Professional Documents
Culture Documents
Annuur 1406
Annuur 1406
ISSN 0856 - 3861 Na. 1406 JAMAADAL UULA 1441 , IJUMAA, JANUARI 10-16 -2020 BEI TShs 1000/=, Kshs
Tujizatiti katika
elimu ya ufundi
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mhe. Kangi Lugola. Na Bakari Mwakangwale
Muislamu ni upi W
AKATI Taifa likielekea katika Uchumi
wa Kati na Viwanda, mikakati ya
makusudi inahitajika ikiwa ni kujenga
vyuo vya elimu ya Ufundi Stadi na
Kutekeleza ahadi
unavyosogea pia. Ustadhi Juma.
Nasaha hizo Alisema, Muislamu
zimetolewa na anatakiwa kila siku
Ustadhi Amran
Haifai kujitia katika deni bila haja muhimu Juma, akiwahutubia
na kila anapojaaliwa
M
kuingia mwaka mpya
IONGONI mwa malengo ya msingi ya Waislamu katika ibada ajihesabu mwenyewe
Uislamu ni kujenga jamii yenye watu wema ya swala ya Ijumaa ya nafsi yake katika jumla
wanao saidiana katika wema na uchamungu wiki iliyopita, katika ya mwaka mzima
na wanausiana katika haki na subra na Msikiti wa Qadiria
wanaozingatia ahadi zao. (Masjid Qadiria) uliopo uliopita baina ya mema
Kwa ufupi, tuangalie eneo hilo la ahadi. Ni kwamba Mbezi mwisho Jijini na maovu.
katika mambo yanayoamrishwa na Uislamu ni kutimiza Akifafanua alisema,
ahadi na kuhifadhi makubaliano. Ni sawa, ikiwa ahadi Dar es Salaam.
hiyo ni baina ya mja na Mola wake au baina ya mja na Ustadhi Juma alisema ikiwa utabaini kuwa
ndugu yake. wakati mwaka mpya mema ni mengi kuliko
Allah (s.w) Mtukufu anasema, Na timizeni ahadi kwa umeingia ni vizuri maovu, ni wajibu wako
hakika ahadi itaulizwa (siku ya kiyama). Hii ni amri ya kukaa na kujiuliza kumshukuru Allah (s.w)
Allah (s.w) inayohimiza suala zima la kutimiza ahadi zetu na umuombe ziada
na yoyote atakaye kwenda kinyume na amri hii akawa ni upi wajibu wako
hatimizi ahadi zake basi huingia katika kundi la wanafiki. katika mwaka huu katika mema ama ikiwa
Hii ni kwa mujibu wa Hadithi maarufu ya Mtume wa 2020, na kuacha maovu ni mengi kuliko
(s.a.w), pale aliposema, ‘Alama za mnafiki ni tatu, tabia ya kujifakharisha mema basi inabidi
anapozungumza husema uongo, akitoa ahadi hatimizi na kujuta kwani siku za
akiaminiwa hufanya khiana. kutokana na umri
Hii ina maana kuwa Uislamu unatuusia kuyaheshimu mkubwa. kufa zimesogea huku
na kuyatekeleza makubaliano yanayofanyika baina Kikubwa na ukiwa na maovu mengi
yetu hivyo ni wajibu kwa Muislamu kuheshimu kila muhimu si umri, lakini kuliko mema.
makubaliano anayoyafanya na mwenziwe na kuitekeleza umeufanyia nini umri “Kwa ufupi badala
kila ahadi anayoitoa. ya kusheherea kula
Kwa upande mwingine, Allah (s.w) daima huwa anamsaidia huo kwa manufaa ya
mja wake anapokusudia kutimiza ahadi yake au kufanya dunia na Akhera yako. na kunywa, tutafakari
wema wowote. Alisema, cha juu ya nafsi zetu kwa
Katika kutimiza ahadi vile vile ni kulipa madeni katika mwaka uliopita yepi
wakati wake, na Allah (s.w) anamsahilishia anaekusudia kulipa kusikitisha ni pale
madeni yake na pia anaukubali udhuru wa yule anaetaka unapowaona Waislamu tumetanguliza kwa ajili
kulipa madeni yake lakini hana uwezo wa kuyalipa. Na katika nao kujumuika katika ya Akhera.” Amesema
hali zote haipe ndezi mtu kujitia katika madeni bila ya udhuru hufurahiya kwa kupiga Ust. Juma.
au haja muhimu.
Amesema, Mtume (s.a.w), atakaekopa mali za watu ngoma na hata kufanya Ust. Juma, amesema
na akataka kuzilipa Allah (s.w) atamsaidia kuzilipa na sherehe kwa kupika katika Qur an Al-
atakaechukua mali za watu na akataka kuziharibu Allah (s.w) vyakula kutokana Hashr, Ayah 18. Allah
atamharibu.” na furaha ya kuingia
Hakika mwenye kutekeleza ahadi zake na kuhifadhi (s.w) anasema, ‘Enyi
makubaliano anayoyafanya na wenzake hupata heshima na mwaka mpya. mlio amini! Mcheni
sifa ya uaminifu katika jamii yake. Naye huwa anaitekeleza “Hayo yote si Mwenyezi Mungu
amri ya Allah (sw) isemayo: ‘Na saidianeni katika wema na wajibu kwetu wala na kila nafsi iangalie
uchamungu, wala msisaidiane katika dhambi na uadui.’ si mafundisho ya
Ama yule asiyetekeleza ahadi zake hupata sifa za uongo na
Dini yetu ya Uislamu inayoyatanguliza
unafiki katika jamii yake. Naye huwa ndio sababu ya kujenga kwa ajili ya kesho. Na
chuki na uadui baina ya watu. pindi unapoingia
Mcheni Allah (s.w) kuweni wakweli katika maneno yenu na mwaka mpya, kwanza mcheni Mwenyezi
waaminifu katika matendo yenu na timizeni ahadi zenu kwa
Allah (s.w) na kwa viumbe wake, kwani hayo ni katika sifa za
tufahamu kwamba siku Mungu. Hakika
umma huu ambao ndio umma bora uliotolewa kwa watu. inapoondoka kadhalika Mwenyezi Mungu
Na ikumbukeni kauli ya Mtume (saw) isemayo, “Hana imani umri wetu unapungua anazo habari ya mnayo
asiekuwa na amana, na hana dini asiekuwa na ahadi.” na kukisogelea kifo.” yatenda.’
