utaratibu, Sequester, v. ‘waa [mali ya mtu Awa muda fullani), shika rahani, weka; (separate) weka mbali,tenga. Sequestered, a. -a faragha, -a mbali, pasipo watu, ukiwa. Sequestrate, v. = Sequester. Sequestration, n. dufwaa [Autwa- liwa) mali (Tas, Sequester). Sequestrator, n. [a/anyaye Seques- tration]. Seraglio, n. [nyumba ya waanake wanapotengwa), harimu, Seraph, n. [malarka], Seraphio, s.--a Seraph. Serenade, n. [Awimba nyimbo ao Aupiga ngoma usiku za kumsalimia mchumba na kumwita, nyimbo ao ngoma ya usitu]. Serene, a. -cupe, saf, -kunjufu, -tulivu. Berenity, n. weupe, ubunjufu, utulivu; (of weather) Aweupe, Autakata, Serf, n. miumwa [wa-]. Serfdon, n. utumwa. Berge, n. [nguo kama Cloth). Sergeant, n. |msimamisi wa asikari, sazin), . 358 Berial, a. [-2 kutokea marra kwa marra kwa muda wake), SERVICE Series, n. mafuatano, mwandamano, Safu, ufululizo, Serious, a. (grave) -siocheka, -stto, -a Auonya; (important) -@ maana, enyi habari kubwa [nztto), -kubwa. A serious offence, Aosa Aubwa, Seriously, adv. Awa Auonya; (very) Sana. Seriousness, n, wsifo, &c. (Tas. Berious), Sermon, n. hotuba, mahubiri ya anjili, maneno ya kuonya. Sermonisze, v, ony2onya, chosha kwa maonyo, hubirt ovyo. Serous, a. -a mtind:, kama mtindi, Serpent, n. nyoka mkubwa, Serpentine, a. -enyi mapindi, -a Ruzingamana, -a kusunguka, -a Aupindikapindika. Serrated, a. -/iochongoka, kana msumeno. Berried, a. -a kusongana, -a kuso- ngwa. Serum, n. mtindi. Bervant, n. miumishi [wa-], mtumwa [wa-], hadimu |ma-); (female) mjakasi (wa-]; (girl) Aijakasi [v1-]; (European’s house- hold) 403 [ma-]. Berve, v. ‘umikia, hudumia, ngojea, tendea kasi, -wa mtumishi; (be of use) faa; (treat) tendea ; {give out) foa. Serve out, foa; (have revenge on) lipisa #isast. Serve up, pakua, andalia, andika, Serve for, faa mahali pa. I will serve you out, ##/akulipa. It serves you right, astahili yako. He ‘has served his time, amemalisa kast yake, amewadi. Server, n. mngoje, mngojest. Service, n. «utumwa, hudumu, utumishi, kasi ; (use, employment) matumisi, mafaa; (help) Jathsti, msaada, shime; (of china, &c.) jamii [ya vyombo vya kulial; (worship) sala ya dint, ibada, hi- tima, fdtiha; (= Army, aoNavy). Divine Service, thada, dini. He is on service, yuko hatika hast yake. See service, ¢umika vitani. SERVICBABLE Serviceable (Be), a. faa, -wa -a sufaa, tumika, -wa -zima, Bervile, a. -a Ailumwa, -nyonge, -baya (literal) -a Aufuasa maneno mno. Servility, n. unyonge, kufanya kitumwa, kushika miguu. Servitor, n. (wa-]. Servitude, n. ufumwa. Session, n. baraza, muda wa kuba- risi, “Hold a session, barist. Bet, v. (p. t. 2a pl. t. Bet); (place) ‘weka, tia mahali, tia; (6x) basa; (cause) fanya; (settle, order) amrisha, agiza} (razor, &c,) oa; (trap) tega ; (sail) sweka; (in line) panga; (with jewels, &c.) pamba ; (of sun) -chwa, shuka ; (of fluids) gandantisa;, (current) ‘enda, pita; \plants) panda, (neut.) toa