You are on page 1of 8

Habari

HABARI ZA ULI M WE NG U | 07.07.2019 | 15:00


‫إيران خرقت العقد النووي‬
‫قالت إيران اليوم إنها ستبدأ في خرق االتفاق على مستوى تعدين اليورانيوم وتجاوز ما تم التوصل إليه في االتفاق النووي لعام‬
‫ وتقول إيران إنها تنتهك االتفاق النووي الذي‬.‫ وهي الخطوة التي ستؤدي إلى إعادة ضبط البالد على العقوبات الدولية‬، 2015
‫ وقال رئيس الوزراء اإلسرائيلي بنيامين نتنياهو إن هذه الخطوة‬، ‫قررت الواليات المتحدة االنسحاب منه منذ العام الماضي‬
‫قال مسؤولون حكوميون إيرانيون إن إيران ستواصل‬.‫خطيرة للغاية وطالبت الدول األوروبية بمعاقبة إيران لفرضها عقوبات‬
‫ يو ًما إذا لم يتخذ الموقعون على االتفاقية تدابير للحماية من الرئيس األمريكي دونالد ترامب‬60 ‫تخفيض التزامها بالعقد بعد‬.

Iran broke the nuclear contract


Iran has said today that it will begin to break the agreement on the level of uranium
mining and the excess of what was reached in the 2015 nuclear agreement, a move that
will lead to the country being re-set to international sanctions. Iran says that it violates
the nuclear agreement that the United States decided to withdraw from the previous
year. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said the move is very dangerous and
has demanded European countries to punish Iran for imposing sanctions.Iranian
government officials have said Iran will continue to reduce its compliance with the
contract after 60 days if the signatories of the agreement will not take measures to
protect against US President Donald Trump.

L'Iran a rompu le contrat nucléaire


L’Iran a annoncé aujourd’hui qu’il commencerait à rompre l’accord sur le niveau
d’extraction de l’uranium et sur le dépassement de ce qui avait été conclu dans l’accord
sur le nucléaire de 2015, une décision qui conduira le pays à se remettre des sanctions
internationales. Le Premier ministre israélien, Benjamin Netanyahu, a déclaré que cette
décision était très dangereuse et violait l'accord nucléaire que les Etats-Unis avaient
décidé de retirer de l'année précédente, exigeant des pays européens qu'ils punissent
l'Iran d'imposer des sanctions.Des responsables du gouvernement iranien ont déclaré
que l'Iran continuerait à réduire le nombre de ses obligations contractuelles après 60
jours si les signataires de l'accord ne prenaient pas de mesures de protection contre le
président américain Donald Trump.

Iran kuvunja mkataba wa kinyuklia


Iran imesema leo kwamba itaanza kuvunja mkataba kuhusu kiwango cha kurututubisha
madini ya urani na kupindukia kile kilichoafikiwa katika makubaliano ya nyuklia ya
mwaka 2015, hatua ambayo itapelekea nchi hiyo kuwekewa tena vikwazo vya
kimataifa.Hali ya wasiwasi ikiwa inaongezeka, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron
amekosoa uamuzi huo wa Iran na kusema kwamba unakiuka makubaliano hayo ya
nyuklia ambayo Marekani iliamua kujiondoa mwaka uliopita.Waziri Mkuu wa Israel
Benjamin Netanyahu amesema hatua hiyo ni ya hatari sana na amezitaka nchi za Ulaya
kuiadhibu Iran kwa kuiwekea vikwazo.Katika mkutano na wanahabari, maafisa wakuu
wa serikali ya Iran wamesema kuwa Iran itaendelea kupunguza uzingatiaji wake wa
mkataba huo baada ya kila siku 60 iwapo mataifa yaliotia saini mkataba huo
hayatachukuwa hatua za kuilinda dhidi ya vikwazo vya Rais wa Marekani Donald
Trump.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

‫السفير البريطاني في إنجلترا اشتكى من الحرب الباردة‬


‫قال سفير الصين لدى إنجلترا ليو شياو مينغ إن الصين ليس لديها نية للدخول في الصراع الدبلوماسي مع بريطانيا وأنها ال‬
‫ في حالة هونج‬.‫تزال ملتزمة بعالقة جيدة بين البلدين لكنها تعارض مفهوم "الحرب الباردة" من بعض السياسيين البريطانيين‬
‫ كانت هناك زيادة في الحرب بين الصين والمملكة المتحدة في أعقاب احتجاج حاشد في هونغ كونغ ضد تعليق مؤجل‬، ‫كونج‬
، ‫ لدى الصين إيمان قوي بهونج كونج لمعالجة هذه القضية‬.‫يسمح بتصدير المشتبه بهم إلى الصين القارية لسماع مطالبهم‬
‫وهي حكومة بريطانية تتدخل في الشؤون المحلية‬.