3 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Habari AN-NUUR
dunia haitasalimika
na nchi zinazoendelea au nchi za Kuongezeka kwa mabeberu
uchumi wa wastani na zile maskini, kuingilia mataifa mengine na
zinategemea zaidi daraja la jamii wakati huo huo, uhusiano baina
husika. ya mataifa yenye nguvu hivi sasa
Kwa kweli hivi sasa tunashuhudia dunia ikiwa Tunavyofahamu ili vita umesambaratika kuliko wakati
katika kiwango kikubwa cha kuvurugika amani kutokea, lazima kuwe na viashiria mwingine wowote na huku
na usalama wake. ambavyo vitaashiria sababu
ya ugomvi ulivyo. Migogoro si kukishuhudia athari za Baraza
Migogoro ya kiuchumi, kisiasa na kiimani la Usalama ambalo mara kwa
imesheheni kila kona, huku jumuia za kimataifa jambo linalosababishwa na jambo
zikionekana kuelemewa katika kuleta suluhu ya la kawaida, lakini mara nyingi mara linakoseshwa nguvu katika
hali hiyo. huhusiana na masuala ya nguvu za kutatua mizozo hii, kumeongeza
Jitihada za kuitatua zimezidiwa na hila za nchi kiuchumi na kisiasa. tatizo zaidi duniani. Na
za kibeberu, ambazo zinaonekana kufaidika kwa Kutuliza migogoro ni hatua Hata pale Baraza linapojaribu
namna moja au nyingine na kuwepo migogoro inayokwenda sambamba na misingi kuchukua hatua, uingiliwaji
hiyo na nchi hizi zinaonekana kuwa na nguvu ya haki na sheria, wala sio mabavu toka nchi za kibeberu unafanya
zaidi kuliko jumuia hizo. na nguvu ya kiuchumi kama utekelezaji wa maazimio kuwa
Hatua za utatuzi hazifaulu zaidi ya kugharimu ilivyo katika maeneo mengi yenye mgumu zaidi. Tutizame vikwazo
tu pesa huku nchi za Ukanda wa Mashariki ya migogoro kwa sasa. vya silaha vya Libya, hakuna mtu
Kati zikiathirika zaidi na migogoro hiyo. Tumeshuhudia Jumuia za anayeheshimu na hatuwezi hata
Syria hakukaliki. Yemen mauaji kila kimataifa, dunia ikijikita na
watu ambao wameshindwa kujaribu kuficha, na mivutano
uchao. Ugaidi na ukoloni wa Israel dhidi ya ndani au ya kikanda inazidi
ya Palestina umekuwa donda ndugu, huku kukimbia ghasia Syria, ripoti
wanaoitwa wasuluhishi wakiuma na kupuliza mpya iliyochapishwa na kituo kusambaa.
katika kutatua mzozo huo. Wakifanya hiyo, cha kuangalia wakimbizi wa Tunaamini kuzuia ni bora zaidi
Wapalestina wanazidi kuuliwa, kutekwa, ndani IDCMC imebainisha tishio na muhimu hivi sasa kuliko wakati
kuteswa na kufungwa katika magereza ya Israel linalowakabili mamilioni ya watu mwingine wowote. Ni lazima
kila uchao. Jambo la msingi linalosababisha duniani ambao wanajikuta katikati UN sasa ibadilike na ishughulikie
kugharimu maisha yao, usalama na amani yao ni ya hali ya kwa wakimbizi wa ndani mizizi ya mzozo wa Iran na
kudai haki yao ya kujitawala na kumiliki ardhi kutokana na vita. mingine iliyopo. Hili litawezekana
yao. Watu zaidi ya milioni 3.5 kwa misingi ya ushirikiano
Libya imesambaratishwa. Haitawaliki. walitawanywa mwaka 2011 wa haki na kuheshimu sheria
Mabeberu wamegawana makundi ya kuyaunga kutokana na vita na majanga
yatokanayo na hali ya hewa. Idadi kimataifa.
mkono na kuendelea kuuana na kufanya Ikishindwa sasa, tunaamini
uharibifu bila kujulikana hatima yake. hiyo ni ongezeko la asilimia 20
Iraq bado haijatulia tangu ilipogeuzwa ikilinganishwa na mwaka 2010. baada ya hili la Marekani na Iran
kambi ya vita na mataifa ya kibeberu. Serikali Ripoti hiyo iliyoandikwa na litaongeza mivutano au kulipuka
ilivurugwa huku fitna ya hitilafu za kidhehebu IDCMC na Baraza la wakimbizi kwa vita vipya.
ikiwa ndio silaha kubwa ya kuwahujumu la Norway inasema machafuko ya Zaidi ya hapo, tunaweza
wananchi wa Iraq na kuendelea kuhasimiana Afrika ya Kaskazini na Mashariki kushuhudia pia hatari ya
wao kwa wao hadi leo. ya Kati yamewatawanya watu mgawanyiko wa kiuchumi,
Afghanistani hakujapoa. Imekuwa ni uwanja 830,000 mwaka 2011 ambayo kiteknolojia na kijiografia. Hili la
wa kimkakati wa vita wa nchi za kibeberu kwa ilikuwa ni mara sita zaidi ya wale Iran na Marekani si la kushabikia,
maslahi yao, huku wanaoendelea kuathirika waliotawanywa na katika eneo hilo bali tuombe papatikane suluhu
zaidi wakiwa ni watu wa Afghanistan. mwaka mmoja kabla ya hapo.
