You are on page 1of 6

Waziri mkuu wa Uingereza aamua bunge lisitishe vikao kwa muda

Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza amelikubali pendekezo la waziri mkuu Boris


Johnson anaetaka bunge la nchi hiyo lifungwe kwa muda kuanzia kati kati ya mwezi
unaokuja wa Septemba hadi kati kati ya mwezi wa Octoba. Baraza la washauri wa
malkia limesema katika taarifa yake kipindi hicho cha kusita shughuli za bunge kitaanza
sio "kabla ya jumatatu inayokuja" na wala sio baada ya Alkhamisi ya september 12
kufikia jumatatu ya October 14 mwaka huu wa 2019. Waziri mkuu Boris Johnson
alituma pendekezo hilo mapema hii leo kwa kile ambacho viongozi wa upinzani
wanakitaja kuwa njama ya kutaka kuwazuwia wabunge kuupinga mpango wa Uingereza
kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila ya maridhiano.

The British prime minister decides the parliament should suspend the
sessions temporarily
Queen Elizabeth II of England has welcomed the proposal of prime minister Boris
Johnson calling for the country's parliament to be temporarily closed from mid-
September to mid-October. The queen's advisory council said in a statement the period
of reluctance to take up parliamentary activities would begin not "before next Monday"
and not after September 12, until October 14, 2019. Prime Minister Boris Johnson sent
the proposal earlier today in what opposition leaders refer to as a conspiracy to prevent
MPs from opposing the British plan to withdraw from the European Union without a
compromise.

‫يقرر رئيس الوزراء البريطاني أن على البرلمان تعليق الجلسات مؤقتًا‬

‫رحبت الملكة إليزابيث الثانية ملكة إنجلترا باقتراح رئيس الوزراء بوريس جونسون الداعي إلى إغالق البرلمان في البالد‬
‫مؤقتًا من منتصف سبتمبر إلى منتصف أكتوبر‬. ‫وقال المجلس االستشاري للملكة في بيان إن فترة اإلحجام عن ممارسة‬
‫ أرسل رئيس الوزراء بوريس‬.2019 ‫ أكتوبر‬14 ‫ سبتمبر حتى‬12 ‫األنشطة البرلمانية لن تبدأ "قبل االثنين المقبل" وليس بعد‬
‫جونسون االقتراح في وقت سابق اليوم فيما يشير قادة المعارضة إلى مؤامرة لمنع النواب من معارضة الخطة البريطانية‬
‫لالنسحاب من االتحاد األوروبي دون حل وسط‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Marekani yajiandaa kuzungumza na waasi wa Houthi nchini Yemen


Marekani inajiandaa kuzungumza ana kwa ana na waasi wa Houthi wanaoungwa mkono
na Iran. Lengo la mazungumzo hayo ni kumaliza vita vya Yemen vilivyoangamiza
maelfu ya maisha ya binaadam. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Wall Street Journal
toleo la leo. Pendekezo hilo, la kwanza kulenga mazungumzo kati ya Washington na
Houthi katika kipindi cha miaka zaidi ya minne iliyopita, limetolewa baada ya waasi
kufyetua makombora na ndege zinazoruka bila ya rubani dhidi ya nchi jirani ya Saudi
Arabia."Marekani inafanya juhudi za kuitanabahisha Saudi Arabia ishiriki katika
mazungumzo ya siri nchini Oman pamoja na viongozi wa Houthi kwa lengo la kufikia
makubaliano ya kuweka silaha nchini Yemen."Hayo ni kwa mujibu wa duru za
kuaminika zilizonukuliwa na Gazeti la Wall Street Journal.
The United States is preparing to speak with the Houthi rebels in Yemen
The United States is preparing to speak face-to-face with Iran-backed Houthi
rebels. The purpose of the talks is to end the war in Yemen that has destroyed thousands
of lives. That's according to today's Wall Street Journal edition. The proposal, the first to
focus on talks between Washington and Houthi over four years ago, was issued after
rebels fired missiles and aircraft flying over neighboring Saudi Arabia. "The US is
making efforts to keep Saudi Arabia involved in secret negotiations in Oman with
Houthi leaders with the aim of reaching an agreement to keep weapons in Yemen. "This
is according to credible circles quoted by The Wall Street Journal.