The British Ambassador to England complained about the cold war


China's Ambassador to England Liu Xiaoming, said China has no intention of entering
the diplomatic conflict with Britain and that it is still committed to a good relationship
between the two countries but opposes the concept of '' cold war '' from some of the
British politicians. In the case of Hong Kong, there has been an increase in the war
between China and the UK following a massive protest in Hong Kong against a
postponed suspension that would allow suspects to be exported to mainland China to
hear their demands. Ambassador Liu told BBC News China has a strong belief in Hong
Kong to address the issue and it is a British government intervening in local affairs.

L'ambassadeur britannique en Angleterre s'est plaint de la guerre froide


L'ambassadeur de Chine en Angleterre, Liu Xiaoming, a déclaré que la Chine n'avait pas
l'intention d'entrer dans le conflit diplomatique avec la Grande-Bretagne et qu'elle était
toujours attachée à de bonnes relations entre les deux pays, mais s'opposait au concept
de "guerre froide" de certains hommes politiques britanniques. Dans le cas de Hong
Kong, la guerre entre la Chine et le Royaume-Uni s'est intensifiée à la suite d'une
manifestation massive à Hong Kong contre une suspension différée qui permettrait aux
suspects d'être exportés en Chine continentale afin d'entendre leurs demandes.
L'Ambassadeur Liu a déclaré à BBC News La Chine a la ferme conviction que Hong
Kong doit s'attaquer au problème. C'est un gouvernement britannique qui intervient
dans les affaires locales.

Balozi wa China Uingereza alalamika kuhusu vita baridi


Balozi wa China nchini Uingereza Liu Xiaoming, amesema kuwa China haina nia ya
kuingia katika vita vya kidiplomasia na Uingereza na kwamba bado imejitolea katika
uhusiano mwema kati ya mataifa hayo mawili lakini inapinga dhana ya ''vita baridi''
kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wa Uingereza kuhusiana na suala la Hong
Kong.Kumekuwa na ongezeko la vita vya maneno kati ya China na Uingereza kufuatia
maandamano makubwa mjini Hong Kong dhidi ya musuada ulioahirishwa kwa sasa
ambao ungeruhusu washukiwa kusafirishwa hadi China bara kusikilizwa mashataka
yao.Balozi Liu ameliambia shirika la habari la BBC kuwa China ina imani thabiti kwa
Hong Kong kushughulikia suala hilo na ni serikali ya Uingereza inayoingilia masuala ya
ndani ya eneo hilo.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

‫الحديث‬
‫عن أفغانستان يبدأ قطر‬
‫قال مسؤولون حكوميون في أفغانستان إن جماعة طالبان المسلحة فجرت قنبلة سقطت في سيارة بالقرب من إدارة المخابرات‬
‫صا بينهم قبل ساعات‬ً ‫ شخ‬180 ‫صا وإصابة أكثر من‬ ً ‫ شخ‬14 ‫الرئيسية بالوزارة في غزنة اليوم وأدت إلى مقتل ما يقرب من‬
‫ بدأت مجموعة من مسلحي طالبان في‬، ‫قليلة من االجتماع الذي عقد في قطر بهدف إرساء األساس لمشاورات السالم‬
‫أفغانستان ورسالة تضم مسؤولين من مختلف أنحاء المجتمع في الدوحة في قطر اليوم‬. ‫حضر المؤتمر الذي استمر يومين‬
‫ مدنيا من أفغانستان‬60 ‫والذي نظمته حكومتا قطر وألمانيا قرابة‬. 17 ‫ممثال عن مجموعة طالبان سيشاركون في المفاوضات‬.
Talk about Afghanistan begins Qatar
Government officials in Afghanistan have said the Taliban militant group has exploded a
bomb that had been dropped into a car near the department's main intelligence
department in Ghazni today and led to approximately 14 deaths and injuring more than
180 people including A few hours before the meeting in Qatar aimed at laying the
foundation for peace consultation. The inside of Afghanistan's group of Taliban
militants and a message that includes officials from various parts of the community have
started in Doha in Qatar today. The two-day conference organized by the Qatar and
Germany governments has been attended by nearly 60 civilians of Afghanistan. 17
representatives of the Taliban group will participate in the negotiations.

