You are on page 1of 2
‘Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kitalu Na. 8, Mtaa wa Luthuli \ S.LP 2643, DAR ES SALAAM Simu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222 Faksi: +255 22 2111281 BiPepe: chraqa@chraag.qo.1z Tovuti: wwew.chragg.go.tz Juni 16, 2017 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, 2017 TTume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote wa haki za watoto dunian Katka kuachimisha “Siku ya mtoto wa Afrika”. Siku hil inakumbusha dunia juu ya mauali ya watoto wapatao 2,000 wa kitongoj cha Soweto nehini Afrika Kusin waliouawa kikatl maka 41 lyopita na ilyokuwa Serikali ya Makaburu ‘Siku hil izinduliva resi mwaka 1991 na uliokuwa Umoja wa Nehi Huru za Afrika (QAU) it kuwakumbuka watoto hao waliokuwa wakidal haki ya kutobaguliwa na haki nyingine za binadamu, \Wakatitunaadhimisha siku hii muhimu wadau wote wa haki za watoto hatuna budi Kujtathimini namna tunavyowaandaa watoto wetu il waweze kutoa mchango stahiki Katka maendeleo ya taifa letu, kwa Kuzingatia kauli mbiu ya maka huu inayosema: “Maendeleo tendelevu 2030: Imarisha ulinzi na fursa kia watoto wote.” Tanzania ni miongoni mwa nchi zilzochukua hatua mbalimbali Kuhakikisha uwepo wa maslahi ya watoto. Hatua hizo ni pamoja na kutunga shera na kurihia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kkanda inayolinda na Kutetea haki za mtoto. Mikataba hiyo inajumuisha: IMkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto (189), Tamko la Shika la Kazi Duniani (ILO) Na. 182, na Mkataba wa Atria wa Haki na Ustawi wa Mtoto (2008), ‘Miongoni mya sheria ziizotungwa katika ngazi ya Kiaifa ni: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977), Sheria ya Mtoto Na. 2112009, Shera ya Kanuni za Adhabu, Shera ya Mwenendo wa Makosa ya Jnai na Sheria ya Makosa ya Kujamiiana - SOSPA (1996). Pia imerdhia na kubuni sera, mipango na mikakati mbalimbali ya kteifa na kimataifa,kiwemo: Sera ya Mtoto (2008), na Mpango-kazi wa Kitaifa wa Kuzuia na Kupambana na Ukalil dhidi ya Wanawake na Watoto (2017- 2022), Kimataifa imeridhia na inatekeleza Malengo 17 ya Maendeleo Endelovu ya Dunia (SDG's) yallyoptishwa mwaka 2015 yanayobainisha uw watoto wana haki ya kuishi, kulindwa, kutobaguliwa na kushirkishwa kwa usawa ii unakiksha kuwa wanapata fursa sawa katika jai, li kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa kina wa Kuali haki za watoto Serta ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia imeanzisha taasisi na vyombo mbalmbalivinavyoshughulka unzi na ukuzali wa haki za walotonehin. Tume ya Hak za Binadamu na Utawala Bora ni miongoni mwa taassitizo. ume imekuva ikitoa elimu ya haki za binadamu, ikiwemo haki za watoto kuptia vyombo vya haba, semina na mikutano.mashuleni na maeneo mbalimbaliinayopata fursa ya kuyefika Pia, Tume imekuwa iktoa huduma za kisheriakna makundl yenye uit ambao ni parmoja na wafoto na watu wengine wenye uhitaj wa rmsdada wa kisherla na pia imeanzisha dawati mahsusi linaloshughutkiahaki za watoto Vilevile, Tume imekuwa ikshirkana na wadau mbalimbali wa haki za binadamu kimataifa na kitata il Kuweka nguvu ya pamoja katika kulinda haki za binadamu na kukemea vitendo vya ukati na unyanyasaj dhidi yao. ‘Agha, kuptia Mpango-azi wa Kitaifa wa Heki za Binadamu (National Human Rights Action Plan - 2013-2017) Tume imefanikina kutoa rmafurzo kwa waalmu na watendali wengine katka sekta ya elimy na Kuhamasisha uanzishwaji wa vilabu takrban 130 vya haki za binadamu mashuleni. Pamoja na mambo mengine vilabu hivi vinajfusisha na utoaji wa haki za binadamu ikiwemo haki za watoto, mashuleni na nje ya shu, Page 1 of 2 Juhudi hizo ni muhimu kipindi iki Katka Kuunga mkono dhamira ya