You are on page 1of 1

Simba imefikia uamuzi wa kumtema Kocha Msaidizi, Jackson

Mayanga.
Taarifa za ndani zinaeleza Simba tayari imeanza mazungumzo
na kocha mwingine.
Atakuwa kocha kutoka Burundi na kuna kiongozi alishaanza
kuzungumza naye, kilieleza chanzo cha habari.
Mayanja raia wa Uganda alijiunga na Simba akitokea Coastal
Union ya Tanga na kuwa kocha mkuu wa muda.
Lakini baadaye Simba ilimtwaa Joseph Omog kutoka Cameroon
na Mayanja akawa kocha msaidizi.

You might also like