You are on page 1of 1

MFUMO WA UNUNUZI WA NJIA YA MTANDAO (TANePS)

Jinsi ya kujisajili kwenye Mfumo wa TANePS ili kuweza kushiriki kwenye


michakato ya zabuni, ambayo sasa inafanyika kwa njia ya mtandao

Mahitaji
1. Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)
2. Anwani ya barua pepe (email address)
3. Ada ya usajili ya mwaka

Hatua za Jinsi ya kujisajili kwenye Mfumo wa TANePS


1. Nenda kwenye Tovuti ya Mfumo yaani www.taneps.go.tz
2. Bofya sehemu iliyoandikwa “Register as a Supplier”
3. Fuata maelekezo ya Mfumo kama ilivyo kwenye kijitabu cha
mwongozo wa Mtumiaji kilichoko kwenye Tovuti ya Mfumo

Kwa maelelezo ya jinsi ya kujisajili kwa njia ya Video,


Bofya hapa chini

<Usajili kwa Video>

*******

You might also like