Professional Documents
Culture Documents
Mufindi DC - Obisimbali
Mufindi DC - Obisimbali
P:aaaakh….(kukubali)….
F1:mmmh(kukubali)…
P:sawa kabisa
F1:yaah
P:eeeh(kukubali)…
F1:eeeeeh(kuitika)…kwahiyo yaah
F1:uliongea na nanili….Restusi
P:nikasema
F1:ndio
F1:eeeeeh(kushangaa)…
Wote:kicheko
P:ile
F:eeeeh(kuitika)…
F1:ndio ndio
F2:uanze kujibu
P:aaaaaah(kukubali)…
F1:eeeeeh(kuitika)…..
Wote:kicheko
F1:lakini pia kusema inajibika ni kitu kizuri…unajua sasa nyingine…mmmh(kuitika)… ni ile tu kama vile
unavyosema hili swali naweza kulijibu lakini sasa ni aje….. mimi naweza kuamini……nashukuru kweli
yaani
F1:nashukuru
F1:sawa sawa
(Kicheko)
P:aaaaakh(kukubali)…
F1:eeeeh(kukubali)…
P:okay
F1:yaaah
P:sawa kabisa sawa kijijini nilishatoa taarifa iwapo kuna changamoto kidogo….eeeeeh(kuitika)…..lakini
naimani mazingira…….hatuwezi kushindwa ila sasa
P:mnaweza kukaa muda muda kwa sababu …..eeeeh(kukubali)…kule leo kijiji cha Mutikilwa asilimia
kubwa sana wanafanya kazi kwenye msitu….mmmmmh(kushangaa)….na leo ni siku ya kupata chochote
Wote:kicheko
P:kumbe……mtendaji nili communicate nae kuanzia jana ile ile….eeeeh(kukubali)….meseji nime…nime
simplfy…eeeh(kuitika)….kutumia lugha ambayo yeye ataielewa….(ndio)….nimemrushia watu
tunaowahitaji ata asubuhi nimempigia simu….(ndio)….nikamwambia by saa 6 ndio watakuwa wamefika
hapo…..
F1:okay….sawa sawa
P:mmmmmh…(kukubali)
F1:sawa kabisa
P:tutafanikiwa japo ki…ki…kiugumu kidogo kinaweza kikatuchukua muda kwa sababu unajua …..
F1:eeeeh(kukubali)….haina shida …kwa kweli unajua kitu kuna sehemu tulienda Kifanya napo tukakuta
moto usiku kabla….mmmh(kushangaa)….sasa siku inayofata tunaenda kwahiyo hata mwenyekiti nae
huku anahangaika na moto na nini…mmmh(kukubali)…kwahiyo incidence hizi zinatokea kwakweli sisi
tutajifiti kwenye problem iliyopo
F1:eeeh(kukubali)…..nashukuru
F1:ndio ndio
F1:eeeh(kukubali)….tulionana
P:mlionana
F1:eeeeeeh(kukubali)….tena…actual tulionana nae mara 2 hii…kama leo mara ya 3 kwa sababu wakati
ule tulikija mara ya kwanza na yeye baada ya mkutano wa Septemba,…(ndio)….tulikuja
tukamuona….eeeh(kukubali)…alafu mwaka jana tulipokuja kuongea na hawa wataalamu tulimuona pia
P:aaaah(kukubali)….basi haina shida na leo hayupo yupo Dodoma
F1:nafikili huyu….
F1:mei
F3:tukimkosa eeee
F3:active
F1:alikuwa active eee….baada ya kumaliza mkutano wa Iringa alitukarisha tukaongea nae tukamueleza
P:mnajua maana yake ni nini….eee(kushangaaa)…karibu wakati nimefanya kazi alafu baadae machale
yakanicheza…
F1:mmmmh(kukubali)…ndio
F1:ndio…okay….sawa sawa
P:yaani nilivyoona
F1:sawa
F1:sawa…tulisha na nii…
F3:bila go ahead
P:eeeeh(kukubali)
Wote:kicheko
F1:eeeeeh(kukubali)….
P:sasa sijui mna….mnashauri vipi….namna gani tunaweza kushare hii ila labda tuelekezane
vizuri…….aaaah(kukubali)….yani kuna mengine nime….ila ningependa sana tu….hata kama nimejibu
tufanye kama kudisikasi kidogo
F1:eeeeeh(kukubali)….sawa
P:vyovyote mtakavyoona inafaa kuliko nika….kwenye nanilii…na mengine nimejitahidi kujibu lakini
baadae mkagundua mengine labda nimeenda chaka kidogo
Wote:kicheko
F1:hata kama kuna swali unaweza ukatuuliza….labda unaona kwamba (mtu kakohoa)…labda halijawa…
P:na labda….
