You are on page 1of 3

2Yohana

Utangulizi
Waraka wa pili wa Yohana umeandikwa kwa “Bibi mteule (Siria na watoto wake)”, ambao unaweza kuwa
unamhusu mtu binafsi na jamaa yake, au kuna uwezekano kabisa kwamba unalihusu kanisa. Msisitizo
umewekwa katika umuhimu wa imani kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu katika umbo la mwanadamu na
kwamba waamini wanaosoma inawapasa kudumu katika pendo la Mungu na kukataa mafundisho potofu ya
imani.
Yohana pia aliandika kuwaonya ili waweze kutambua walimu wa uongo wanaosafiri huku na huko, wao
wasije wakawaunga mkono na kuwasaidia. Yaani mtu ye yote asije akachangia kwenye kueneza mafundisho ya
uongo badala ya yale ya kweli.

Wazo Kuu
Mwenendo wa waamini na kuwaonya hao waamini dhidi ya wadanganyaji jinsi wanavyodanganya.

Mwandishi
Yohana, yule mwanafunzi mpenzi aliyeegama kifuani mwa Yesu wakati wa chakula cha mwisho na
wanafunzi Wake.

Tarehe
Waraka huu uliandikwa 90 B.K.

Mahali
Efeso.

Mgawanyo
• Salamu (1:1 - 3)
• Ushauri na maonyo (1:4 - 11)
• Hitimisho (1:12 - 13)

1
2Yohana
mlivyosikia tangu mwanzo, kwamba mwenende
Salamu katika upendo.
1Mzee, 7Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba

Yesu Kristo amekuja katika mwili, wametokea


Kwa bibi mteule na watoto wake, ulimwenguni. Mtu wa namna hiyo ni
niwapendao katika kweli, wala si mimi tu, bali na mdanganyifu na mpinga Kristo. 8Jiangalieni
wale wote waijuao kweli, 2kwa sababu ya ile msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate
kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kupewa thawabu kamilifu. 9Mtu ye yote
kukaa nasi milele. asiyedumu katika mafundisho ya Kristo, bali
akayaacha, yeye hana Mungu. Ye yote
3Neema, rehema na amani itokayo kwa anayedumu katika mafundisho ana Baba na
Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwanawe Mwana pia. 10Msimpokee mtu ye yote
Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na anayewajia ambaye hawaletei mafundisho
upendo. haya, wala msimkaribishe nyumbani kwenu.
11Ye yote amkaribishaye mtu wa namna hiyo

Kweli Na Upendo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo.


4Imenipa furaha kuu kuona baadhi ya

watoto wako wanaenenda katika kweli, kama Salamu Za Mwisho


vile Baba alivyotuagiza.5Sasa, bibi mpendwa, 12Ingawa ninayo mengi ya kuwaandikia,

nakuomba, si kwamba ninakuandikia amri lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala
mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo. yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana
Sisi na tupendane kila mmoja na mwenzake. kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.
6Hili ndilo pendo, kwamba tuenende sawasawa

na amri Zake. Hii ndiyo amri Yake kama vile 13Watoto wa dada yako mteule
wanakusalimu. Amen.

2
2Yohana

You might also like