Parler de l'Afghanistan commence au Qatar


Des responsables gouvernementaux en Afghanistan ont déclaré que le groupe militant
taliban avait fait exploser une bombe qui avait été larguée dans une voiture près du
département du renseignement principal du département à Ghazni et avait fait environ
14 morts et plus de 180 blessés, dont Quelques heures avant la réunion au Qatar,
l'objectif était de jeter les bases d'une consultation de paix.L'intérieur du groupe de
militants talibans en Afghanistan et un message qui inclut des responsables de diverses
parties de la communauté ont débuté à Doha au Qatar aujourd'hui. Près de 60 civils
afghans ont assisté à la conférence de deux jours organisée par les gouvernements du
Qatar et de l'Allemagne. 17 représentants du groupe des talibans participeront aux
négociations.

Mazungumzo kuhusu Afghanistan yaanza Qatar


Maafisa wa serikali nchini Afghanistan wamesema kuwa kundi la wanamgambo la
Taliban limelipua bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na ofisi ya idara kuu
ya ujasusi katika mji wa Ghazni hii leo na kusababisha vifo vya takriban watu 14 na
kuwajeruhi wengine zaidi ya 180 ikiwa ni pamoja na watoto saa chache kabla ya
mkutano nchini Qatar unaolenga kuweka msingi wa mashauriano ya
amani.Mashauriano hayo ya ndani ya Afghanistan kati ya kundi la wanamgambo la
Taliban na ujumbe unaojumuisha maafisa wakuu kutoka sehemu mbali mbali za jamii
yameanza mjini Doha nchini Qatar hii leo. Kongamano hilo la siku mbili linaloandaliwa
na serikali za Qatar na Germany limehudhuriwa na takriban raia 60 wa Afghanistan.
Waakilishi 17 wa kundi la Taliban watashiriki katika mazungumzo hayo. Washiriki
wengine wanatoka katika sekta nyingine za kijamii na maeneo nchini humo na hakuna
atakayeuwakilisha upande wa serikali ya nchi hiyo.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

‫وزير الخارجية العماني يزور سوريا‬

‫وصل وزير الخارجية العماني يوسف بن علوي إلى سوريا للقاء رئيس الدولة بشار األسد اليوم‬. ‫هذا وف ًقا لوكالة األنباء‬
‫ وقد أبلغ‬، ‫ فهو األول من أكبر الممثلين الوطنيين لخليج سوريا منذ ما يقرب من ست سنوات‬، ‫الرسمية "سانا" في سوريا‬
‫التقرير دون تقديم مزيد من المعلومات أن األسد تفاوض مع كبار المسؤولين العمانيين حول التحديات التي تواجه المنطقة‬
‫ أبلغت البعثات الدبلوماسية الدبلوماسية في السفارة العمانية بدمشق وكالة األنباء األلمانية (د ب أ) أن‬:‫وكيفية التعامل معها‬
‫األسد وبن علوي ناقشا العالقة بين البلدين‬.
Oman's foreign minister visit Syria
Oman Foreign Affairs Minister Youssef bin Alawi has arrived in Syria to meet the
president of this country Bashar al-Assad today. This is according to the official SANA
news agency in Syria. It is the first of the largest national representative of the Gulf of
Syria for nearly six years. The report has reported without providing further information
that al-Assad has negotiated with Oman chief officials about The challenges facing the
area and how to deal with them. Diplomatic diplomatic missions in the Omani embassy
in Damascus have told the dpa news agency that al-Assad and Bin Alawi have discussed
the relationship between the two countries.
Visite du ministre des Affaires étrangères d'Oman en Syrie
Le ministre des Affaires étrangères d'Oman, Youssef bin Alawi, est arrivé aujourd'hui en
Syrie pour rencontrer le président de ce pays, Bachar al-Assad. Selon l'agence de presse
officielle SANA en Syrie, il s'agit du premier du plus grand représentant national du
golfe de Syrie depuis près de six ans. Le rapport a rapporté sans fournir d'autres
informations qu'Al-Assad avait négocié avec les principaux responsables omanais Les
missions diplomatiques à l'ambassade d'Oman à Damas ont informé l'agence de presse
dpa qu'Al-Assad et Bin Alawi avaient discuté des relations entre les deux pays.