‫الو اليات المتحدة تستعد للتحدث مع المتمردين الحوثيين في اليمن‬


‫تستعد الواليات المتحدة للتحدث وجها ً لوجه مع المتمردين الحوثيين الذين تدعمهم إيران‬. ‫والغرض من المحادثات هو إنهاء‬
‫الحرب في اليمن التي دمرت اآلالف من األرواح‬. ‫هذا وفقًا إلصدار صحيفة وول ستريت جورنال اليوم‬. ، ‫صدر االقتراح‬
‫ بعد أن أطلق المتمردون صواريخ‬، ‫وهو أول من يركز على المحادثات بين واشنطن والحوثي منذ أكثر من أربع سنوات‬
‫ "تبذل الواليات المتحدة جهودًا إلبقاء المملكة العربية السعودية‬.‫وطائرات تحلق فوق المملكة العربية السعودية المجاورة‬
‫ "هذا وفقا‬.‫ضالعة في مفاوضات سرية في عمان مع قادة الحوثيين بهدف التوصل إلى اتفاق للحفاظ على األسلحة في اليمن‬
‫لدوائر موثوقة نقلتها صحيفة وول ستريت جورنال‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Vikosi vyaa serikaali ya Yem,en vaiukomboa mjin wa Aden


Vikosi vya serikali ya Yemen vimefanikiwa kuingia katika mji mkuu wa mpito-Aden.
Waziri wa habari Mohammed al Erjani amesema kupitia mtandao wa Twitter uwanja wa
ndege wa Aden umesha kombolewa. Wakaazi wa mji huo wamethibitisha habari hizo.
Kabla ya hapo vikosi vya serikali viliyakomboa maeneo zaidi ya mkoa wa Abyan-
ameendelea kusema waziri wa habari al-Erjani. Waasi wanaopigania kujitenga eneo la
kusini la Yemen waliuteka mji huo wa mwambao wa Aden baada ya mapigano makali
dhidi ya vikosi vya serikali. Itafaa kusema hapa kwamba pande hizo mbili zilikuwa
zikishirikiana katika mapigano dhidi ya adui wao wa pamoja, waasi wa kishia-Houthi
wanaoungwa mkono na Iran.

Yem's government forces, enlisting Aden's army


Yemeni government forces have successfully entered the transitional capital of
Aden. Information Minister Mohammed al Erjani said via Twitter's Aden airport that
the airport had been rescued. Residents of the town confirmed the news. Before that
government forces liberated more areas of the Abyan region — he has continued to say
the news minister al-Erjani. Rebels fighting to break away from southern Yemen seized
the coastal city of Aden after fierce fighting against government forces. It is fair to say
here that the two sides were cooperating in the fight against their allied, Iran-backed
Houthi rebels.

‫ تجنيد جيش عدن‬، ‫القو ات الحكومية اليم‬


‫دخلت قوات الحكومة اليمنية بنجاح العاصمة االنتقالية عدن‬. ‫وقال وزير اإلعالم محمد العرجاني عبر مطار عدن على تويتر‬
‫إنه تم إنقاذ المطار‬. ‫وأكد سكان المدينة الخبر‬. - ‫ قامت القوات الحكومية بتحرير المزيد من المناطق في منطقة أبين‬، ‫قبل ذلك‬
‫واستمر في قول وزير األخبار العرجاني‬. ‫استولى المتمردون الذين يقاتلون من أجل االنفصال عن جنوب اليمن على مدينة‬
‫عدن الساحلية بعد قتال عنيف ضد القوات الحكومية‬. ‫من العدل أن نقول هنا أن الجانبين كانا يتعاونان في القتال ضد المتمردين‬
‫الحوثيين الحلفاء الذين تدعمهم إيران‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Japan yaifuta Korea ya Kusini katika orodha ya mataifa yanayopendelewa


