You are on page 1of 1

Kwa:____________________________________________

Mwenye Reg _______________________

Kutoka Shule ya Sekondari: _____________________________________________________

_____________________________________________________

Ndugu, Mzazi/Mlezi

YAH: MWANAO KUCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA CHUO CHA EPICS KILICHOPO JIJINI ARUSHA
KWA NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA).

Husika na kichwa cha habari hapo juu

Ndugu Mzazi/Mlezi wa _____________________________mwanao amechaguliwa kujiunga na chuo


chetu kinachojulikana kwa jina Epics (Reg No: 505743) kutoka jijini Arusha.

Hivyo anatakiwa achague kozi moja kati ya zifuatazo ili kujiunga na chuo chetu:

1. Marketing and Sales 5. Hotel Management


2. Accounting 6. Tour Operation
3. Business Administration 7. Tour guiding
4. ICT 8. Secretarial
Jina la kozi____________________kwa ngazi ya cheti yaani astashahada (Certificate) na baadae
kumalizia stashahada (Diploma). Fani aliyo chagua mwanao kuisoma itamfaa sana katika maendeleo
yake, na hii ni kutokana na ufaulu wa mwanao katika matokeo ya mwaka 2021 ya baraza la mitihani
tanzania (NECTA).

Ada yetu ni milioni moja na laki moja (1,100,000) kwa mwaka mzima, ambapo mzazi atalazimika kuilipia
nusu yake yaani laki tano na nusu (550,000) kwa mwaka mzima, kwasababu mwanao amefadhiliwa
kuisoma Kozi hii na washirika wetu kutoka UINGEREZA.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu 0689626310 au 0743733457.

Wako katika ujenzi wa taifa.

______________

AGRIPINA SOKKI

COLLEGE PRINCIPAL

You might also like