You are on page 1of 1

BARAZA LA WATU WANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI TANZANIA

TANGAZO LA UCHAGUZI WA KONGA NGAZI YA WILAYA


Balaza la watu wanaoishi na VVU Tanzania NACOPHA kwa
kushirikiana na Ofisi ya maendeleo ya Jamii Kitengo cha Mapambano
dhidi ya VVU/UKIMWI Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro, inapenda
kuwatangazia watu wote wanaoishi na virusi vya UKIMWI kuwa
tunatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wa Konga ngazi ya
Halmashauri, hivyo kwa yeyote mwenye nia ya kugombea nafasi yoyote
anaombwa kufika ofisi ya Konga au Ofisi ya Mratibu wa UKIMWI
(CHAC) Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro ili aweze kuchukua fomu
ya kugombea na baada ya kuijaza atapaswa kuirudisha kwa muda atakao
ambiwa ili kuruhuru taratibu nyingine za uchaguzi kufanyika.
Nawatakia uchaguzi mwema

Edna Edson
Meneja NACOPHA kanda ya Dodoma.

You might also like