zaidi kibiashara
Japan imeamua kuifuta Korea ya Kusini katika orodha ya mataifa yanayopendelewa
zaidi miongoni mwa washirika wa kibiashara.Viongozi wa Korea ya Kusini wameelezea
"masikitiko yao" kutokana na uamuzi huo wa Japan. Viongozi wa mjini Seoul
wamemwita balozi wa Japan na kumuelezea malalamiko yao. Korea ya Kusini imetishia
kulipiza kisasi kwa kuitoa Japan pia katika orodha kama hiyo ya washirika
wanaopendelewa zaidi kibiashara. Wakati huo huo waziri mkuu wa Korea ya Kusini Lee
Nak Yeon anahimiza mazungumzo yaitishwe. Chanzo cha mzozo wa kibiashara
unaoendelea kwa kadiri ya wiki moja sasa kimesababishwa na hoja za Korea ya Kusini
kutaka walipwe fidia raia wa nchi hiyo waliolazimishwa kufanya kazi wakati wa utawala
wa kikoloni wa Japan nchini humo.

Japan ranks South Korea in the list of the most favored countries in the
world
Japan has decided to oust South Korea from the list of most favored nations among its
trading partners. South Korea's leaders have expressed their "deep sadness" over the
Japanese decision. Officials in Seoul have called Japan's ambassador and expressed
their concerns. South Korea has threatened to retaliate by excluding Japan from such a
list of the most favored trade partners. Meanwhile South Korea's prime minister Lee
Nak Yeon is urging talks to be called off. The source of the ongoing trade dispute for
over a week has now been prompted by South Korea's demands for compensation to the
nation's citizens who were forced to work during Japan's colonial rule.

‫تصنف اليابان كوريا الجنوبية في قائمة الدول األكثر رعاية في العالم‬


‫ وقد عبر قادة كوريا الجنوبية عن‬، ‫قررت اليابان طرد كوريا الجنوبية من قائمة الدول األكثر رعاية بين شركائها التجاريين‬
‫"حزنهم العميق" إزاء القرار الياباني‬. ‫واتصل المسؤولون في سيول بالسفير الياباني وأعربوا عن قلقهم‬. ‫هددت كوريا الجنوبية‬
‫باالنتقام باستبعاد اليابان من قائمة الشركاء التجاريين المفضلين‬. ‫وفي الوقت نفسه يحث رئيس وزراء كوريا الجنوبية لي ناك‬
‫يون على إلغاء المحادثات‬. ‫سبب النزاع التجاري المستمر منذ أكثر من أسبوع اآلن هو مطالب كوريا الجنوبية بتعويض‬
‫مواطني األمة الذين أجبروا على العمل أثناء الحكم االستعماري الياباني‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Korti kuu ya India kusikiliza madai dhidi ya uamuzi wa serikali ya New-
Delhi dhidi ya jimbo la Kashmir
Korti kuu ya India inasema jopo la majaji watano litakutana mwezi wa oktoba unaokuja
kusikiliza hoja zinazopinga uamuzi wa serikali wa kubatilisha kanuni maalum za jimbo
la Jammu na Kashmir. Jopo la majaji watano wa korti ya katiba litakaloongozwa na
mwendesha mashitaka mkuu wa India Ranjan Gogoi litasikiliza hoja nane mwezi wa
Oktoba, amesema hayo wakili Muzzafar Iqbal Khan ambae ni mmojawapo wa mawakili
waliotuma hoja hizo. Kifungu nambari 370 cha katiba ya India kinadhamini utawala wa
ndani wa jimbo la Jammu na Kashmir wanakoishi idadi kubwa ya waumini wa dini ya
kiislam, isipokuwa katika masuala yanayohusu siasa ya nje, ulinzi , mawasiliano na
madaraka ya kujitungia sheria zao wenyewe wakaazi wa jimbo hilo. Mapema mwezi huu
wa Agosti serikali ya India mjini New-Delhi imebatilisha kifungu hicho cha katiba.

The Supreme Court of India will hear the allegations against the New-Delhi
government's decision against the state of Kashmir
The Indian Supreme Court says a panel of five judges will meet next October to hear
arguments against the government's decision to overturn the special rules of the Jammu
and Kashmir constituencies. A panel of five judges of the constitutional court chaired by
Indian prosecutor Ranjan Gogoi will hear eight arguments in October, said lawyer
Muzzafar Iqbal Khan who is one of the lawyers who submitted the arguments. Article
370 of the Indian constitution guarantees the local administration of the state of Jammu
and Kashmir where the majority of Islamic religious believers live, except in matters
pertaining to foreign politics, protection, communications and the law of their own
citizens. Earlier this August the Indian government in New-Delhi revoked the passage of
the constitution.

