You are on page 1of 5

MATUKIO KATIKA PICHA

TRA yatoa Semina kwa Umoja wa

Wafanyabiashara wa Nchi za Umoja
Wa Ulaya Nchini Tanzania (EUBG).

Pamoja Tunajenga Taifa Letu

tratanzania TRA ONLINE TV
MATUKIO KATIKA PICHA tratanzania

Afisa Kodi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Julius Caesar
(aliyesimama mbele) akitoa semina kwa Kikundi cha Umoja wa Wafanyabiashara wa
nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG), kuhusu masuala ya kodi
mbalimbali 22 Novemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Washiriki kutoka Kikundi cha Umoja wa Wafanyabiashara wa nchi za Umoja

wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG), pamoja na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA)wakifuatilia uwasilishwaji mada mbalimbali zinazohusu kodi toka kwa
Maafisa wa TRA 22 Novemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.
MATUKIO KATIKA PICHA tratanzania

Baadhi ya Washiriki kutoka Kikundi cha Umoja wa Wafanyabiashara wa nchi za

Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG) wakifuatilia uwasilishwaji mada mbalimbali
zinazohusu kodi toka kwa Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
22 Novemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

Afisa Kodi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bibi. Rose Mahendeka
(aliyesimama mbele) akitoa semina kwa Kikundi cha Umoja wa Wafanyabiashara wa
nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG),

Mhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kodi wa Ilala Bw.

Dennis Msingi (aliyesimama mbele) akitoa semina kwa Kikundi cha Umoja wa
Wafanyabiashara wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG),
22 Novemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

Afisa Kodi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bibi. Rose Mahendeka
(aliyesimama mbele) akitoa semina kwa Kikundi cha Umoja wa Wafanyabiashara wa
nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EUBG),
22 Novemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.

You might also like