You are on page 1of 4

Mapendekezo kwa ajili ya

malezi kwa Makuzi ya Mtoto


KICHANGA – WIKI MOJA WIKI MOJA MPAKA MIEZI 6 MIEZI 6 MPAKA 9 MIEZI 9 MPAKA 12 MIEZI 12 MPAKA MIAKA 2 MIAKA MIWILI NA
TOKEA KUZALIWA KUENDELE
Mtoto wako hujifunza kuanzia
pale anapozaliwa

MCHEZO: Toa njia za mtoto MCHEZO: Toa njia za mtoto MCHEZO: MCHEZO: Ficha kwenye MICHEZO: MICHEZO:
wako kuangalia, kusikiliza, wako kuangalia, kusikiliza, Mpe mtoto wako vitu vya nguo au kiboksi kitu cha Mpe mtoto wako vitu vya Msaidie mtoto wako
kurusha mikono na miguu kurusha mikono na miguu nyumbani vilivyosafi na kuchezea muhimu mtoto kuvipanga na kuviingiza kuhesabu, kutaja majina ya
kwa uhuru, na kwa uhuru, na kukugusa. salama kubeba,kutikisa na anachokipenda. Angalia kwenye mkebe/kopo na vitu na kulinganisha vitu.
kukugusaMkande pole pole Pole pole msogezee mtoto kuangusha. iwapo mtoto atakitafuta. kuvitoa: Mfano: Tengeneza vitu rahisi vya
na mchukue mtoto wake. wako vitu vya rangi kwa ajili Mfano:Vitu vya kuchezea: Fanya kukichungulia vitu vilivyolundikana, vitu vya kuchezea kwa ajili ya mtoto
ya kuviangalia na kuvifuatilia. Mkebe/kopo wenye vifuniko, chungulia. kupanga, mkebe na vibanio wako. Mfano:
Mfano: Vitu vya kuchezea: visufuria na vijiko. vya nguo. Vitu vya rangi tafauti na
kitairi kikubwa kwenye uzi, mauumbo vya kuteua, vijiti au
mwiko. chaki au chemsha bongo.