mitsics, anza kuota; (a lashion) ansisha, sua; (a timepiece) Aabilisha vema mikono [ya saa]; (a broken bone, &c.) unga, ungisha, Set an ex- ample to, fuasisha, Set about, shika kasi ya, anza, maliki. Set apart, weka mbali, tenga, bagua. Set aside, weka, acha, kata, tangua. Set at naught, ¢harau, twesa, thihaki, Set at ease, tultza, stere- Aisha, teremesha. Set by, weka, Set store by, tunuéa, Set down, weka; (a load) tua, panga; (humiliate) fwesa, thili; (put down in writing) andika, Set eyes on, /azama, tupia jicho. Set forth, (explain) ¢lesa, tangasa ; (neut.) shtka nyia, ondoka, Set forward, endelea ; himiza, endesha, Set in (rain), ansa shika. Set going, Set on foot, endesha,ansisha, Set on, (attack) shambulia, rukia ; (urge to fight) pigantsha, chome- sha. Set off, pamba, tia urembo, chukua ; (separate) tenga; (neut.) ondoka, funga safari. Set on fire, choma, tia moto, waska; (put on the fire) eleka, Set out, andika, rakibisha, weka visuri; (neut.) ondoka, shika nyia, Set right, 359 miumishi |wa-), mfuasi SETTLEMENT tengenesa, fanyisa. Set side by side, ambasana, pambanisha, weka kando kando. Set teeth on edge, tia ganzi la meno. Set to, tia hatiha; (neut.) shika hast; (fight) pigana, Set to work, -pa kasi; (neut.) skéka kasi. Set to music, Sanyisia [maneno] uimbo, linga- nisha sauti [ya ngoma, hinanda, &c.], Set up, (upright) simamssha ; (business* anza |ingia, shika], hast [shughule]; (pretend) jifanya; in type) panga vickapa, Set upon, endea nguvu, shambulia. Set going, endesha, Set thinking, irisha, tia fikarant, Set, a, (appointed) -/okazwa, -lio- amriwa, -a lasimu; (firm, fixed) thabiti, -gumu, -siogeuka, A set speech, maneno ya ularatibu, —— n. jamit; (of a current) mouto, mskondo; (form) xamna, hali; (friends, relatives, &c.) jamaa, utani, Make a set (dead set) at, endea, jaribia sana. Set-off, n. malipizt, sawa, hisasi. Setteo, n. Aili hirefu, kitanda | vi-). Better, n. [mbwa wa kuwinda). Setting, n. kuweka, &c. (Tas. Set, (of sun) Auchwa, mshuko; (of a jewel, &c.) Aijaliso. Settle, v. (fix) kasa, fanya imara, weka thabitt; (quiet) tulita, stere- hisha; (decide) hukumu, kata Jambo [neno), amua, malisa; (make clear, show) onycsha, thihi- risha, elesa, thubutisha; (adjust) tengenera, patanisha; (accounts) Sanya saft | barabara), lipa (deni) ; (colonize) kalisha watu hatika; (reside) Aaa; (rest) tua, tulia; (sink down) 44ia, shuka; (get clear) ‘nana; (resolve on) yakinia, asimu, nia, Bettled, a. imara, thabiti, -tuliou, makini. Settled resentment, ma- Aamio, mfundo, A settled country, [chi inayokoa watu kwa amant, inchi yenyi amani). Settlement, n. asa, 8c. (Tas. Settle); (makasi ya watu waliyo- SETTLER hamia), mji mpya, kikao ; (inherit- ance) urithi, wosta, mali iliyori- thiwa; (agreement) mapatano. Bettler, n, mhamia mahali, mgeni, mjgji, mja na majt; (final step) mwisho. That's a settler, dass, tmekwisha. Seven, n, 