Waziri wa kigeni wa Omani azuru Syria


Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Youssef bin Alawi amewasili nchini Syria kukutana
na rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad hii leo. Hii ni kulingana na shirika rasmi la habari
la SANA nchini Syria.Ziara hiyo ni ya kwanza ya mwakilishi mkuu wa taifa la ghuba
nchini Syria kwa takriban miaka sita.Shirika hilo limeripoti bila kutoa habari zaidi
kwamba al- Assad amejadiliana na maafisa wakuu wa Oman kuhusu changamoto
zinazolikabili eneo hilo na jinsi ya kukabiliana nazo.Duru za kidiplomasia katika ubalozi
wa Omani mjini Damascus zimeliambia shirika la habari la dpa kwamba al-Assad na Bin
Alawi walijadiliana kuhusu kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Vita
vinafikia kikomo nchini Syria baada ya vikosi vya kijeshi vya serikali vinayoungwa
mkono na Urusi kunyakuwa ngome zilizokuwa zimetekwa na waasi na kundi linalojiita
Dola la Kiislamu - IS na kuimarisha uongozi wa al-Assad.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

‫البابا‬
‫يتهم هجوم المهاجرين الليبيين‬
ً ‫ شخ‬50 ‫أدان زعيم الكنيسة الكاثوليكية البابا فرانسيس الهجوم الجوي المبكر هذا األسبوع والذي أدى إلى مقتل أكثر من‬
‫صا‬
‫في مخيم لالجئين في ليبيا‬. ‫ قال البابا إن المجتمع الدولي ال يمكن أن يتسامح مع مثل هذه األحداث الفظيعة‬، ‫بعد عبادة األحد‬
‫وأنه يصلي من أجل الضحايا‬. ‫ دعا البابا إلى بذل جهود مشتركة في العملية‬، ‫مخاطبة المؤمنين في ملعب القديس بطرس‬
‫اإلنسانية لنقل المهاجرين ذوي االحتياجات اإلضافية من ليبيا‬. ‫وحث المؤمنين على االنضمام إليه في صمت أثناء تذكر ضحايا‬
‫اإلبادة الجماعية األخيرة في أفغانستان ومالي وبوركينا فاسو والنيجر‬. ‫تم تجنيد النداء عندما سقط مئات المهاجرين في إيطاليا‬
، ‫في وقت سابق اليوم بعد أن هبطت سفينة اإلبحار في جزيرة المبيدوسا‬
The Pope accuses the attack of immigrants Libya
The Catholic Church leader Pope Francis has condemned an early aerial attack this week
that led to more than 50 deaths in a refugee camp in Libya. After Sunday worship, the
Pope has said that the international community cannot tolerate such terrible events and
that he is praying for victims. Addressing the believers in the Saint Peter's stadium, the
Pope called for joint efforts in the humanitarian process of removing migrants with
more needs from Libya. He urged the believers to join him in silence during
remembering victims of the most recent genocide in Afghanistan, Mali, Burkinafaso and
Niger. The call is recruited when hundreds of immigrants have dropped in Italy earlier
today after their sailing ship landed on the island of Lampedusa,

Le pape accuse l'attaque d'immigrants en Libye


Le pape François, dirigeant de l'Église catholique, a condamné cette semaine une
attaque aérienne qui aurait fait plus de 50 morts dans un camp de réfugiés en
Libye. Après le culte du dimanche, le pape a déclaré que la communauté internationale
ne pouvait tolérer de tels événements et qu'il priait pour les victimes. S'adressant aux
fidèles du stade Saint-Pierre, le pape a appelé à des efforts communs dans le processus
humanitaire d'élimination des migrants ayant plus de besoins de la Libye. Il a exhorté
les croyants à le rejoindre silencieusement lors de la commémoration des victimes du
dernier génocide en Afghanistan, au Mali, au Burkina Faso et au Niger. L'appel est
recruté lorsque des centaines d'immigrés sont tombés en Italie plus tôt aujourd'hui
après que leur voilier a atterri sur l'île de Lampedusa,
Papa ashtumu shambulizi la wahamiaji Libya
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amelaani shambulizi la angani la
mapema wiki hii lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50 katika kambi ya kuzuia
wahamiaji nchini Libya. Baada ya ibada ya Jumapili, Papa amesema kuwa jamii ya
kimataifa haiwezi kuvumilia matukio mabaya kama hayo na kwamba anawaombea
waathiriwa. Akiwahutubia waumini katika uwanja wa Mtakatifu Peter, Papa alitoa wito
wa juhudi za pamoja katika hatua ya kibinadamu za kuwaondoa wahamiaji walio na
mahitaji zaidi kutoka Libya. Aliwahimza waumini kushirikiana naye katika muda wa
ukimya kuwakumbuka waathiriwa wa mauaji ya kiholela ya hivi karibu nchini
Afghanistan, Mali, Burkinafaso na Niger. Wito huo unajiri wakati mamia ya wahamiaji
wameshuka nchini Italia mapema leo baada ya meli yao ya uokozi kutia nanga katika
kisiwa cha Lampedusa, hii ikiwa meli ya pili katika muda wa wiki moja kukaidi juhudi za
waziri wa ndani wa Italia Matteo Salvini za kuwazuia wahamiaji kuingia nchini humo.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