Serkaliya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayoongozwa na Me, John Pombe Magutul Katka kuhakikisha Kuwa Tanzania inafikia azma yake ya “Kyjenga Tanzania ya Viwanda.” Pamoja na jithada hizi zote bado zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri malezi ya watoto na kuwanyima fursa katika jam changamoto hizo ni pamoja na: umaskini, migogoro ya wanandoa, mila pototu, utandawaz, majukumu ya Kjnsia Katka jamin ukosetu wa haki ya elimu ya alya ya uzazi(reproductve and health rights). ume inataka jam kuwapa umuhimu watoto wa kike na kuechana na miazamo potou Kuwa hawana mchango mkubwa ka jami, hai inayoctangia utumikishwaji wa watoto na kujingiza Katka mahusiano ya Kimapenzi na biashara ya ngono Katka mri mdogo. Vtendo hivyo vimekuwa chanzo cha mimba na ndoa za utoton ambazo huwaletea madhara mbalimbalkiwemo: unyanyasajiwa Kimi, Ksakoloja,kingono, athari za Kaya, vlo wakat wa yauztokujfungua na maambukz ya Viusi va UKINIM (VVU). Kiva mujbu wa utafii ulofanywa na Shirka la Umoja wa Metaifalinaloshughuikia idadi ya watu Duniani (UNFPA) maka 2014 ttizo la rndoa za utotoni ipo duniani kote. Takriban wasichana milion’ 15 wanaolewa kia maka chini ya ui wa miaka 18, kia ni wastani wa watoto wa ike 41,000 kwva sku Utafiti huo ulibaini Kuwa tatizo la mimba za utotoni kwa Tanzania ni Kubwa, ambapo wasichana 4 kati ya 10 (sawa na asiimia 40) wanaolewa kabla ya kufkisha umri wa miaka 18. Pia kwa mujbu wa takwimu za demografia ya alya Tanzania (TDHS, 2016) asiimia 36 ya wanawake wa kitanzania wenye umri wa miaka, ‘al ya 20-24 waliolewa au walngia kwenye mahusiano ya kimapanci kw mara ya kwarza Kabla ya kutiiza um wa maka 18. ‘Takwimu ziizotolewa na Shirk la Watoto Duniani (UNICEF, 2012) zimeitaja Mikoa inayoongoza kwa ndoa za utotoni Kuna ni: Mkoa wa Shinyanga ukiongoza kwa asilmia 89, Ikifuatiwa na Tabora (58%), Mara (55%), Dodoma (51%) na Lind (48%) FHivyo basi, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inapendekeza na kutoa wito kama itatavyo: 1. Serial fanye marekebisho ya shor kandamizi na zinazopingana na sheria zingine. Mfano;- Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inaweka miaka 18 kuwa umri mdogo ambao wavulana wanaruhusiva kuoa, lakini imeweka umri wa miaka 15 kwa wasichana Iuolewa ka rchaa ya wazazi 2, Mamlaka zinazotoa haki kwa wahanga wa ukati, wakiwemo watoto ze haki Kwa wakali 3, Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Matunzo ya Ufunci ihakikishe uwepo wa mfumo utakaowawezesha watoto wa kike ‘wanaopata mimba mashuien! kuendelea na masomo yao mara tu wanapojtungua. 4, Wadau wa haki za binadamu waendelee kutoa elimu ya haki za binadamu kwa jam kukemea vitondo vya kati, unyanyasaina uchalishaj wa watoto, ubadili mila na tamaduni pototu. Pia 5, Weazazi nawajbke katika malezi ya watoto ii kuimarisha famila 2a0 na kuwaepusha na viashra hetarishi Kwa maisha ya watoto wao. 6, Wetoto wapative elimu ya afya ya uzaz! ili waweze kujtambua na kuwa na uelewa juu ya madhara ya mimba na ndoa za utotoni 7. Wadau mialimbali wa haki za watoto kuhakkisha kuva ull, usalama na haki za miotovinaimarishwa. Aidha, wahakikishe watoto wa kike na wa kume wanapatwa malezi bora yanayoiva fursa sawa kwa wote ili kuhakiksha kuwa ndoto zao katka maisha Zinafkwa, 8 Wadau wote wa haki za binadamu Kunekikisha Kuwa kama tafa tunaondoa aina zote za ukatli na ubaguzi dhl ya watoto na uwapa haki na fursa sawa katika umiiki wa rasiimali na nyanjazote za kimaisha na Kusimamia Sheria na Sera zinazoinda usawa wa kiinsa laf letuiweze kufankisha longo la ursa sawa kwa woteikapo maka 2080. Imetolewa na: (SIND) SS ‘Salma Ali Hassan (Kamishna) ‘TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Juni 16, 2017 . Page 2 of 2

You might also like