You are on page 1of 1

TAASISI YA URITHI WA UTAMADUNI

YA
CHUO KIKUU CHA WAISLAM CHA MOROGORO
S.L.P: 87 Kilwa, Tanzania.
Simu: +255 23 2600256; Nukushi: +255 23 2600286
Barua Pepe: mum@mum.ac.tz, admissions@mum.ac.tz
Tovuti: www.mum.ac.tz

NAFASI YA MASOMO YA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA


(DIPLOMA)
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma), Chuo Kikuu cha Waislaam cha Morogoro,
anawatangazia wanafunzi wote waliomaliza kidato cha nne na cha sita; nafasi za masomo katika
ngazi za Astashahada na Stashahada katika Taasisi ya Urithi wa Utamaduni iliyopo Kilwa
Masoko. Kozi zinazofundishwa ni:

NA KOZI ALAMA ZA CHINI ZINAZOHITAJIKA KWA AJILI YA


KUJIUNGA
1. Astashahada na Stashahada ya Mwombaji wa Astashahada awe amefaulu masomo yoyote manne ya
Ununuzi na Ugavi (Certificate & kidato cha nne (Masomo ya biashara ama Hesabu yanapendekezwa
Diploma in Procurement & zaidi, na masomo ya dini hayazingatiwi) na Mwombaji wa Stashahada
Logistics Management) awe amefaulu Masomo mawili ya kidato cha sita kwa jumla ya alama 1.5
2. Astashahada na Stashahada ya Mwombaji wa Astashahada awe amefaulu masomo yoyote manne ya
Uendeshaji wa Benki Kisharia’h na kidato cha nne (Masomo ya biashara ama Hesabu yanapendekezwa
Utunzaji wa Fedha (Certificate & Zaidi, na somo la Maarifa ya Uislaamu linakubaliwa) na Mwombaji wa
Diploma in Islamic Banking & Stashahada awe amefaulu Masomo mawili ya kidato cha sita kwa jumla
Finance) ya alama 1.5
3. Astashahada na Stashahada ya Mwombaji wa Astashahada awe amefaulu masomo yoyote manne ya
Sheria na Shariah (Certificate & kidato cha nne (somo la Maarifa ya Uislaamu linakubaliwa) na Mwombaji
Diploma in Law with Shariah) wa Stashahada awe amefaulu Masomo mawili ya kidato cha sita kwa
jumla ya alama 1.5
4. Astashahada na Stashahada ya Mwombaji wa Astashahada awe amefaulu masomo manne ya kidato cha
Uhasibu (Certificate & Diploma in nne (ikiwemo hesabu, masomo ya dini hayazingatiwi) Mwombaji wa
Accountancy) Stashahada awe amefaulu Masomo mawili ya kidato cha sita kwa jumla
ya alama 1.5
5. Astashahada na Stashahada ya Mwombaji wa Astashahada awe amefaulu masomo yoyote manne ya
Utawala wa Biashara (Certificate & kidato cha nne (Masomo ya biashara ama Hesabu yanapendekezwa
Diploma in Business zaidi, na masomo ya dini hayazingatiwi) na Mwombaji wa Stashahada
Administration) awe amefaulu Masomo mawili ya kidato cha sita kwa jumla ya alama 1.5

NAMNA YA KUOMBA CHUO.

Fomu za maombi zinapatikana katika tovuti ya chuo www.mum.ac.tz. Jaza fomu kisha tuma kwa
email: admissions@mum.ac.tz or mumadmit@gmail.com

Wasiliana nasi:

Kwa mawasiliano zaidi piga simu nambari 0715636905, 0655003744, 0655207993.

KARIBUNI.

You might also like