You are on page 1of 19

WATUMISHI NJEDENGWA ESTATE

DODOMA
ENEO LA MRADI
-Watumishi Njedengwa Estate ni mradi uliopo eneo la
Njedengwa Investement Area, mkabala na Kisasa,
Dodoma.

- Ni mradi wenye nyumba za maghorofa na za


kujitegemea.

-Ni eneo la kisasa lenye miundo mbinu yote kama


barabara za lami, maji na umeme.

-Ni eneo lenye huduma zote muhimu za jamii kama shule,


Chuo Kikuu cha Dodoma, hospitali, maduka n.k.

-Ni dakika mbili tu kutoka barabara kuu ya Dodoma.


MPANGILIO WA NYUMBA
MPANGILIO WA NYUMBA
NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA
(ENEO LA MRABA 115)

Ina ukubwa wa kiwanja cha eneo la mraba 450.


Ina master bedroom 2, ina vyumba vingine viwili vya kulala, sebule, dinning room,
jiko, choo, bafu, veranda pamoja eneo la makabati ya nguo na jikoni.
Ina chumba kimoja chenye mlango wa kuingia kwa nje ambacho kinaweza
kujitegemea kwa kutokua na muingiliano na wengine. Chumba hiki kinaweza
pangishwa.
Bei ya nyumba ni shs million 75 pamoja na VAT.
RAMANI YA NYUMBA 115 ENEO LA MRABA
RAMANI YA NYUMBA 115 ENEO LA MRABA
NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA
(ENEO LA MRABA 85)

Ina ukubwa wa kiwanja cha eneo la mraba 450.


Ina master bedroom 1, ina vyumba vingine viwili vya kulala, sebule,
dinning room, jiko, choo, bafu, veranda pamoja eneo la makabati ya
nguo na jikoni.
Bei ya nyumba ni shs million 68 pamoja na VAT.
RAMANI YA NYUMBA 85 ENEO LA MRABA
RAMANI YA NYUMBA 85 ENEO LA MRABA
NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KULALA
(ENEO LA MRABA 78)

Ina ukubwa wa kiwanja cha eneo la mraba 450.


Ina master bedroom 1, ina vyumba vingine viwili vya kulala, sebule, dinning
room, jiko, choo, bafu, veranda pamoja eneo la makabati ya nguo na jikoni.
Bei ya nyumba ni shs million 45 pamoja na VAT.
RAMANI YA NYUMBA 78 ENEO LA MRABA
RAMANI YA NYUMBA 78 ENEO LA MRABA
Bei za Nyumba
No Vyumba Eneo la Bei bila Bei pamoja
. vya Kulala Mraba VAT na VAT
(Nyumba)
1. 3 78 47,560,000 58,000,000

2. 3 87 57,013,700 67,000,000

3. 3 115 71,421,925 84,277,871.50

** Bei ya nyumba iliyokamilika asilimia 80% ni kuanzia shs milioni 46 pamoja na VAT
FOMU ZA MAOMBI
Fomu za maombi ya kununua nyumba zinapatikana
sehemu zifatazo.

1. Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma.

2.
Ofisi za Watumishi Housing, jengo la Golden Jubilee
Towers, ghorofa ya 4.

3. Tovuti ya Watumishi Housing www.whctz.org


NJIA ZA MALIPO
1. Kuchukua mkopo wa muda mrefu toka benki
washirika.

2. Kulipa kidogokidogo wakati ujenzi unaendelea


kwa makubaliano maalumu.

3. Mpangaji Mnunuzi.

4. Pesa Taslimu.
BENKI WASHIRIKA
Masharti CRDB BOA Azania KCB NMB

Riba (Interest Rate) 16% 15% 15% 15% 19%

Uwekezaji 10% 5% 10% 20%

(Downpayment)

Muda (Tenor) Miaka Miaka Miaka Miaka Miaka

25 25 25 25 10
MAWASILIANO
Barua pepe: info@whctz.org
Tovuti: www.whctz.org
Namba ya simu: +255 22 2922211
Namba za mauzo: 0715353465
0757437594
0765504246
Sanduku la Posta: 5119, Dar-Es-Salaam.
Mitandao ya Kijamii
- Watumishi Housing Company
- Watumishi Housing Company
- Watumishi Housing Company
Watumishi Housing Company
Golden Jubilee Towers
4th Floor, Ohio Street
Dar-Es-Salaam

Nyumba Bora Kwa Bei Nafuu

You might also like