Professional Documents
Culture Documents
Vituo Vya Kutolea Chanjo Ya Uviko19
Vituo Vya Kutolea Chanjo Ya Uviko19
Pamoja na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa
Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kufanikisha upatikanaji wa chanjo nchini na
kuanza kuchanja Wananchi, Wizara ya afya inaendelea kuwashauri Wananchi
kuendelea kujikinga na UVIKO-19 kwa kunawa mikono, kuvaa barakoa, kukaa umbali
za mita moja au zaidi, kuepuka misongamano na kufanya mazoezi.
Mwisho, napenda kurudia tena kuishukuru Serikali yetu ya Mhe. Rais Samia Suluhu
Hassan na serikali ya Marekani, kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo hizi ambazo
zimepitia kwenye mpango huo wa COVAX. Pia nawashukuru wadau wetu wote wa
chanjo kwa michango yenu mikubwa katika kufanikisha upatikanaji wa chanjo. Aidha
Serikali inawapongeza sana Viongozi wetu na Wananchi ambao tayari wameitikia
zoezi la kuchajwa kwa hiari.
Imetolewa na