You are on page 1of 1

07.07.

2021

Unapojibu tafadhhali taja:


Kumb.Na.LUWS/BM/1/36/07/07/021

Kwa,
MENEJA RUWASA (W),
S.L.P 233,
HAI

YAH: WITO WA KUHUDHURIA KIKAO CHA BODI TAREHE 13/07/2021 KUJADILI


BAJETI YA MWAKA 2021/2022.

Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.

Unaombwa kuhudhuria kikao tajwa kitakachofanyikia Ofisi kuu ya Bodi ya Wadhamini


Lyamungo Umbwe siku ya Jumanne ya tarehe 13.07.2021 saa 4.00 asubuhi.

Agenda za kikao zimeainishwa Kama ifuatavyo;


1. Kufungua kikao.
2. Kupokea taarifa ya mkaguzi wa Hesabu
 Ripoti ya mkaguzi wa hesabu za Fedha Januari 2019 - Disemba 2019.
3. Taarifa ya utekelezaji wa kazi Julai 2020 –Juni 2021.
4. Taarifa ya Mapato na Matumizi Julai 2020 – Mei 2021.
 Makisio ya mapato ni shillingi 637,576,000/=
 Mapato halisi ni shillingi 595,412,325/=
 Matumizi ni shillingi 474,592,838/=
5. Kujadili na Kupitisha Bajeti ya Julai 2021- Juni 2022.
 Makisio ya mapato ya shillingi 720,819,600/=
 Makisio ya Matumizi ya shillingi 719,716,067/=
6. Mengineyo kwa idhini ya mwenyekiti.
7. Kufunga kikao.

Wako katika ujenzi wa Taifa

…………………………
Daud Bundala
Meneja

You might also like