‫تستمع المحكمة العليا في الهند إلى المزاعم ضد قرار حكومة نيودلهي ضد والية كشمير‬
‫تقول المحكمة العليا الهندية إن لجنة من خمسة قضاة ستجتمع في أكتوبر المقبل لالستماع إلى الحجج ضد قرار الحكومة بإلغاء‬
‫القواعد الخاصة لدوائر جامو وكشمير‬. ‫ إن‬، ‫ وهو أحد المحامين الذين قدموا هذه المرافعات‬، ‫وقال المحامي مظفر إقبال خان‬
‫لجنة مؤلفة من خمسة قضاة في المحكمة الدستورية برئاسة المدعي الهندي رانجان جوجوي ستستمع إلى ثماني مرافعات في‬
‫أكتوبر‬. ، ‫ من الدستور الهندي اإلدارة المحلية لوالية جامو وكشمير حيث يعيش غالبية المؤمنين المتدينين‬370 ‫تضمن المادة‬
‫باستثناء ما يتعلق بالسياسة الخارجية والحماية واالتصاالت وقانون مواطنيهم‬. ‫ ألغت‬، ‫في وقت سابق من أغسطس الماضي‬
‫الحكومة الهندية في نيودلهي إقرار الدستور‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Uturuki yapanga kununua ndege ya kivita iliyotengenezwa Urusi chapa SU-


57
Viongozi wa Urusi wanazungumza na wenzao wa Uturuki kuhusu uwezekano wa kuiuzia
Ankara ambayo ni mwanachama wa jumuia ya kujihami ya NATO ndege za kivita chapa
Su-57. Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Urusi amesema. Rais Recep Tayyip Erdogan
ameonyeshwa ndege hiyo ya ufundi wa kimambo alipohudhuria maonyesho ya ndege za
kivita mjini Moscow. Ndege hiyo inalinganishwa na ile ya kivita ya Marekani chapa F-
35. Marekani ambayo pia ni mwanachama wa NATO imeamua hivi karibuni kuitoa
Uturuki katika mradi wake wa ndege ya kivita chapa F-35, baada ya Uturuki kununua
kutoka Urusi mtambo wa kinga ya angani dhidi ya makombora, S-400.

Turkey plans to buy a Russian-made warship SU-57


Russian officials are talking to their Turkish counterparts about the possibility of selling
it to Ankara, a member of the NATO defense group of Su-57 fighter planes. A senior
Russian official has said. President Recep Tayyip Erdogan was shown the airline while
attending a Moscow aviation demonstration. The aircraft is comparable to the US F-35
fighter. The US who is also a NATO member has recently decided to release Turkey from
its F-35 fighter jet project, after Turkey purchased from Russia a missile, S-400 missile.

‫تخطط تر كيا لشراء سفينة حربية روسية الصنع‬


SU-57
‫ وهي عضو في مجموعة الدفاع عن الناتو‬، ‫يتحدث المسؤولون الروس مع نظرائهم األتراك حول إمكانية بيعه إلى أنقرة‬
‫ المكونة من طائرات مقاتلة من طراز‬Su-57. ‫وقال مسؤول روسي كبير‬. ‫وقد عرض على الرئيس رجب طيب أردوغان‬
‫شركة الطيران أثناء مشاركته في مظاهرة للطيران في موسكو‬. ‫ الطائرة مماثلة لمقاتلة الواليات المتحدة‬F-35. ‫قررت‬
‫ إطالق سراح تركيا من مشروعها المقاتل‬، ً ‫ وهي عضو في حلف شمال األطلسي (الناتو) مؤخرا‬، ‫ الواليات المتحدة‬F-35 ،
‫ بعد أن اشترت تركيا من روسيا صاروخ‬S-400.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Politische Proteste gegen Johnsons Schachzug.


