You are on page 1of 10

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA.9/259/01/39 13 Septemba, 2021

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji


kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 24 – 26 Agosti, 2021 kuwa
matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa
waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao
wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha


kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo
katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose
Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na
baada ya hapo barua ambazo hazijachukuliwa na Wahusika zitatumwa
kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa
kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia
kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine
nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa wawe wamevaa
Barakoa.

MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA


NA KADA
AJIRA KAZINI
1 MKURUGENZI MKUU, SPECIALIST MEDICAL 1. DR. SHANGWE NOEL
HOSPITALI YA DOCTOR II SAM
BUGANDO
(BMC)

2 AFISA MTENDAJI AFISA SHERIA II 1. CALVIN JAMES


MKUU, RWAMBOGO
WAKALA WA
USAJILI WA 2. ABDULKARIM NZORI
BIASHARA NA ALLY
LESENI
(BRELA) 3. ANDREW OBEDI
MALESI

4. GEORGE ROMANI
MSAKI

3 MKURUGENZI AFISA MIPANGO II 1. SAID FAUSTINE


MTENDAJI (W), MAGEMBE
HALMASHAURI YA
WILAYA YA BAHI

4 KATIBU MTENDAJI, CUSTOMER CARE CUM 1. NEEMA E. NNKO


BARAZA LA OFFICE MANAGEMENT
USHAURI LA ASSISTANT 2. JOSEPH OGUDA
WATUMIAJI WA
HUDUMA ZA NISHATI 3. NOELA NTILUVAKULE
NA MAJI
(EWURA – CCC) 4. CATHERINE CHARLES
OCHIDO

5. LEONCE A.BIZIMANA
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
5 MKURUGENZI MKUU, BIOMEDICAL 1. ABDALLAH JAMALY
BOHARI YA DAWA TECHNICIAN KILAMBA
(MSD)
2. RAYMOND GODLIVING
MICHAEL

3. RAIYA MOHAMED SAIDI

4. IKUNDA HARRISON
MTUI

5. SABRINA ALYSTIDIA
LUKOSI

6. JUMANNE MAWAZO
MAPESA

WAREHOUSE OFFICER 1. PAMFILIA MELKIORY


NGOWI

2. SUZANA AMOS MAJULE

6 MAKAMU MKUU WA CLINICAL OFFICER II 1. JESTA JULIUS MSULE


CHUO,
CHUO KIKUU
MZUMBE
(MU)

7 TAASISI YA MEDICAL PHYSICIST II 1. DR. POTINI PASCHAL


SARATANI YA PARESSO
“OCEAN ROAD”
(ORCI)

8 KATIBU MTENDAJI, MINING ENGINEER II 1. DICKSON ELISAMIA


TUME YA MADINI MWAFIFI
(TMC)
2. WILSON AUGUSTINE
BANKOBEZA

ENGINEER II (MINERAL 1. RAMADHAN HANAFI


PROCESSING) RAMADHAN

2. INNOCENT CORNEL
PASCAL

GEOLOGIST II 1. RONGINO FESTO EBIL


MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
2. GEORGE ADAM
MCHIWA

3. ARAMU EZEKIA
KALIVUBA

TECHNICIAN II 1. ASTON FREDRICK


(GEOLOGY) KIRUMBA

2. ADOLPH CHANGA
MWAIRWA

3. IRENE PAULINUS
MATWE

4. MKAPA PEARSON
SALVATORY

5. CHRISTINA MELIUS
KANAN

6. RAMADHANI ATHUMANI
SHANI

7. PATRICK WILLIAM
MACHUMU

8. PATRICK ADAM
MAPUNDA

9. MAYANZANI HASSAN
MUSSA

10.PATRICK RUSTICK
MWALUSITO

TECHNICIAN II (MINING) 1. MUSSA CHARLES PAUL

2. NASRI TAWFIQ MPERA

3. FABIANO GILES
MATELE

4. CALEB BONIPHACE
MWIKWABE
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
5. BONIPHACE JAMES
KELVIN

6. KELVIN SAMSON
KISWAGA

7. REHEMA CLAUDIA
KINUNDA

8. JACKSON GEOFFREY
SIMBAUFOO

9. NOEL ROBERT
MAHEWA

DRIVER II 1. YOHANA SAMWEL


MMARI

2. HALID SALEHE
KAUTIPE

3. BONIFACE THOBIAS
MWAIPAJA

4. INNOCENT JULIUS
LUJIGA

9 MKURUGENZI MKUU, VOCATIONAL 1. BERNARD PETER MFOI


MAMLAKA YA ELIMU TEACHER (MASONRY
NA MAFUNZO AND BRICKLAYING)
(VETA)

