Husika na kichwa cha habari hapo juu,makao makuu ya briged ,kupitia,mwenyekiti
wake wa ukumbi wa briged,(briged mess).Inachukua fursa hii kukushukuru kwa dhati kwa utendaji kazi wako mzuri kwa muda wote tulipo kuwa pamoja katika kuitunza mess hii.
Kwamba tunakupa taarifa rasmi ifikapo tarehe 30/04/2020 itakua ni mwisho wa
utumishi wako katika ukumbi wa Briged mess, Assante tunakutakia mafanikio mema.