WASILIANA WASILIANA
Mwangaliye mtoto machoni Mtajie mtoto wako majina ya WASILIANA
na zungumza naye. Pale WASILIANA vitu na watu. Muoneshe Muulize mtoto wako maswali WASILIANA
unapokuwa unanyonyesha ni WASILIANA itika sauti ya mtoto wake na mtoto wako jinsi ya kusema rahisi. Msemeshe na wewe Mshajiishe mtoto wako
muda mzuri kufanya hivyo. Tabasamu na cheka. analotaka. Mwite mtoto wako maneni kwa mikono , mfano mtoto wako anayejaribu kuzungumza na kujibu
Hata mtoto aliyezaliwa punde Zungumza na mtoto wako. jina lako na mtizame “Kwaherii” Mfano wa cha kusema. maswali yako rahisi.
huangalia uso wako na Hojiana kwa kuiga sauti ya anavyofuatilia mwito. kuchezea: Mwoneshe na zungumza Mshajiishe mtoto wako
kusikiliza sauti yako. mtoto wako au ishara. Mdoli/mtoto wa bandia naye kuhusu maumbile, kuzungumza na kujibu
mwenye uso. picha na vitu mbali mbalI. maswali yako rahisi.
* Mpe motto wako upendo na muoneshe mapenzi * Kuwa na ufahamu wa mahitaji ya motto wako na kumpatia * Mpongeze motto wako kwa kujariribu kujifunza ujuzi mpya
Ishauri familia yako kuhusu matatizo kwenye
malezi kwa ajili ya makuzi ya watoto
Iwapo mama mtoto hawezi kumnyonyesha mtoto wake, mshauri mama:  Kutengeneza wanasesere/vitu vya kawaida vya kuchezea mtoto.
 Kucheza na mtoto wake. Mtoto atajifunza kwa kucheza naye na kucheza
 Kumweka mtoto wake karibu sana anapomlisha, amtazame mtoto na
na watu wengine
kuzungumza naye au kumuimbia.
Iwapo mtoto hafuatishi au anaonekana yuko “doro” :
Iwapo mlezi haelewi kwamba mtoto hucheza na kuwasiliana:
 Ishajiishe familia kufanya naye michezo na mawasiliano ya ziada.
 Mueleweshe mlezi kwamba watoto hucheza na kuwasiliana.
 Mchunguze ili kuona iwapo mtoto ana uwezo wa kusikia au kuona.
 Muoneshe jinsi ambavyo mtoto hufuatilia vitendo na juhudi za mlezi.
 Mpeleke mtoto mwenye matatizo ya kuona na kusikia kwenye vituo vya
Iwapo mlezi anahisi kuwa ametwika mzigo mzito au anababaishwa na huduma za masuala hayo, kama vipo.
mchezo au mawasiliano na mtoto:  Mshajiishe mama na wanafamilia wengine kucheza na kuwasiliana na
mtoto kwa kumgusa au kutembea/kwenda
 Sizikilize mawazo yake.
 Msaidie kuchagua mtu muhimu ambaye Iwapo mama au baba analazimika kumuachia mtoto mtu mwengine kwa
wanaweza kubadilishana mawazo na muda fulani:
msaidiye yeye na mtoto wake.
 Teua angalau mtu mmoja ambaye anaweza kumlea mtoto huyo muda
 Mfanye ajiamini kwa kumuonesha uwezo wake
wote na kumpa mapenzi na uangalizi.
wa kutenda zoezi rahisi. Msifu na mshajiishe
 Hakikisha mtoto anakuwa na mlezi huyo mpya muda fulani.
kufanya zoezi na mtoto wake.
 Washajiishe baba na mama kutenga muda ili na wao waweze kukaa na
 Mpeleke kupata huduma ya kawaida, iwapo
mtoto kadiri inavyowezekana.
anaihitaji na inapatikana.
Iwapo itabainika kuwa mtoto hatunzwi vizuri.
Iwapo walezi wanahisi kuwa hawana muda wa kucheza na kuwasiliana
na mtoto:  Ishajiishe familia kila wakati iwe inatafuta njia za
kumsifu mtoto kutokana na tabia zake nzuri.
 Washajiishe kuunganisha mazoezi ya mchezo na mawasiliano na
 Zijali hisia za mtoto. Jaribu kuelewa kwa nini
huduma nyengine anazomfanyia mtoto ( Kwa mfano, kumlisha,
mtoto huyu anakuwa na majonzi na hamaki.
kumuogesha au kumvalisha nguo)
Mpe mtoto nafasi ya kuchagua la kufanya
 Watake wanafamilia wengine kusaidia kutoa huduma kwa mtoto au
badala ya kumwambia “ Usifanye hilo”
kuwasaidia wazazi kazi nyengine za ndani ya nyumba.

Iwapo mlezi hana wanasesere/vitu rasmi vya kumpa mtoto wake


kuchezea, mshauri:

 Kutumia vitu vyovyote vilivyomo nyumbani ambavyo ni safi na salama.


Orodha ya Ushauri juu ya Malezi kwa Makuzi ya Mtoto
Tarehe: ______ / _____ / 20______ Imejazwa na ______________________
(Siku / Mwezi / Mwaka)
Jina la mtoto: Kwanza _________Ukoo ________Umri: Miaka ____ / Miezi M’me / M’ke
Jina Mlezi: __________________Uhusiano Mama / Baba / Nyingine: ___________________
Anwani, Jumuiya: ____________________________________________________________
Ainisha shughuli za kusaidia makuzi ya mtoto na mshauri mlezi.
Angalia Mpongeze mlezi iwapo mlezi huyo Mshauri mlezi na tatua
matatizo,iwapo mlezi huyo
Ni jinsi gani mlezi mwanamke au []Anatembea na mtoto, huku Hatembei na mtoto, au kuudhibiti
mwanamme anazingatia utembeaji wa akizungumza naye na utembeaji wa mtoto. Mtake mlezi
mtoto? kumbembeza kwa sauti kufuatisha utembeaji wa mtoto, na
kumfuata anakokwenda.
[] Anamtazama mtoto machoni na []Hawezi kumfariji mtoto, mtoto
Ni jinsi gani mlezi anamjali mtoto na hamtazami mlezi wake kwa ajili ya
kuzungumza naye pole pole,
Watoto wote