10 MKURUGENZI WA MHASIBU II 1. EDINA EDWARD


MJI, KALINDILE
HALMASHAURI YA
MJI BUNDA AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. JULIETH DESDERY
II KAYUSI
AFISA MAENDELEO YA 1. NSUME JUGENI
JAMII MSAIDIZI II MWAMLENGA

11 MTENDAJI MKUU, AFISA UGAVI II 1. ESNART DUNFORD


WAKALA WA MANZI
HUDUMA YA
UNUNUZI SERIKALINI 2. JOSEPH SIDAELI
(GPSA) GOROI
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
MHASIBU II 1. FAUSTINA FERDINAND
FILIMBI

12 MKURUGENZI ENGINEER II 1. BENEDICT GASPER


MTENDAJI, FUMBE
MAMLAKA YA
MAJISAFI NA USAFI
WA
MAZINGIRA IRINGA
(IRUWASA)

13 MKURUGENZI FUNDI SANIFU 1. KUDRA REJINADI


MTENDAJI (W), MSAIDIZI II (UJENZI) RUTEGESHA
HALMASHAURI YA
WILAYA YA MAKETE 2. KALOS JULIUS KOMBA

FUNDI SANIFU II 1. MACDONALD DICKSON


(UJENZI) MWAKATENGELE

2. EDWARD JOHN
NYALAJA

AFISA MAENDELEO YA 1. NANCY GLADSON SWAI


JAMII MSAIDIZI II

14 MKURUGENZI WA MSAIDIZI WA HESABU II 1. NKINDA MAYAYA


MANISPAA, MALEMI
HALMASHAURI YA
MANISPAA YA
MUSOMA AFISA MAENDELEO YA 1. OCTAVIAN NGILILEA
JAMII II RWEYEMAMU

AFISA MAZINGIRA II 1. STANLEY ALEX MROPE

FUNDI SANIFU II 1. FURAHA ALEXANDER


(UJENZI) MBOMA

15 MKURUGENZI AFISA HESABU II 1. FREDIRICK FREDNAND


MTENDAJI (W), CHAYE
HALMASHAURI YA
WILAYA YA
NANYUMBU AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. EDINA KOKWIJUKA
II ERNEST
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
16 KATIBU MTENDAJI, DEREVA II 1. ABDALLAH KIBWANA
BARAZA LA KIANGI
MITIHANI LA
TANZANIA
(NECTA)

17 KATIBU MKUU, TABIBU II 1. MSHAM MOHAMEDI


OFISI YA WAZIRI MSHAURI
MKUU,
KAZI, VIJANA, AJIRA
NA WENYE
ULEMAVU

18 KATIBU TAWALA (M), DEREVA II 1. SOPHIA WAZIRI


OFISI YA MKUU WA MWAMBAGE
MKOA MANYARA
2. KENNETH ZAKAYO
GYUMI

19 KATIBU TAWALA (M), DEREVA II 1. ZAKAYO CHARLES


OFISI YA MKUU WA MTWEVE
MKOA WA TABORA
MSAIDIZI WA 1. JANE SETH MWAIPOPO
KUMBUKUMBU II
20 MKURUGENZI AFISA BIASHARA II 1. EVA KAWEDI MEENA
MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA
WILAYA YA ACCOUNTS ASSISTANT 1. AHMAD HAMIDU
SENGEREMA II SALIMU

AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. GODLOVE EDSON


III RUGETE

21 MKURUGENZI MKUU, CIVIL TECHNICIAN II 1. JUMA JUMANNE ALLY


MAMLAKA YA
VIWANJA VYA
NDEGE COMMERCIAL OFFICER 1. ABDULRAHMAN JUMA
(TAA) II DILUNGA

AIRPORT SECURITY 1. FARAJA LINGSON


OFFICER II KAJUNI

22 MKURUGENZI MKUU, PRODUCER II 1. ABDALLAH NG'ANZI


SHIRIKA LA ABDALLAH
UTANGAZAJI LA
TAIFA 2. ZAITUNI HAMISI MUNISI
(TBC)
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
JOURNALIST II 1. ZAUJIA SWALEHE
OMARY

2. MAUREEN CATHREEN
MINANAGO

CAMERAMAN II 1. EMMANUEL LAURANCE


KIWELU

TECHNICIAN II 1. FREDRICK LAGILI


BRYCESON

2. BARAKA EMMANUELY
MTULO

ACCOUNTANT II 1. FLORA ELIAONI SHAYO

DRIVER II 1. HAMISI MUSSA


MAKEHA

ENGINEER II (CIVIL) 1. LUSAKO FRANCIS


SICHONA

23 KAMISHNA WA DRIVER II 1. BRIGHTON ELIAS


UHIFADHI, MAKUNDI
WAKALA WA
HUDUMA ZA MISITU 2. NGENDAIKA DAUD
TANZANIA HENJEWELE
(TFS)
3. RICHARD LAURENT
MINJA

4. PETRO MKAMA
WANDIBA

5. ALBERT STEVEN SAYI

24 MKURUGENZI MKUU, LEGAL OFFICER II 1. SARAH REMEN


SHIRIKA LA UTAFITI WILBARD
NA MAENDELEO YA
VIWANDA
(TIRDO)
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
25 MKURUGENZI MHANDISI II (UJENZI) 1. KHALFANI JUMA MOFU
MTENDAJI,
SHIRIKA LA
MAENDELEO YA
PETROLI
(TPDC)

26 MKURUGENZI AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. ABDON DAMAS KOMBA


MTENDAJI (W), II
HALMASHAURI YA
WILAYA YA USHETU FUNDI SANIFU II 1. ISMAIL IBRAHIM
UJENZI NAMTUMA

AFISA MISITU MSAIDIZI 1. ELIZABETH BEDA


II DANIEL

27 MKURUGENZI AFISA USHIRIKA II 1. JAMES SANING'O


MTENDAJI (W), KIVUYO
HALMASHAURI YA
WILAYA YA SAME

28 MKUU WA CHUO, SYSTEMS/NETWORK 1. EMMANUELI AHADI


CHUO KIKUU CHA ADMINISTRATOR MCHOME
DODOMA
(UDOM) DRIVER II 1. JOHN JOSEPH IKWABE

29 MKURUGENZI AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. AGNES BERNARD


MTENDAJI (W), II KIKOTI
HALMASHAURI YA
WILAYA YA MBULU

30 MKURUGENZI MKUU, ENGINEER II 1. SULEIMAN ABDALLA


SHIRIKA LA (ELECTRONICS) NASSOR
MAWASILIANO
TANZANIA
(TTCL)

31 MKURUGENZI MKUU, TECHNICIAN II (MINING) 1. HANSPETER JUSTINE


SHIRIKA LA RELI MABIMBI
TANZANIA
(TRC)

32 MKUU WA CHUO, ASSISTANT NURSING 1. EDWIN JOSEPH


CHUO CHA TAIFA OFFICER II BALEGUYE
CHA USAFIRISHAJI
(NIT)
MAMLAKA YA MAJINA YA WALIOITWA
NA KADA
AJIRA KAZINI
33 MKURUGENZI WA LEGAL OFFICER II 1. DAVID GERSON MTERA
UCHANGUZI,
TUME YA UCHAGUZI
(NEC) ICT OFFICER II 1. MCHIMILE MUHAMED
(DATABASE HASHIMU
ADMINISTRATOR)

34 MKURUGENZI AFISA MAENDELEO YA 1. STELLA PETER


MTENDAJI (W), JAMII II MOKIWA
HALMASHAURI YA
WILAYA YA MULEBA AFISA KILIMO MSAIDIZI 1. MERIAN SOSTENESS
II MAGANGA

IMETOLEWA NA KATIBU
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like