You are on page 1of 1

NASARU MAASAI CHILDREN CENTRE.

P.O.BOX 9596,
KIJIJI CHA EMBOREET,
SIMANJIRO, MANYARA,
18/1/2021.

MENEJA WA TANESCO MKOA KILIMANJARO,


P.O BOX 63,
MOSHI, KILIMANJIRO

Ndg,……………………………..

YAH: OMBI LA KUWEKEWA UMEME KWAAJILI YA MIRADI WETU EMBOREET.


Kurejea kwenye kichwa cha habari hapo juu yahusu kupatiwa huduma ya umeme kwa ajili ya
miradi wetu katika kijiji cha Emboreet.
Tumefanikiwa kuanzisha miradi kadhaa kama ifuatavyo, tumechimba kisima(borehole) kwaajili
ya uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji(irrigation), kambi za kitalii(Campsite) na ufugaji wa ng’ombe wa
maziwa (Zero Grazing).
Miradi wetu hii ni uwekezaji wenye tija katika jamii kwani huleta ajira kwa vijana
wanaotuzunguka.
Natumaini maombi yetu yatapokelewa vizuri na kupata mrejesho chanja.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

….………………………………………………….

ANNA MOINAN SHININI

You might also like