kumuonesha upendo?
kumgusa kidogokidogo, na kuwa kufarijiwa. Msaidie mlezi
karibu naye. kumwangalia mtoto machoni,
kuzungumza na mtoto pole pole na
kumpakata mtoto.
[] Anamzuia mtoto kufanya vitendo []Humkaripia mtoto: Msaidie mlezi
Ni jinsi gani mlezi humsahihisha mtoto? visivyofaa na kumpa vitu vya kumzuia mtoto kufanya vitendo
kuchezea vifaavyo au mchezo ufaao. visivyofaa na kumpa vitu vya
kuchezea vifaavyo au mchezo
ufaao
Uliza na sikilza Mpongeze mlezi iwapo Mshauri mlezi na tatua
matatizo,iwapo mlezi huyo
[] Anayanyua mikono na miguu ya []Hachezi na mtoto, Jadiliana
Unacheza vipi na mtoto wako mtoto kwa upole. naye njia za kumsaidia mtoto
Mtoto wenye umri wa chini ya miezi 6

mchanga? Anampa mtoto jambo la kuchezea kuona, kusikiliza, kuhisi na


-mwanasesere au kitu kingine. kutembea ipasavyo kulingana
na umri wa mtoto
Unazungumza vipi na mtoto wako []Huangaliza mtoto machoni na []Hazungumzi na mtoto. Mtake
mchanga? kuzungumza naye kwa upole mlezi kuangalia macho ya mtoto
na kuzungumza naye.
[] Anajaribu kumlazimisha mtoto
[]Anaiitikia na sauti ya mtoto na kutabasamu au hashughuliki
Unafanyaje kumfanya mtoto wako kutoa ishara ili kumfanya mtoto naye: Mtake mlezi kumfanyia
atabasamu?. atabasamu ishara kubwa na sauti nyororo,
kuiga sauti ya mtoto na ishara
na kuangalia anavyopokelewa
na mtoto.
[]Anacheza michezo ya maneno kwa []Hachezi na mtoto: Mtake mlezi
Mtoto mwenye umri wa miezi 6 na kuendelea.

Unacheza vipi na mtoto wako mchanga? kutumia vitu vya kuchezea watoto kucheza au kuwasiliana naye
kwa mujibu wa umri wa mtoto. kulingana na umri wake.
Unazungumza vipi na mtoto wako []Huangalia macho ya mtoto na [] Hazungumzi na mtoto au
mchanga? kuzungumza naye kwa upole,uliza anazungumza naye kwa
maswali kumkaripia: Wape mlezi na mtoto
zoezi la kufanya pamoja.
Unafanyaje kumfanya mtoto wako Msaidiye mlezi kutafsiri, motto
[]Anatabasamu akiwa mtoto anafanya nini, anafikiri nini, na
atabasamu.
kutazama mwitikio wa mtoto na
tabasamu.
[]Anasema mtoto anajifunza kwa
Unafikiri mtoto wako anajifunza vipi? [] Anasema mtoto anajifunza vizuri. kasi ndogo: Mshajiishe kufanya
mzoezi mengi na mtoto, angalia
kusikia na kuona kwake Mpeleke
kwenye huduma mtoto mwenye
matatizo hayo
2. Taka kumuona tena mtoto ndani ya wiki moja, iwapo inahitajika ( zungushia duara siku ya kwenda) Jumatatu, Jumanne,
Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, siku za mwisho wa wiki.

You might also like