Professional Documents
Culture Documents
8463a Zanena Kengele Za Juu PDF
8463a Zanena Kengele Za Juu PDF
3
A 4 ..
Soprano/Alto
..
1. Za
ne na si
ku kuu ke nge le
. .
E 3 . .
Tenor/Bass 4
A ..
S./A.
..
za ju u wa u mi ni
fu ra
hi ni
.. .
E .
T./B.
.. .
A ..
S./A.
.
m ko mbo
zi mku mbu
she ni Mza wa le o
Be tle
E .. . ..
T./B.
.
A .. .
. .
.
..
S./A.
he m
Mza wa le o
Be tle hem
E .. .
. . ..
T./B.
.
2. Ni leo, siku heri, siku nzuri nzuri, Ya uasi kuondolewa, ya mbingu kufunguliwa,
Yakisha malaumu-u, yakisha malaumu.
3. Ni leo siku njema, siku ya salama, Aliposhuka mwokozi, mwanaye Mungu Mwenyezi,
Kuwa mwana-adamu-u, kuwa mwana adamu.
4. Leo siku-hakika, wala hamna shaka, kwamba dhambi ya asili, yaweza kufutwa kweli,
Ina dawa timamu-u, Ina dawa timamu.
5. Leo siku ya neema yameshuka mema, Asifiwe Mungu juu, watu wa imani kuu,
Waletee wa amani-i waletee amani.