2a a. saba, sabaa, Sevenfold, a. -a marra saba. Seventeen, a. na n, sabatashara, Seventh, a. -a sada. Seventy, a. ma n. sabwini, Sever, v. kala, tenga, vunja. Beveral, a. -ingine, -ingi kidogo, si -ingi, baathi,kathawakatha; (some people) watw; (separate) -moja mya, killa -moja. Severally, adv. mojamoja, killa mtu, Severance, n, kukala, kutenga. Bevere, a. -Aali, sito, -anguvu. . Severity, n. ukali, &c, Sew, v. (pf. t. Sewed, Sewn) shona, Sewage,n. takataka, mavi,matakato. Sewer, n. mskont [wa-]; (drain) mfereji (mi-,wa kuchurusisha taka mavt, &c.}. Sewing, n. ushoni. Sewn, pf. t. ya Sew. Box, n. [sali yakuwa hiume ao hike). Male sex, waanaume, watu wa Hiume. Female sex, waanake, watu wa kike. Sexagenarian, n. [m/u wa miaka seltini umri wake |. Sexagesima, n. [ juma a pili ya pili mbele ya mwanzo wa Lent}. Sexennial, a. -a miaka sita, -a killa mwaka wa sita. Sext, n. (sala sa aththuuri). Bextant, n. (chombo ao kipande cha Aupimia urefu kwa pembe (angles) }. Sexton, n. [mngoje wa mlango wa hanisa, mtunza kanisa, mlinsi wa hanisa, mtunsa kanisa, mlinsi wa makaburi, msishi). Boexual, a. -a Sex, -a kiume kuliko hike, -a hike kuliko kiume. Sexual passion, #g’0a. Sexual organs, (male) mboo[ mi-),ume, (female kuma,uke, Sexuality, n. na Bex. Shabbiness, n. udukunu, unyonge, &c. 360 SHALE Shabby, a. -kukuu, -baya, -liocha- Aaa; (mean) -nyonge, ~a choyo. Shackles, n. pingu. Shaddook, n. furungu [ma-]. Shade, v. tia kivuli, kinga jua; (pro- tect) ¢unaa, funtka. —, Shadow, n. uvuli, Aivuli [v2-]; (darkness) gisa; (variation) tofauti ndogo; (protection) kamaya, wudinzi; (likeness) mfano; (of a lamp) chengeu, kisetirt, A shade of difference, fofauti ndogo. Shade of colour, rangi, ginst ya rangi. Shade of meaning, maana, kionyo. Sun shade, mwavuli [mi-}. Shadow, v. fia hivuli, Ha gisa; (describe dimly) clesa hidogo. Shadowy, a. -a Aivuls; (vague) si yokini, si hakika, si halssi. Shady, a. -a Shade, -enyi Shade ; (mean) -nyonge, -baya. Shaft, n. [itu cho chote kilicho ki- refu na chembamba, kama mwa- nat); (wooden part) sti, méz; (ofarrow) wano.(ma-]; (missile) mshale (mi-), mkuki [mi-]; (pit) shimo (ma-), tundu(ma-] ; (chim- ney) dohani; (of metal) ufifo [wa chuma, &c.)}. Bhoggy, a. -enyi nycle nyingi sa msokoto, -a manyoya ya msongo. Shagreen, n. (sgosi éliyotengeneswa ‘ya frasi, kondoo, &c.). Shah, n. Sultani wa Ajjemt. Shake, v.(p.t. Shook, pt. t Shaken} tikisa, tetemesha, sukasuka ; (neut.) tikisika, tetemeka; (weaken) thoo- fisha, pungusia nguvu, ondolea uthabiti, tia mashaka. Shake off (fruit), puéusa. Shake hands, pana mkono, shikana mikono, ‘amkiana, Shake out, futua, dung’ uta, hupua. — n. Autikisita, &c.,. mtikiso, tetemo (ma-), tetemeko [ma.], msu- kosuko. Hand-shake, Aitetemeshi. Shako, n. [4ofia ya asikari). Shaky, a. -a kutikistka, &c. (Tas. Shake, v.); (weak) shaife. Shale, n. [mawe kama matope yali- yokauka sana),

You might also like