You are on page 1of 5

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA

TAARIFA YA HALI YA UVIKO-19


Tarehe 22 Hadi 28 Januari, 2022

1. Vipengele Muhimu
1: Muhtasari wa Wagonjwa, Vifo na Upimaji
 Jumla ya watu waliothibitika ni 33,230 na vifo 789, sawa na asilimia 2.4 ya
waliougua toka mlipuko uanze mnamo Machi, 2020
 Jumla ya vipimo vya maabara (RT PCR) 434,037 vimefanyika na asilimia ya
maambukizi ni 7.7
 Katika wiki tajwa, vipimo 6,364 vya maabara vimefanyika
 Idadi ya visa vipya vya maambukizi vilivyothibitika katika wiki tajwa,
imepungua kutoka 527 wiki iliyopita hadi 310, kwa upungufu wa asilimia 41.2
 Vifo vipya 11 vilitokea katika wiki tajwa
 Jumla ya watalam 3,351 wa afya wamethibitika kuwa na maambukizi tangu
mlipuko uanze mnamo Machi, 2020
 Hakuna visa vipya vya maambukizi vilivyothibitika wala kifo kipya kwa watoa
huduma za afya katika wiki tajwa
2: Chanjo
 Jumla ya watu waliokamilisha chanjo ya UVIKO-19 hadi sasa ni 1,981,749

3: Mtawanyiko Kijiografia wa Visa Vipya Vilivyothibitika kuwa UVIKO-19


Kimkoa, Tarehe 22 hadi 28 Januari 2022, Tanzania Bara

1
2. Epidemiolojia na Ufuatiliaji wa Ugonjwa
A. Wagonjwa, Vifo na Tetesi
Watu wapya waliothibitika katika wiki 310

Jumla ya watu waliothibitika tangu ugonjwa uanze 33,230

Vifo vipya katika wiki 11

Jumla ya vifo tangu ugonjwa uanze 789

Idadi ya tetesi za ugonjwa zilizothibitishwa wiki hii 40

Weekly trend of COVID-19 Confirmed Cases


1600
1400
Number of Cases

1200
1000
800
600
400
200
0
03-Dec-21

10-Dec-21

17-Dec-21

24-Dec-21

31-Dec-21
12-Nov-21

21-Jan-22
01-Oct-21

08-Oct-21

15-Oct-21

22-Oct-21

29-Oct-21

05-Nov-21

19-Nov-21

26-Nov-21

07-Jan-22

14-Jan-22

28-Jan-22
17-Sep-21

24-Sep-21

Date

Idadi ya visa vipya vilivyothibitika kuwa na UVIKO-19 ilianza kuongezeka kuanzia


wiki ya tarehe 3 hadi 23 Desemba, 2021. Idadi ilianza kupungua kuanzia tarehe
17 Desemba, 2021 na katika wiki hii, idadi ya visa vilivyothibitika imepungua kwa
asilimia 41.2 kutoka idadi ya wiki iliyopita.

Jedwali 1: Visa Vipya vya UVIKO-19 na Vifo Vilivyothibitika kwa Siku, Tarehe
22 – 28 Januari, 2022

Tarehe Visa Vifo


Vilivyothibitika Vilivyothibitika
22-Jan-22 57 2
23-Jan-22 23 1
24-Jan-22 56 2
25-Jan-22 34 2
26-Jan-22 48 0
27-Jan-22 40 1
28-Jan-22 52 3

2
No. of cases, deaths

50

0
100
150
200
250
300
350
400
450
500
14-Mar-20
29-Mar-20
13-Apr-20
28-Apr-20
13-May-20
28-May-20
13-Jun-20
28-Jun-20
14-Jul-20
29-Jul-20
13-Aug-20
28-Aug-20
12-Sep-20
27-Sep-20
12-Oct-20
27-Oct-20
12-Nov-20
27-Nov-20
12-Dec-20
30-Dec-20
14-Jan-21
29-Jan-21
Confirmed Cases