F1:na mengine zaidi ni uzoefu wa kwako ndio tunautegemea …..kwa sababu kuna vitu kama vya …..vya
takwimu….eeeeh(kukubali)…..zile ni…..unajua inategemea nyinyi mmezi organize namna gani…..lakini
mwisho wa siku…kama tulivyosema lengo lilikuwa….ni..ile…ile scale…..mmmmh(kuitikia)….scale ile nayo
inatokana na data zilizopo….mmmmh(kukubali)….na speed ofcourse unaweza ukaangalia kwa miaka
labda kuna kipindi ilikuwa kasi….mmmh(kukubali)….iliongezeka zaidi…..mmmh(kuitika)…. Na…labda
kama kuna swali ambalo halijawa…..mmmh(kuitika)….(muungurumo wa mashime)…..halijawa wazi
unaweza kuuliza na wenzangu nipo hapa maanake tulijiandaa…(kicheko)….tulijiandaa wote na unajua
mara nyingi wanasema pia unachoandika leo…..mmmmh(kukubali)…..kinaishi yani…kipo dynamic
ulipoandika labda ulikuwa unafikilia kitu….eeeeh(kukubali)…lakini kama kuna lolote unaweza kutuuliza
P:haina neno…..nataka nitoe hapa…(sawa)…listi kama kopi 2 hapa ili…(sawa sawa)…ili at least niwapatie
ili iwe rahisi….
F1:sawa sawa….nashukuru
P:nimejitahidi kueleza hapa kwa mfano idadi yao na nafasi zao….mmmh(kukubali)….nafasi zao
nimesema tupo wa 5…(okay)….wanaume 4 na mwanamke 1….(sawa sawa)….hapo tumesema mmoja ni
mkuu wa idara….(sawa sawa)…..ambaye ndio mimi sasa…(sawa sawa)…..1 ni afisa misitu nimekosea
nimeandika kabsa mitu,afisa misitu wa wilaya…(ndio ndio)….na 1 yupo Sekondegi, (Tanzania Forest
Development Trust….mmmh(kuitika)….. na 1 ni afisa misitu na mwingine ni msaidizi
misitu…..(okay)….nimeamua ku…collaborate hivi…(sawa sawa)….sijajua nyinyi data mnazitumiaje
mnaweza mkasema daaah wapo 5 wengi sana….mmmh(kushangaa)….sasa mimi sifanyi kazi ya kitaaluma
mimi nipo kwenye kazi za ki…administration….
F1:utawala……
F(female):mmmh(kukubali)…
F1:ndio….
F1:ndio
F1:ndio…mmmh(kukubali)…..
F1:ndio
F:sawa sawa
P:na hii Tanzania Forest Fund….kuna wanaondika hapa, Tanzania Forest Fund na hii….
F4:sawa sawa
F1:nayo ni halimashauri?
F(female):mmmmh(kuelewa)….
P:Tau Mashariki na hawa hawa….hawa hapa Easternant Mountain Conservation Development Fund
F1:sawa sawa
F1:sawa sawa
F4:sawa
P:…..alafu tena…. tena na huu mradi wa mto Kihansi tena mimi ndio mratibu wa huu mradi
F4:sawa sawa
P:sasa kule chini sasa nikaja kugundua hiyo kuna kipengele cha kusema tuoneshe linkage ndio nikaweka
hii kwamba ina halimashauri ndio nikasema hawa wenzetu wa Green source huwa wanahusisha uongozi
wa halmashauri hususani katika kupendekeza miradi ya kijamii na maeneo yanaoyopandwa miti….pia
halimashauri inashirikishwa katika jitihada za kutatua migogoro ya ardhi hususani mgogoro uliopo katika
kijiji cha Ibete….aaah(kukubali)….migogoro ni ya migogoro gani tutaiona huko chini kule….(sawa
sawa)…..hawa wanatushirikisha halimashauri kwa maana hiyo….(sawa sawa)…..na Town Forest hawa
tunashirikiana nao pia nimeeleza na Mufindi Development Trust hii ni NGO’s lakini pia wanaomba
washauri na wataalamu kutoka halmashauri
F(wote):sawa sawa
P:sawa alafu hiyo taarifa kuhusu program au miradi ya misitu inayohusika kutekelezwa wilayani kwa
miaka iliyopita
P:ndio hii 3 hapo…(sawa)…..kuna mradi wa hima , hifadhi ya mazingira miaka hiyo hapo na wafadhili
8….(sawa sawa)…..na kuna mradi wa PFM..nina imani mnaifahamu au mshawahi kuisikia nah ii…
F1:actual ukiangalia……
F3:mafunzo
F1:actual hapo ukiangalia ni….nii yaah unaweza kunani…kwa sababu hapa ilikuwa ni unaweza ukaniuliza
zaidi kwa sababu mafunzo sawa ukuaji miche na nini….unajua mara nyingi haya maswali huwa ni hata
mimi hayajawahigi ni sometimes ukisema
F1:labda kwa njia ya vikundi eeeeh(kukubali)….ya kw sababu ukiangalia sana kule ukiongea na wale ni
vikundi zaidi