You are on page 1of 1

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

S.L.P. 3056, DAR-ES-SALAAM


Fax: 2460735. Email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO
TAREHE: 29/03/2019.

[Mikoa ya Iringa, Njombe, Lindi na Mtwara]:


Hali ya mawingu, Mvua na ngurumo katika
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Songwe]:
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Mara na Simiyu]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi]: Hali ya mawingu kiasi, Mvua na ngurumo
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kaskazini)]: katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]: Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
[Mikoa ya Singida na Dodoma]: machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MTWARA, LINDI, NJOMBE, IRINGA, MOROGORO (KUSINI),
MBEYA, SONGWE NA RUKWA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
Kiwango cha juu Kiwango cha chini Mawio Machweo
MJI
cha joto cha joto (Saa) (Saa)
ARUSHA 29°C 15°C 12:39 12:44
D'SALAAM 30°C 22°C 12:28 12:33
DODOMA 31°C 18°C 12:42 12:47
KIGOMA 24°C 17°C 01:06 01:11
MBEYA 27°C 17°C 12:51 12:56
IRINGA 25°C 16°C 12:42 12:47
NJOMBE 20°C 12°C 12:42 12:47
MWANZA 26°C 18°C 12:53 12:58
TABORA 27°C 17°C 12:54 12:59
TANGA 33°C 24°C 12:29 12:34
ZANZIBAR 34°C 25°C 12:28 12:33

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumapili tarehe 31/03/2019: Mvua inatarajiwa kunyesha katika maeneo mengi
ya nchi.

Utabiri huu umetolewa Leo tarehe: 29/03/2019.

NA: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

You might also like