Idadi ya waliotawanywa maana likishindikana, athari zake
Iran ambayo kwa muda mrefu imejizatiti zinaweza kuikumba dunia nzima.
kuimarisha mazingira ya kujilinda dhidi ya Afghanistan imeongezeka mara
hila hizi za kibeberu, ndio pekee ambayo mbili, huku Somalia athari za Lakini pia tunapaswa
imepambana sana na hila hizi za kibeberu ukame, njaa na vita imesababisha kuangalia katika ngazi ya kitaifa
kutokana na kujiimarisha kwake kiulinzi, maelfu kufungasha virago. mgawanyiko wa kijamii na tofauti
kiimani na kiuchumi. Hata hivyo mabeberu Katibu Mkuu wa UN Antonio zilizopo.
wanazidi kuiandama wakiitazama kuwa ndio Guterres alitoa wito wa juhudi Lakini pia wengine tunapaswa
kikwazo kikubwa cha kutimiza mipango yake zaidi kuwasaidia wakimbizi wa kujifunza kulingana na hali ilivyo
Mashariki ya Kati. ndani na kuzuia vyanzo vote sasa. Katika nchi nyingi hasa za
Tumeshuhudia mara kwa mara ikiadhibiwa vinavyosababisha uvunjifu wa Kiafrika, tunashuhudia ongezeko
kwa kuwekewa vikwazo vya kiuchumi, amani duniani na kwamba, hatua la kutoaminiana baina ya raia
ikisumbuliwa juu ya mradi wake wa nyuklia hiyo ndio dawa mujarabu ya na taasisi za kisiasa na viongozi.
ya nishati ya umeme nk. Sasa yametengenezwa kulinda na kudumisha amani ya Jamii zinayumbishwa na kukosa
mazingira ya vita baada ya kuuliwa makamanda dunia kuliko kukabili machafuko kujua wanachohitaji. Watu
wake muhimu hivi karibuni. wakati yameshatokea. wanataabika sana na wanataka
Tunaona sasa dunia ikiwa katika wasiwasi Antonio Guterres alitoa wito kusikilizwa, wana kiu ya kupata
mkubwa wa kuibuka vita Mashariki ya Kati, huo mjini Paris Ufaransa, wakati haki na maslahi yanayotokana na
si kwa Iran na Marekani tu, bali historia wa ufunguzi wa kongamano la rasilimali za nchi zao. Wanadai
inaonyesha kuwa vita Mashariki ya Kati kimataifa la Paris kwa ajili ya kuwa na mfumo wa kijamii na
imekuwa ya ushirika kwa pande zote. Kwamba amani. Yeye alisema inaonekana kiuchumi ambao unafanyakazi
watakuwepo washirika wa Marekani na kuwa hali ya migogoro mikubwa kwa maslahi ya wote.
washirika wa Iran katika mzozo huu. ya karne zilizopita ikilinganishwa Wanataka haki zao za binadamu
Katika mazingira yaliyopo sasa ya wasiwasi na hali ya sasa, inaonekana kuwa
na mashaka kufuatia mgogoro huu, tusishangae na uhuru wa msingi vitekelezwe
sasa kuna hali ya amani zaidi. na kuzingatiwa kwa wote. Kwa
dunia ikatumbukia katika migogoro na vita vya Hata hivyo alibainisha ukweli
kisiasa na kiuchumi iwapo haitapatikana suluhu kwamba bado tuko mbali kuwa kutimizwa hayo, kutaleta ugumu
ya mzozo huu. Badala ya kufanyika juhudi za na ile tunayoiita amani ya kweli, kwa mabeberu kupenyeza hila
dhati za kunusuru hali mbaya ya migogoro hali halisi ni ya sintofahamu na na kuvuruga nchi zetu kwa
iliyopo, tunashangazwa kuzidi mizozo. changamoto kubwa. maslahi yao. Hapo hata kiwango
Tumeshuhudia maeneo yote yenye vurugu, Ukiangalia Sahel, Libya, Syria, cha migogoro katika nchi zetu
mizozo na vita, nyuma yake kuna mkono wa Yemen, Afghanistan, Korea kitapungua.
5 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Habari za Kimataifa AN-NUUR
A
FISA mmoja
mwandamizi
wa Jeshi la
Walinzi wa
Mapinduzi ya Kiislamu
SEPAH amesema
kuwa, zaidi ya askari
80 wa jeshi la Marekani
wameangamizwa na
karibu 200 wengine
wamejeruhiwa katika
majibu ya mashambulio
ya Iran dhidi ya kambi
mbili za kijeshi za nchi
hiyo huko Iraq.
Afisa huyo
mwandamizi wa Jeshi la
Walinzi wa Mapinduzi
ya Kiislamu SEPAH,
amesema hayo katika
mahojiano aliyofanyiwa MAJENEZA ya askari wa Marekani.
na shirika la habari
la FARS na kuongeza la Marekani ziliteketezwa kuhusu mashambulizi kifo chake ni ujumbe wa
kuwa, kwa mujibu wa katika shambulio hilo la yaliyoendeshwa na jeshi wazi kwa Iran.
ripoti za kina na za kulipiza kisasi. la Iran usiku wa Jumanne Rais Trump katika
kuaminika, helikopta Ripoti hiyo imeongeza kuamkia Jumatano wiki hotuba yake, alitolea wito
za Marekani zimefanya kuwa, hakuna kombora hii. kwa Ujerumani, Ufaransa
haraka kuondoa majeruhi lililotunguliwa na Kuhusu kuuawa kwa na China kuacha
na wanajeshi wake mfumo wa kujilinda na jenerali wa jeshi la Iran kuiunga mkono Iran na
waliouawa katika kambi makombora wa Marekani mjini Baghdad Qassim kutolea wito muungano
ya kijeshi ya Ain al Asad kwenye eneo hilo na Soleimani, Rais Trump wa kujihami Magharibi
huko al Anbar, Iraq. kwamba, makombora alisema kwamba alikuwa NATO kujishughulisha
Kabla ya hapo duru yote yalilenga shabaha. anastahili kuuawa tangu Mashariki ya Kati.trt.net.
za kuaminika zilisema Aidha Iran imeainisha muda mrefu na kwamba, tr
kuwa, wanajeshi wa maeneo 104 muhimu
Marekani wamewaondoa ya Marekani katika
haraka majeruhi eneo hilo, ambayo
na wanajeshi wao yatashambuliwa mara
waliouawa, ikiwa ni moja iwapo Washington
njama ya kupotosha itafanya uchokozi
walimwengu na mwingine wowote.
kupunguza idadi ya Hata hivyo Rais
hasara walizopata. wa Marekani Donald
Afisa huyo Trump amesema hakuna
mwandamizi wa jeshi la yeyote aliyefariki
SEPAH aliongeza kuwa, katika mashambulizi
kambi ya kijeshi la Ain yalioendeshwa na jeshi la
al Asad ilikuwa ni eneo Iran nchini Iraq.
muhimu la kimkakati Rais Trump aliongeza
kwa jeshi la Marekani kuwa licha ya kukosekana
na kwamba, helikopta aliyefariki, lakini
na ndege nyingi zisizo pia hakuna yeyote
na rubani (droni) za aliyejeruhiwa katika
Marekani zilikuwepo mashambulizi hayo ya
kwenye kambi hiyo. kisasi yaliyoendeshwa
Aliongeza kuwa, na jeshi la Iran dhidi ya
maeneo 20 muhimu ya kambi mbili za jeshi la
kambi hiyo yalipigwa na Marekani nchini Irak.
makombora ya Jeshi la Rais Trump
Walinzi wa Mapinduzi alihutubia wanahabari
na droni nyingi za jeshi mjini Washington Rais wa Marekani Donald Trump.
