You are on page 1of 2

Fomu Na.

722E_3
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa siku Tano

Yametolewa Leo Alhamisi, Tarehe 26-03-2020, Saa 9:30 mchana


Alhamisi, 26-03-2020

HAKUNA TAHADHARI

Vielelezo:

Mvua Kubwa

Effective Date: March 06, 2020 Revision No. 01


Fomu Na. 722E_3
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa siku Tano

Ijumaa 27-03-2020 Jumamosi 28-03-2020 Jumapili 29-03-2020 Jumatatu 30-03-2020

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa HAKUNA TAHADHARI HAKUNA TAHADHARI
baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mara, kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mara,
Mwanza, Shinyanga-Mashariki, Simiyu, Mwanza, Shinyanga-Mashariki, Simiyu,
Arusha, Manyara, Kilimanjaro pamoja na Arusha, Manyara, Kilimanjaro pamoja na
kaskazini mwa mikoa ya Singida na Dodoma. Tanga.

UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI UWEZEKANO WA KUTOKEA: MDOGO


KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KIWANGO CHA ATHARI
KUTOKEA: WASTANI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA

Athari zinazoweza kujitokeza Athari zinazoweza kujitokeza


Mafuriko kutokea katika baadhi ya makazi, Mafuriko kutokea katika baadhi ya makazi,
ucheleweshwaji wa usafiri, kusimama kwa ucheleweshwaji wa usafiri, kusimama kwa
muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi
kijamii. na kijamii.
Tafadhali ZINGATIA NA UJIANDAE
Tafadhali ZINGATIA NA UJIANDAE

Effective Date: March 06, 2020 Revision No. 01

You might also like