14-Feb-21
01-Mar-21
Date 16-Mar-21
31-Mar-21
Deaths

15-Apr-21
30-Apr-21
15-May-21
30-May-21
14-Jun-21
29-Jun-21
13-Jul-21
28-Jul-21
12-Aug-21
27-Aug-21
11-Sep-21
26-Sep-21
11-Oct-21
26-Oct-21
10-Nov-21
25-Nov-21
10-Dec-21
25-Dec-21
9-Jan-22
24-Jan-22
Jedwali 2: Mwenendo wa Visa Vilivyothibitika kuwa na UVIKO-19 na Vifo tangu Mlipuko Uanze hadi Wiki ya 22 – 28 Januari, 2022

3
B. Upimaji wa Ugonjwa wiki ya tarehe 22 hadi 28 Januari 2022
Jumla ya vipimo vipya vya maabara (RT-PCR) vilivyofanyika 6,364

Idadi ya vipimo vipya vya maabara (RT-PCR) kwa wasafiri 5,951


wanaoondoka
Jumla ya vipimo vya maabara (RT PCR) vilivyofanyika tangu mlipuko 434,037
uanze
Idadi ya vipimo vilivyofanyika kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia 5,794
mipakani kwa kutumia kipimo cha haraka (RDT)

C. Taarifa ya Wagonjwa Waliolazwa Siku ya Tarehe 28 Januari, 2022


Jumla ya vitanda vya wagonjwa wa UVIKO-19 4,355

Idadi ya vitanda vya UVIKO-19 vilivyokuwa na wagonjwa 114

Idadi ya vitanda katika kitengo ya uangalizi wa karibu (ICU) 237

Idadi ya vitanda katika kitengo ya uangalizi wa karibu vyenye 16


wagonjwa

D. Chanjo
Idadi ya watu wapya waliochanjwa dozi ya 1 (Sinopham) katika wiki 49,284

Idadi ya watu wapya waliochanjwa dozi ya 2 (Sinopham) katika wiki 65,417

Jumla ya watu waliochanjwa dozi ya 1 ya Sinopharm 1,248,854

Jumla ya watu waliochanjwa dozi ya 2 ya Sinopharm 693,213

Idadi ya watu wapya waliochanjwa chanjo ya Janssen (JJ) katika 17,623


wiki
Jumla ya watu waliochanjwa chanjo ya Janssen (JJ) 1,056,351

Idadi ya watu waliochanjwa dozi ya 1 ya Pfizer 51,012

Idadi ya watu waliochanja dozi ya 2 ya Pfizer 35,576

Jumla ya watu waliochanjwa dozi ya 1 ya Pfizer 361,292

Jumla ya watu waliochanjwa dozi ya 2 ya Pfizer 88,912

Idadi ya watu waliochanjwa dozi ya 1 ya Moderna 2,716

Jumla ya watu waliochanjwa dozi ya 1 ya Moderna 10,100

Jumla ya watu waliokamilisha chanjo 1,981,749

4
3. Mtawanyiko wa Wagonjwa na Vifo kwa Mikoa

Jedwali 3: Wagonjwa na vifo vya UVIKO-19 kwa Mikoa, Tarehe 22 hadi 28 Januari,
2022 Tanzania Bara
Na. Mkoa Wagonjwa wapya Vifo vipya
waliothibitika vi;ivyothibitika
1 Mwanza 17 0
2 Dar Es Salaam 214 2
3 Morogoro 2 0
4 Tanga 0 0
5 Katavi 0 0
6 Ruvuma 0 0
7 Manyara 5 2
8 Dodoma 16 2
9 Arusha 11 0
10 Kilimanjaro 8 2
11 Singida 5 0
12 Iringa 4 1
13 Njombe 0 0
14 Tabora 0 0
15 Rukwa 1 0
16 Kagera 1 0
17 Geita 0 0
18 Kigoma 2 0
19 Lindi 1 0
20 Mara 10 1
21 Mbeya 2 1
22 Mtwara 0 0
23 Pwani 2 0
24 Shinyanga 9 0
25 Simiyu 0 0
26 Songwe 0 0
Jumla 310 11

You might also like