7 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Habari AN-NUUR
M
UUNGANO
wa
Kupambana
na Kundi la
Daesh unaoongozwa na
Marekani nchini Iraq,
umehamisha makao
yake makuu kutoka Iraq
na kuyapeleka Kuwait.
Uhamisho wa
mamako ya muungano
huo umedaiwa kuwa
ni kufuatia mauaji ya
Kamanda wa Kikosi
cha Quds cha Jeshi la
Walinzi wa Mapinduzi ya
Kiislamu, Luteni Jenerali
Qassem Soleimani na
Naibu Kamanda wa KIKOSI cha askari wa marekani kikiondoka nchini Iraq
kikosi cha kujitolea cha al Nujaba ya Iraq, Nasr Abu Mahdi al Muhandes kukabiliana na wanajeshi
wananchi wa Iraq, al al-Shammari, amelaani akisisitiza kuwa, harakati wa Marekani katika
Hashdul Shaabi Abu mauaji ya dhidi ya za wananchi zinajipanga eneo la Asia Magharibi.
Mahdi al Muhandes, Jenerali Soleimani na kuunda muungano wa parstoday.
pamoja na sisitizo la Iran
V
Forat, ambalo limesema cha huduma za kijeshi,
kuwa muungano huo wa ambacho kitakuwa IONGOZI Hayo yamebainika
majeshi ya nchi kadhaa wala rushwa, katika mkutano
ulichukua uamuzi wa ni kikosi cha jeshi la
kuhamisha makao yake anga za mbali “Space makampuni wa 8 wa Umoja wa
kutoka Iraq na kwenda forces”. ya ndani Mataifa unaohusu
Kuwait Jumanne wiki hii. Kikosi hicho na ya nje kwa mapambano dhidi ya
Habari hiyo kimeanzishwa katika pamoja wamekuwa uharamia na rushwa
imetangazwa siku jeshi la Marekani, kwa wakishirikiana uliofanyika Abu
kadhaa tu baada ya kuwa na askari zaidi ya kutorosha mabilioni
Bunge la Iraq kupitisha Dhabi, huko Umoja
muswada unaowataka 16,000. ya dola nchini wa Falme za Kiarabu
wanajeshi wa Marekani Kamanda wa kikosi Nigeria. ambapo dhima ya
kuondoka katika ardhi ya cha jeshi la anga Imefahamika mkutano huo ilikuwa
nchi hiyo baada ya ndege za mbali Jenerali J. kwamba matajiri
za kivita za Marekani nchini Nigeria ukwepaji kodi.
Raymond, alisema Bw. Malam aliashiria
kumuua Luteni Jenerali kwamba kuanzia jioni hutorosha pesa zao
Qassem Soleimani na
sasa askari jeshi 16,000 na na kuzipeleka katika
kwamba viongozi
Naibu Mkuu wa harakati wafanyakazi wa kawaida maeneo yajulikanayo wala rushwa,
ya al Hashdul Shaabi, watahamishiwa katika mashirika ya ndani na
Abu Mahdi al Muhandes. jeshi hilo la anga za mbali. kama “pepo za kodi”. ya kigeni kwa pamoja
Siku moja baada ya Jeshi la Marekani Waziri wa Sheria wa
uamuzi huo wa Bunge limegawanywa katika Nigeria, Abubakar wanashirikiana katika
la Iraq, Waziri Mkuu wa vikosi vikuu 5 ambavyo Malam, katika hotuba kufanya uhalifu huo
muda wa nchi hiyo Adil ni jeshi la ardhini, jeshi yake kwenye mkutano wa kutorosha pesa na
Abdul Mahdi, alikutana la anga, jeshi la baharini, huo alisema kwamba kuzipeleka nje ya nchi.
na balozi wa Marekani jeshi la wanamaji na Hata hivyo katika
mjini Baghdad na kuitaka matajiri nchini Nigeria
Washington kuanza kikosi cha ulinzi wa wametorosha kiasi kulidhibiti suala hilo,
kuondoa majeshi yake Pwani. Kikosi cha cha dola bilioni 400 Bw. Malam alisema
nchini Iraq. ulinzi wa anga za mbali kuzipeleka katika serikali imechukua
Aidha Naibu katibu kinakuwa kikosi cha sita. maeneo yajulikanayo tahadhari za kutosha.
Mkuu wa Harakati ya Trt.net.tr kama “Pepo za kodi.” trt.net.tr
8 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 KALAM YA BEN AN-NUUR
Ziwa la Mama
Na Juma Kilaghai ya miezi 6) ndivyo
H
anavyozidi kuimarika
IVI sasa kiakili, kimwili na
Mamlaka kisaikolojia. Kutokana
za Afya za na tafiti hizi Shirika la
karibu nchi Afya Duniani (WHO)
zote duniani zimeibuka limekuwa likisisitiza
na miongozo miwili umuhimu wa kina
mipya kuhusu mama kuwanyonyesha
unyonyeshaji wa ziwa watoto wao kwa muda
la mama kwa watoto wa miaka miwili au
wachanga. Muongozo zaidi. Zifuatazo ni
wa kwanza ni ule nukuu za Wataalamu
unaoongeza muda kadhaa wakiunga
wa mtoto mchanga mkono mtizamo huu:
kuweza kuishi kwa “Tumekuwa
ziwa la mama yake tukiona kuwa watoto
pekee bila kuhitaji walioachishwa
msaada wa chakula kunyonya mapema
kingine, kutoka miezi wanaonyesha dalili
mitatu hadi miezi sita. zote za magonjwa
Muongozo wa pili yanayooanishwa na
ni ule unaotoa ruhsa kuacha kunyonya
kwa kina mama mapema: uchokozi,
walioathiriwa na hasira kali, tabia
virusi vya ukimwi, inayoonyesha
na hasa katika nchi kupagawa,
zinazoendelea, ung’ang’anizi kwa
kunyonyesha watoto wanaowahudumia
wao kama kawaida, na uwezo mdogo wa
alimradi tu wazingatie yote mtoto husika colitis’; kujenga mahusiano
maelekezo ya hupungukiwa na 6. Kwa maisha yake ya kina. Unyonyeshaji
wataalamu wa afya. uwezekano wa kupata yote mtoto husika unaonyesha kudhibiti
Kuibuliwa kwa kisukari (cha utotoni hupungukiwa na tabia za kikorofi kwa
miongozo hii ni na ukubwani); uwezekano wa kupata watoto walioanza
matokeo ya tafiti mpya 4. Kwa maisha yake uvimbe mwako kutembea (toddlers) na
za hivi karibuni kabisa yote mtoto husika kwenye sehemu ya kuweka uwiano mzuri
kuhusu nafasi ya hupungukiwa na mwisho ya utumbo katika tabia zao”– Dr
ziwa la mama katika uwezekano wa kupata mwembamba na William Sears, The
siha ya mwanadamu. ugonjwa wa Celiac sehemu ya kwanza ya Discipline Book, 1997.