‫يتوقع ديفيد غوك أن يدافع البرلمان عن اتفاق خروج بريطانيا من االتحاد األوروبي‬
‫قال وزير العدل البريطاني ديفيد جوك اليوم إن برلمان البالد سيجد طريقة لمنع رئيس الوزراء الجديد من إبعاد بريطانيا عن‬
‫االتحاد األوروبي دون اتفاق‬. ‫ إنه‬، ‫قال بوريس جونسون الذي يقود السباق إلى تيريزا ماي كرئيس وزراء للبالد هذا الشهر‬
‫ أكتوبر إذا كانت ستحصل على اتفاق أم ال‬31 ‫ينبغي على المملكة المتحدة مغادرة االتحاد األوروبي بحلول‬. ‫وكثيرا ما أظهر‬
‫البرلمان معارضته لبريطانيا لالنسحاب من االتحاد األوروبي دون اتفاق‬. )‫وقال جوك لوكالة األنباء البريطانية (بي بي سي‬
‫ فإنه يأمل أن يجد البرلمان‬، ‫إنه وفقًا لموقف كبير في البرلمان والمعارضة ضد انسحاب األمة في االتحاد األوروبي دون اتفاق‬
‫طريقة لتجنب هذا الوضع‬.

David Gauke expects parliament to defend Brexit's agreement


British Minister of Justice David Gauke said today that the country's parliament will
find a way to stop the new prime minister from removing Britain from the European
Union without the agreement. Boris Johnson who leads the race to Theresa May as the
country's prime minister this month, said the UK should leave the European Union by
31 October if it will receive an agreement or not. Parliament has often demonstrated its
opposition to Britain to withdraw from the European Union without the
agreement. Gauke told the BBC news agency that according to a substantial position in
the parliament and the opposition they had against the withdrawal of the nation in the
European Union without agreement, he hopes Parliament will find a way to avoid the
situation.

David Gauke s'attend à ce que le Parlement défende l'accord du Brexit


Le ministre britannique de la Justice, David Gauke, a déclaré aujourd'hui que le
parlement du pays trouverait un moyen d'empêcher le nouveau Premier ministre
d'éliminer la Grande-Bretagne de l'Union européenne sans l'accord. Boris Johnson, qui
dirige la course à Theresa May en tant que Premier ministre du pays ce mois-ci, a
déclaré que le Royaume-Uni devrait quitter l'Union européenne avant le 31 octobre, si
un accord lui sera accordé ou non. Le Parlement a souvent manifesté son opposition à ce
que la Grande-Bretagne se retire de l'Union européenne sans l'accord. Gauke a déclaré à
l'agence de presse BBC que, selon une position substantielle au parlement et
l'opposition opposée au retrait de la nation dans l'Union européenne sans accord, il
espère que le Parlement trouvera le moyen d'éviter la situation.

