You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA

FURSA ZA MASOMO YA SHAHADA ZA UZAMILI (MASTER’S) KUPITIA UFADHILI


WA “QUEEN ELIZABETH COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS” KWA MWAKA
2020/21

Watanzania wenye sifa wanaalikwa kuomba fursa za masomo ya Shahada za Uzamili


(two-years Master’s Degree) kwa ufadhili wa Mfuko wa Udhamini wa Malkia Elizabeth II
wa Jumuiya ya Madola kwa mwaka 2020/21.

Maelezo zaidi kuhusu nafasi hizo za masomo na jinsi ya kuwasilisha maombi


yanapatikana kupitia tovuti ifuatayo:-
(i) https://www.acu.ac.uk/qecs

Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 09/07/2020.

ANGALIZO: Kwa wote watakaopata ufadhili wa fursa hizi za masomo itategemea na


Miongozo na Maelekezo mbalimbali iliyotolewa na Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na nchi zingine (mfano:- makatazo ya kusafiri
baina ya nchi na nchi) kuhusu ugonjwa wa homa kali ya
mapafu unaosababishwa na virusi vya CORONA.

You might also like