Kwa mujibu wa tafiti (Celiac disease) – yaani utumbo mpana, hali “…, Siku zote
hizi miongoni mwa uharibifu wa utando inayojulikana zaidi nimekuwa nikitoa
faida zinazopatikana wa ndani kwenye kama Crohn’s disease; changamoto kwa
kwa kumnyonyesha utumbo mwembamba 7. Mama anayehusika mfumo wetu wa
mtoto ziwa la mama kunakotokana na hupungukiwa na kudhibiti uhalifu
yake pekee kwa muda kushambuliwa na uwezekano wa (the criminal justice
usiopungua miezi sita kinga za mwili pale kuvuja damu nyingi system) kunionyesha
ni pamoja na: mhusika anapotumia kupindukia wakati muuaji mmoja,
1. Mtoto husika kiini lishe cha ‘gluten’, anapojifungua kwa mbakaji mmoja, or teja
hupungukiwa na kinachopatikana njia ya kawaida mmoja (drug addict)
uwezekano wa kupata kwenye nafaka, (postpartum katika gereza lolote
maambukizi hatari hususan ngano; hemorrhage); na la America ambaye
kwenye masikio, 5. Kwa maisha yake 8. Mama anayehusika alinyonyeshwa ziwa na
kwenye utumbo, na yote mtoto husika hupungukiwa mama yake kwa miaka
kwenye njia ya hewa; hupungukiwa na uwezekano wa kupata miwili au zaidi, kama
2. Kwa maisha yake uwezekano wa kupata saratani za matiti na ilivyopendekezwa
yote mtoto husika uvimbe mwako mfumo wa uzazi. na Shirika la Afya
hupungukiwa na (inflammation) kwenye Aidha tafiti Duaniani” – Dr James
uwezekano wa kupata utumbo mpana na zinaonyesha Prescott, ‘Touch the
pumu na magonjwa sehemu ya haja kubwa, kuwa kadri mtoto Future’, Spring 1997.
mengine ya mzio hali inayojulikana anavyoongezewa muda “ Katika karne hii,
(allergies); zaidi kama ‘Ulcerative wa kunyonya (zaidi muda unaochukuliwa
3. Kwa maisha yake Inaendelea Uk. 10
10 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Makala AN-NUUR
Inatoka Uk. 9
kuwa ni sawa
kuwaachisha watoto
ziwa umepungua
hadi kufikia miezi
mitatu. Kwa ujumla
jamii imekuwa haijali
mahitaji halisi ya watoto.
Hata hivyo katika
maeneo mbalimbali
ya dunia maamuzi ya
kumuachisha mtoto
ziwa yanaachwa kwa
mtoto mwenyewe. Hii
ndiyo sawa, watoto
wanatakiwa wajiachishe
wenyewe kunyonya.
Kwa wale wanaopewa
fursa hiyo kwa kawaida
hujiachisha wakiwa na
umri wa wastani wa
miaka 4.2. Katika kitabu
chake, Breastfeeding: A
Guide for the Medical
Ziwa la Mama
Profession, Daktari kwa ajili ya mtoto wake.
Ruth A. Lawrence, Na kama wote wawili
M.D. anasema kuwa wakitaka kumwachisha
unyonyeshaji unaolenga ziwa (kabla ya miaka
burudani zaidi kuliko miwili), kwa kuridhiana
lishe ni muhimu kwa na kushauriana, basi si
watoto wenye umri Mambo haya “Na wanawake kosa juu yao. Na kama
unaozidi miaka miwili.” yanaweza kuonekana waliozaa mkitaka kuwapatia
“Kupakatwa na mageni kwa mwananchi wawanyonyeshe watoto wenu mama wa
kunyonyesha ni tabia wa kawaida (asiye watoto wao miaka
zinazojenga mahusiano mtaalamu wa masuala miwili kamili, kwa kunyonyesha (wengine
ya kina katika miaka ya ya unyonyeshaji) na anayetaka kukamilisha wasiokuwa mama
mwanzo ya maisha ya ambaye si mfanya ibada. kunyonyesha; na ni zao), basi haitakuwa
mtoto. Unyonyeshaji Hata hivyo kwa watu wa juu ya baba ya (yake) dhambi juu yenu
wa kilishe na ule wa ibada haya ni mambo chakula chao (hao kama mkitoa (kuwapa
burudani ni muhimu ambayo wamekuwa watoto na mama) na hao wanyonyeshaji)
kwa watoto wa mwaka wakiyafanya kama nguo zao kwa sharia. mlichowaahidi kwa
mmoja, miwili, mitatu, wajibu kwa zaidi ya Wala haikalifishwi nafsi shariah. Na mcheni
na minne” – Peter miaka 1,400. yoyote ila kwa kadri Mwenyezi Mungu na
Ernest Haiman, PhD, Je, kuna ushahidi wowote ya wasaa wake. Mama jueni kwamba Mwenyezi
Berkeley CA, U.S.A., wa hili? asitiwe taabuni kwa ajili Mungu anayaona yote
New Beginnings, Jan/Feb Quran tukufu (2:233) ya mtoto wake, wala mnayoyatenda.”
