Professional Documents
Culture Documents
Termination Juma Rajabu
Termination Juma Rajabu
Tunayo nia ya kukutaarifu kuwa kampuni ya ACI Crushing Industries inayo nia ya kupunguza wafanyakazi
kutokana namwenendo wa biashara kutokuwa wa kuridhishia, hivyo kampuni inalazimika kupunguza
operesheni zetu kwa kiasi.
Hivyo tunakutaarifu kuwa kampuni imeamua kusitisha mkataba wako wa kazi, na kwa mujibu wa sharia
kukupa notisi ya mwezi mmoja kutokea siku unayopokea barua hii leo tarehe 19 Oktober 2019.
Siku yako ya mwisho ya kazi itakuwa tarehe 19 Novemba 2019, ambapo malipo yako yatasitishwa
kuanzia siku hiyo.
Tunaomba/ shauri ukabidhi vitendea kazi ulivyopewa kutokana na nafasi yako ya kazi kabla ya siku yako
ya mwisho ya kazi.
Tungependa kukushukuru kwa kuwa nasi kwa kipindi chote ulichokuwa nasi na kukutakia kila la heri
kwenye shughuli zako
Teddy Brown
AFISA RASILIMALI WATU
_________________________________ __________________
SAHIHI YA MFANYAKAZI TAREHE