PRACTICAL TRAINING [IPT] KWA WANAFUNZI WA BACHELOR
2018/2019.
Habari ndugu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Technolojia Mbeya.
Serikali ya wanafunzi (MUSTSO) kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na Ofisi ya Mafunzo Viwandani (ILO) inapenda kuwajulisha wanafunzi wote wa Bachelor juu ya kuwepo kwa mgawanyo mpya wa alama za IPT uliopitishwa katika kikao cha 11 cha SENATE kilichofanyika tarehe 6.05.2018 . Mchanganuo mpya wa alama utakaotumika katika kusahihisha logbooks na Assessment Forms za IPT ni kama ufuatao; Industrial supervisor - 20%