1994. inaelekeza: (baba) asitiwe taabuni
TUMIA HAIIBA TIMAM TEA KUDHIBITI 3. Kuwa na hisia kali kwa mguso wowote, kiasi
ATHARI ZA UHARIBIFU WA MISHIPA YA kwamba hata kuguswa na nguo uliyovaa unaona ni
FAHAMU tabu.
KUNA WAKATI UNAJISIKIA GANZI, 4. Kukosa mawasiliano mazuri ya viungo vya
MAUMIVU AU HISIA ZA KUUNGUA mwili, hali inayoweza kusababisha kuanguka hovyo.
MIGUUNI, HASA KATIKA MAENEO YA 5. Udhaifu wa misuli na hata kupooza kama
NYAYO? mishipa ya fahamu inayohusika na mwondoko ( motor
Kama hali hiyo inakutokea, uwezekano nerves) imeathirika.
mkubwa ni kwamba una tatizo la uharibifu wa 6. Kushindwa kuzuia mkojo (urinary incontinence);
mishipa ya fahamu, yaani “Neuropathy”. na
Wataalamu wanadai kuwa katika kila watu 7. Kusikia kelele, miluzi au mingurumo kwenye
watatu, mmoja ana tatizo hilo. masikio (tinnitus), `
Dalili za tatizo la uharibifu wa mishipa ya Kama una yoyote miongoni mwa dalili hizi, ni
fahamu ni nyingi sana. Chache miongoni mwa muhimu ukajua kuwa matumaini yapo. Matumizi ya
hizi ni pamoja na: ‘Chai Ya Ajabu’ - Hiiba Timam Tea – kwa muda wa siku
1. Kujitokeza na kuongezeka kwa ganzi 21 itaikarabati upya mishipa yako na kukurejesha katika
na hisia za kuchomwa chomwa kama na hali ya kawaida.
sindano, kwenye maeneo ya nyayo na viganja Kwa taarifa zaidi:
vya mikono; na wakati mwingine kusambaa 1. Piga simu namba: +255754281131/+255655281131;
kwa hisia hizo hadi miguuni na mikononi. 2. Wasiliana kwa whatsapp namba +255655281131;
2. Maumivu makali, wakati mwingine 3. Wasiliana kwa E- mail: jumakillaghai@
yanayofanana na kuchomwachomwa na kitu herbalimpact.org; au
chenye ncha kali, au yanayopwita kama jipu, 4. Tutembelee: Mosque Street No. 1574/144,
au kama maumivu ya kuungua moto. Kitumbini (mkabala na msikiti wa Sunni), Dar es Salaam.
11 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Makala AN-NUUR
K
na wanadamu wote, Zaydu bin Thabit ajifunza tumekuumbeni kutokana
WA kweli sheria waislamu wakiongozwa na lugha ya mayahudi kwa namwanamume
ya kiislamu Mtume (S.A.W.) walijitahidi lengo la kutambua nia
sana kuwa na uhusiano na mipango yao na kwa na mwanamke. Na
inawatakia tumekujaalieni kuwa ni
waislamu wote mzuri na ulimwengu mzima. kuwasiliana nao ikitokea
walazimika kwa miamala Kwa kuhakikisha lengo dharurua ya hayo. mataifa na makabila ili
mazuri katika hali zao zote hili Mtume (S.A.W.) alifanya Kwa kuangalia historia mjuane. Hakika aliye
na pamoja na watu wote juhudi nyingi na kachukua ya ustaarabu wa kiislamu mtukufu zaidi kati yenu
bila ya kujali tofauti yoyote hatua mbalimbali kwa tunaweza kuelewa namna kwa Mwenyezi Mungu
kidini, kimila, kikabila au ajili ya kufikia lengo hili. dini hiyo ilivyokuwa mfano ni huyo aliyemchamngu
yoyote nyingine. Miongoni mwa juhudi za bora wa kushirikiana na zaidi katika nyinyi. Hakika
Kwa kuwa Uislmau Mtume kusaini mikataba wengine na kubadilishana Mwenyezi Mungu ni
unazingatia sana kueneza ya amani na waliokuwa heshima na huruma na Mwenye kujua, Mwenye
tabia njema na kutangaza maadui wake washirikina manufaa, ambapo waislamu khabari} [49/13].
kuwa ni dini ya msamaha, na mayahudi kwa lengo la walitoa mifano mizuri kwa Kwa hiyo, tunaona
upendo na amani waislamu kuweka misingi ya kuishi hali ya kuishi pamoja na kuwa sheria ya kiislamu
wanapaswa kuwa mabalozi pamoja kwa amani na wengine kwa amani, siyo hii
kushirikiana kuendeleza tu, bali kukamilishana nao imetangaza kuwa watu
wa dini hiyo wakiwajibikia wote wako sawa ambapo
mafundisho yake na tabia Madina na kukamilishana kujenga nchi na kuendeleza
zake ambazo zote zinalenga kupata mafanikio na ustawi. jamii. wametoka chanzo kimoja
kueneza amani, utulivu na Ile mikataba na maazimio Usama bin Munqidh wakaumbwa na Mungu
rehma kwa hiyo, Mtume yalikuwa katiba na ahadi anasimulia kuwa waislamu Mmoja watarejea kwake
(S.A.W.) alipotaka kufupisha ambayo Mtume alitoa kwa walikuwa na harakati ili wafanyiwa hesabu kwa
ujumbe wake alisema: “Kwa wasio waislamu ili wawe na za kukamilishana na mema na maovu.
hakika nimetumwa kwa ajili matumaini kuhusu maisha kusaidiana na wengine Pia, sheria
ya kukamilisha tabia njema” yao katika dola ya kiislamu, bila ya kujali dini wala inawakumbusha waislamu
na alijisifu kwamba: “Hakika ambapo aliwapa amani kabila wala rangi. Dalili kuwa wanatakiwa kuwa
mimi ni rehma iliyotozwa na kukubali masharti yao nyingine iliyo wazi kwamba na uhusiano mzuri na watu
kwa wanadamu na Mola mpaka waislamu walikuwa kuenea kwa Uislamu wote na wasiwadharau
wao”. wanadhani wakati mwingine kumesababishwa sana wengine, bali washirikiane
Kwa namna hii tunaona kuwa baadhi ya mikataba na harakati za waislamu na watu wote kwa ajili ya
vipi Qur`ani Takatifu hiyo inawadhulumu wafanyibiashara waliokuwa kuhakikisha matarajio yao
imesisitiza umuhimu wa waislamu kama ilivyotokea wakizunguka huko na na kupata radhi ya Mola
kushirikiana baina ya wakati wa kuafikiana kwa huko wakilazimika kwa wao Mtukufu.