Mbinu za waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson za kutaka kurefusha kipindi cha
mapumziko cha bunge zimezusha lawama kali nchini Uingereza. Baada ya spika wa
bunge John Bercow kuutaja mpango huo kuwa ni "ufidhuli dhidi ya katiba", John
McDonnel wa chama cha upinzani cha Labour ameitaja mbinu hiyo kuwa ni
"Mapinduzi."Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo ya Brexit, Guy
Verhofstadt amelalamika na kusema mbinu za "kuukandamiza mjadala" hazitasaidia
kubuni uhusiano madhubuti kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza.

Politische Proteste gegen Johnsons Schachzug.


British Prime Minister Boris Johnson's attempts to prolong the parliamentary rest
period have sparked strong criticism in the UK. After parliamentary speaker John
Bercow called the deal "an insanity against the constitution", Labor's John McDonnel
called the tactic a "Revolution." say "counter-negotiation" tactics will not help to build a
stronger relationship between the European Union and the UK.

Politische Proteste gegen Johnsons Schachzug.


‫أثارت محاوالت رئيس الوزراء البريطاني بوريس جونسون إلطالة فترة الراحة البرلمانية انتقادات شديدة في المملكة‬
‫المتحدة‬. ‫ وصف حزب العمال جون ماكدونيل‬، "‫بعد أن وصف رئيس البرلمان جون بيركو الصفقة بأنها "جنون ضد الدستور‬
‫ لن تفيد تكتيكات "التفاوض المضاد" في بناء عالقة أقوى بين االتحاد األوروبي والمملكة المتحدة‬."‫التكتيك بأنه "ثورة‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Abschiebeflug aus Deutschland in Kabul eingetroffen.


Raia mwengine wa Afghanistan amerejeshwa nyumbani kutoka Ujerumani. Ndege
iliyomsafirisha kijana huyo wa miaka 31 imeshatuwa mjini Kabul.Tangu desemba
mwaka 2016, serikali kuu ya Ujerumani na serikali za majimbo zimeshawarejesha watu
645 nchini Afghanistan. Uamuzi huo unazusha mabishano humu nchini. Wanaoukosoa
uamuzi huo wanahoji bado hakuna usalama nchini Afghanistan. Katika mkoa wa
magharibi wa Herat, wanamgambo 14 wanaoiunga mkono serikali wameuwawa jana
usiku kufuatia ashambulio la waasi wanaofuata itikadi kali ya dini ya kiislam-
Taliban.Professor mmoja wa chuo kikuu mjini Jalalabad ameuwawa bomu liliporipuka
ndani ya gari. Mashambulio hayo yanajiri katika wakati ambapo Marekani inajadiliana
na wataliban namna ya kumaliza mivutano nchini Afghanistan.

Abschiebeflug aus Deutschland in Kabul eingetroffen.


Another Afghan citizen has been sent home from Germany. The plane carrying the 31-
year-old has been airlifted to Kabul. The decision provokes controversy in the
country. Critics of the decision question the security of Afghanistan. In the western
province of Herat, 14 government-backed militants were killed last night following an
attack by rebels following the Islamic-Taliban sect. One university professor in
Jalalabad was killed when a bomb exploded inside a car. The attacks are proving to be a
time when the United States is negotiating with the Taliban on how to end tensions in
Afghanistan.

Abschiebeflug aus Deutschland ‫ في‬Kabul eingetroffen.


‫تم إرسال مواطن أفغاني آخر من ألمانيا‬. ‫ عاما جوا الى كابول‬31 ‫تم نقل الطائرة التى تقل الطفل البالغ من العمر‬. ‫يثير القرار‬
‫جدال في البالد‬. ‫يشكك منتقدو القرار بأمن أفغانستان‬. ‫ مسل ًحا تدعمهم الحكومة الليلة‬14 ‫ قتل‬، ‫في مقاطعة هيرات الغربية‬
‫ وقتل أستاذ جامعي في جالل أباد عندما انفجرت‬، ‫الماضية في أعقاب هجوم شنه متمردون في أعقاب طائفة طالبان اإلسالمية‬
‫قنبلة داخل سيارة‬. ‫لقد أثبتت الهجمات أنها وقت تتفاوض فيه الواليات المتحدة مع طالبان حول كيفية إنهاء التوترات في‬
‫أفغانستان‬.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

You might also like