David Gauke atarajia bunge kutetea kuweko makubaliano ya Brexit


Waziri wa sheria wa Uingereza David Gauke amesema leo kwamba bunge la nchi hiyo
litatafuta njia ya kumzuia waziri mkuu mpya kuiondoa Uingereza katika Umoja wa
Ulaya bila ya kuwepo kwa makubaliano. Boris Johnson anayeongoza katika
kinyang'anyiro cha kumrithi Theresa May kama waziri mkuu wa nchi hiyo mwezi huu,
amesema Uingereza lazima iondoke katika Umoja wa Ulaya kufikia tarehe 31 mwezi
Oktoba iwapo itapata makubaliano au la. Bunge mara kwa mara limeonyesha upinzani
wake dhidi ya Uingereza kujiondoa kutoka katika Umoja wa Ulaya bila kuwepo kwa
makubaliano. Gauke aliliambia shirika la habari la BBC kuwa kulingana na msimamo
wa upande wenye uwakilishi mkubwa katika bunge na upinzani walionao dhidi
kujiondoa kwa taifa hilo katika Umoja wa Ulaya bila makubaliano, anatumaini Bunge
litatafuta njia ya kuiepusha hali hiyo.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
‫القادة األفارقة يوقعون اتفاقية تجارية‬
‫ وقد وقع الرئيس النيجيري‬، ‫وقعت نيجيريا وبنين اتفاقية تجارية تاريخية إلى جانب قمة االتحاد األفريقي في النيجر اليوم‬
‫ من النيجر‬.‫ العاصمة‬، ‫محمدو بوهاري ونظيره بنين باتريس تالون العقد مع المؤتمر في نيامي‬. ‫يجتمع القادة األفارقة اليوم في‬
‫البالد للتوقيع على اتفاقية اتفاقية التجارة الحرة ومراجعة أزمة األمن والهجرة في البالد‬. ، ‫وفقًا لرئيس االئتالف موسى فكي‬
‫ فإن قادة هذه الدول سيطلقون منطقة تجارة حرة للقارة األفريقية خالل‬، ‫المؤتمر التاريخي للدول الخمس والخمسين األعضاء‬
‫المؤتمر في نيامي‬.
African leaders to sign a trade agreement
Nigeria and Benin have signed a historic trade agreement on the side of the African
Union summit in Niger today, Nigeria's President Muhammadu Buhari and his
counterpart Benin Patrice Talon have signed the contract with the congress in Niamey,
the capital. Niger. African leaders meet today in the country for a signing of a free trade
agreement agreement and review the security and immigration crisis in the
country. According to the coalition chairman Moussa Faki, the historic conference of the
55 member states, the leaders of these countries will launch a free trade zone for the
African continent during the conference in Niamey.

Les dirigeants africains vont signer un accord commercial


Le Nigéria et le Bénin ont signé un accord commercial historique du côté du sommet de
l'Union africaine au Niger, le président du Nigeria, Muhammadu Buhari, et son
homologue du Bénin, Patrice Talon, ont signé le contrat avec le congrès de Niamey, la
capitale. Niger. Les dirigeants africains se réunissent aujourd'hui dans le pays pour
signer un accord de libre-échange et examiner la crise de la sécurité et de l'immigration
dans le pays. Selon le président de la coalition, Moussa Faki, lors de la conférence
historique des 55 États membres, les dirigeants de ces pays vont créer une zone de libre
échange pour le continent africain lors de la conférence à Niamey.

Viongozi wa Afrika kutia saini mkataba wa kibiashara


Nigeria na Benin zimetia saini mkataba wa kihistoria wa kibiashara pembezoni mwa
mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika nchini Niger hii leo Rais wa Nigeria
Muhammadu Buhari na mwenzake wa Benin Patrice Talon wametia saini mkataba huo
huku wakishangiliwa na washiriki wa kongamano hilo mjini Niamey, mji mkuu wa
Niger. Viongozi wa Afrika wanakutana leo nchini humo kwa mkutano wa kutia saini
makubaliano ya kihistroria ya biashara huru na kujadilia mzozo wa usalama na uhamiaji
unaohofiwa barani humo. Kulingana na mwenyekiti wa muungano huo Moussa Faki,
kongamano hilo la kihistoria la kundi hilo la mataifa wanachama 55,viongozi wa mataifa
hayo watazindua rasmi eneo huru la kibiashara la bara Afrika wakati wa kongamano
hilo mjini Niamey. Makubaliano hayo yanajiri baada ya miaka 17 ya mashauriano
makali na yaliyoafikiwa rasmi mwishoni mwa mwezi Aprili wakati makubaliano hayo
yalipovuka kiwango cha uzinduzi kilichohitaji kuratibishwa na angalau mataifa
22.Nigeria, taifa lenye idadi kubwa zaidi ya watu na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika,
ilitangaza wiki hii kwamba itajiunga na makubaliano hayo ya Niamey baada ya
kujiondoa bila kutarajiwa mwaka jana .
https://www.dw.com/sw/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

You might also like