wanadamu wote waislamu azimio lililoitwa “Suluhu mafundisho na maadili ya Email : eg_islamic39@
na wasio waislamu na ya Al-Hudaybiya” ambayo Uislamu, jambo lililochangia yahoo.com_center
kuzingatia uhusiano na Mwenyezi Mungu Ameliita kwa kiasi kikubwa kueneza Facebook:https://web.
mambo ya pamoja yaliyopo “Ushindi mkubwa” Uislamu na kuwavuta watu facebook.com/Kituo-cha-
baina ya wanadamu kwa Alizungumzia azimio wajiunga nayo.
jumla. hilo kwa kusema: {Hakika Pia, historia inatwambia Kiislamu-cha-kimisri-
Pia, Qur`ani ilisisitiza tumekufungulia Ushindi na kutupa sura nyingine ya Dar-es-Salaam-Tanzania-
kuwa ni muhimu sana wa dhaahiri * Ili Mwenyezi kuelezea hali ya Uislamu 1406373692959170/?ref=br_rs
wanadamu waelewana na Mungu akusamehe makosa kushirikiana na wengine Youtube:https://
kukamilishana kuimarisha yako yaliyotangulia na katika nyanja mbalimbali www.youtube.com/
na kukuza jamii na yajayo, na akutimizie hasa biashara mpaka wakati channel/UCP0QZa3-
nchi mpaka ulimwengu neema zake, na akuongoe wa vita, hali ilivyokuwa OE44HXH5AGzYJ6g
12
JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020
9.
8.
7.
6.
5.
4.
3.
2.
1.
26
11.
28.
27.
25.
24.
23.
22.
21.
18.
17.
16.
15.
14.
13.
12.
10.
Na.
Na.
1.
Lindi
Mara
Geita
Iringa
Tanga
Katavi
Mbeya
Tabora
Rukwa
Pemba
Arusha
Kagera
Mtwara
Singida
Kigoma
bure.
Ruvuma
Dodoma
Chalinze,
Manyara
Morogoro
Mkuranga)
Bagamoyo)
Shinyanga
Mkoa
Kilimanjaro
(Kibaha Mji,
Mkoa
(Rufiji, Kibiti,
19. Kibaha Vijijini,
Ilala/Kisarawe
Mwanza/Simiyu
Pwani Kaskazini
Ubungo/Kinondoni
WARATIBU
Pata fomu na nunua
19
Idd Nassor
wa Elimu
Ally Lesso
3. Gharama za EKP ni:
Omar Rajabu
Omar Mugeta
Bilal A. Kiseku
Mbaraka Stima
JinaJina
Maulid Y. Maulid
Mbaraka Sharifu
Jina
(Zuberi A. Omari)
Ramadhan Chale
Sadam R. Urassa
Ahmad R. Katoba
Ramadhani Ismail
Yahya S. Mtinangi
Mussa Hussein
Khalifa Yazidi Issa
Kizami K. Wasaga
WA ELIMU
KIAMBATISHO
Abdulsabur I. Ismail
Sudi R. Kabogota
Riko H. Mohamed
Suleiman Y. Bulyo
Shamim Kempanju
Ibrahim K. Kunema
Rajabu Ally Ngalongela
H
nafuu kabisa kwa kusoma
la Mratibu
M isto
ha tum ria
H ku pa e(s ya
ku uso wa ka alia hw
wa Mikoa
ki lim wa za a k ka mu ma
la u u na kab nza a Q
M nd am kuw sh m nun we au
K ui iy ri a us ais i ze k kil isa ku ur-
kw uso sl o ha na sh uta a ku sh an
am F ya Mt hw Hi Mu w us 9
u a m ya sh a m fut isl a E hiw 6:1
(s juzi nza a a u ara ku um a Q
t m i ni e
kil ria ja a e am lim a
a l
an dh so e ( u
hu .w) w ili u gu i y ma s.a r-a ku aso juz
fik mo uu a k u u u wa - 5,
sik liz m imu ta nd h in
ia u o j a
pa zi a k ku ku
H tik kif ut m ta za a k . H .w n 9
m w iv ) a 6: kil kwa a s y , h ziw a kum u ng iy y
u o kw tuk
ju ii n an ua os ue fut a an yo lia 1 ele D it up ek Mo ef za Fa a um
a tw ha ze a
s
za z , n - at a la an m ra ku b
ku zuu i ju
m 7 u z ua a j e Mf hic ara a ya i A
ka ll w yw a dh pe u
za i w sh
M a in hap za 5,
uw z u di ka uu ha lim
l i t i y m u tu a a ku in ulu ho sa m
. n a ah ak a y
M fu ka a ja k m yo na sh a
e t 1. luz la aa ua (s.w e n kuw Mt a a a a n
n
Simu
fu ez a m ya um kw m a
k
Simu
lu es a S a k k u (s pas sh ush uku 2. Le o W rifa
at dil ) a k a
1. lu ha
so ab
a
am ila anu um me
f
.a w ak iw m
.
hu u ya ifu zik um Fa e anz ri y kut
2 Le zo
m mo ya an kip ni jua an w a a a bu 3. Ng ng u W U na ifu pa rad
(s a a uf
.a in ku un
3 . N ng hu ja kw m i y en n yw ) h ku k w s 4. Qu uzo o la wa az isl
im am a
am tw tia hi .w a s za
u ad te ab ah ha
k i 5. Fa r-a z M m a ) h yo om
0782 103676
0621 001753
0714 707021
0782 872542
0712 627515
0715 704380
0764 357560
0765 748056
0714 522122
0783 488444
0678 334533
0767 345367
0719 394764
0744 336940
0758 889025
0755 756107
0654 367157
0672 860634
0757 552489
0765 489443
na a a i
0713 992395
0785 252360
0785 186230
0654 723418
0768 948629
0717 194355
0713 523577
0787 137477
4. . Qu guz o l
o a w a ge a s Mo a
kw le h la k as an a k uju ya k
a ja Da arif sa ele sa y kw na 6. Ja mil n n a U aish om un u k ad pas a. kuw
. J Fam r-an za Ma m m ra a el ch eri wa uw sa zw ku a ao ati i y ati zi w i s wa Hi a
as ii y ik a a a . 7. His mii ia y a S isla a y o ku ka a ka wa an
z as vy
a wa k
am il kw k
i n U is
WA MIKOAwafuatao
om ku sa a U at m al ke na Ku to ya a k un mu a M at su m a. o,
is ii y a y a S isla ha
to a a u m ya o
fik la
ia W is
l a
ik ai izo na Far
a s a
hu ria Ki iis na
i
ish ya sla am h l wan ik a d f
ia luu eli ila kut a ili
o
ka kip sh
hu ria K kii nn u M
is ya iis sla ah w
ka
tik ki atu mu
le
ja ha ziw ku dh
m a K m u ad ju
zu kum o li z t i e
ka ng ju a
la m a ii. ya eka mp i y Ui uh u am u w e
ha
K m
an le W ka
a k a a sla ui u 7 u j l u
U uh u u ad ju hi z tik ila Al tia m sha we a am e y
is a zu la u
ch im a
nakala ya juzuu yako
la isu m u s ik h
ni: ze juz ii. cha a
m h u o. a mf ka Ui sh uu
u a
ya
7
un ul u, tik sla a
H
ka Ui ao uli a mu m 7 za
ni
: ku zo Ja ja
is
tik sla
m na
Da Ma
a m su wa
ii
to
Ja u di ja
a m
ri
m
ra ar
ii
a
ii
Kiislamu kwa Posta (EKP).
sa ifa
ya
H
K
la ya
uh
IS W U
ui
sh
Ju at is
a
TO
(T z u la
U
ol u
is
eo u
la
RI W mu
la
Juzuu Saba (7)
m
az
u
Pi 6
UI Y li) im
S A a
LA KU
za
M H
U U
IS
H
A
Is
la
m
ic
P
ro
p
a
g
a
ti
o
n
C
e
Neema yakujia hadi mlangoni
n
Elimu ya
(i) Kujiunga kwa kujaza fomu. (ii) Kununua Juzuu 7 kwa bei nafuu (iii) Kusoma
Juzuu na kufanya mitihani ya kila Juzuu (iv) Kufanya mtihani wa kuhitimu
2. Kwa wanafunzi wa Sekondari, hakuna tena sababu ya kuhofia kujiandikisha
Sasa unaweza kupata elimu sahihi ya Uislamu kwa wepesi na kwa gharama
kufanya Mtihani wa Taifa wa Dini ya Kiislamu Kidato cha Nne. Hata kama
baada ya kufaulu mitihani ya Juzuu 7. (v) Kupata cheti cha kuhitimu (EKP)
ISLAMIC PROPAGATION CENTRE P.O. Box 55105, Dar es Salaam, Tel: 0784267762, 0755260087 website:www.ipc.or.tz
AN-NUUR
tr
e
Ujue Uislamu wako kwa njia nyepesi kabisa
13 JAMAADAL UULA 1441, IJUMAA JANUARI 10-16, 2020 Makala AN-NUUR
T
anakuwa ameandaliwa
AASISI ya atahakikisha
Aisha Sururu anasimama na mtoto
(Aisha Sururu wake katika malezi na
Foundation) kimaadili hata baba
imeandaa kongamano asipokuwepo.”Amesema
Bi. Sururu.
la maadili kwa Aliongeza akisema,
mabinti walioko Vyuo “tunaiomba serikali
Vikuu na shule za itoe elimu kwa wingi
sekondari nchini. hasa kwa mabinti ili
Mwenyekiti wa wanapomaliza masomo
Taasisi hiyo amesema wasikae wakasubiria
kuwa lengo la kufanya ajira rasmi bali waanze
kujishughulisha na
kongamano hilo hasa biashara ndogo ndogo
kwa mabinti ni kuandaa ili waendelee kujikimu
kizazi chenye maadili kimaisha.
kutoka kwa mama Bi. Sururu amesema
watarajiwa kwa kuwapa kuwa taasisi yake
elimu na kuwafanya inatarajia kuwaunganisha
kuwa wanawake watakao vijana wa vyuoni na
jua majukumu yao pindi shule za Sekondari
watakapo ingia katika nchi nzima ili kutoa
kuzijenga familia zao. elimu hiyo na kuwapa
Bi. Sururu amesema semina mbalimbali
kuwa jamii zetu za kujitambua na
zinaharibika kwa kukosa ujasiriamali hata
malezi bora hasa kutoka watakapo maliza vyuo
kwa kinamama ambao wasiwe mizigo kwa
ndio walezi wakuu wa familia zao.
familia wameshindwa Naye Ukht Fatma
kuwandaa watoto Mdidi amewataka
wao katika malezi ya wanafunzi wakike
kimaadili. na wasichana kuona
“Leo utamkuta thamani ya miili yao na
mtoto wa kike anatoka kutokuionyesha kwa BI Aisha Sururu
nyumbani nguo aliovaa yoyote ila yule atakae katika kongamano hujawahi kufanya jambo
huwezi mtizama mara lililopewa jina la lolote (Yaani jimai)
mbili lakini kama mama jitokeza kwa kufuata “Muslim Queen`s day” hakika mwanaume
ni mtu anaejiheshimu sharia na taratibu za
Kiislamu. lililoandaliwa na Aisha huyo atakuheshimu
atashirikiana na baba Sururu Foundation. atakupenda kidhati na
mtoto kuhakikisha nguo Fatma Mdidi Ukht Fatma amesema milele na atakuthamini
hiyo haivaliwi kwa ameyasema hayo wakati kuwa msichana lakini zaidi atakuamini
mtoto huyo lakini kama akiongea na wanafunzi ukijitunza mpaka siku zote.
mama hayuko vizuri wa kike wa vyuo vikuu utakapofika wakati Ukht Fatma
kimaadili atamvalisha pamoja na shule za amewataka mabinti
nguo isiyo na maadili wako na ukampata
pale baba anapokuwa Sekondari za hapa jijini mwenza mkafunga wavae stara kama
hayupo akirudi Dar es Salaam mwisho ndoa na akakukuta ambavyo ameamrisha
anamkuta mtoto yuko wa wiki iliyopita ukiwa salama yani Mwenyezi Mungu.
Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 Dar es Salaam.