You are on page 1of 2

AGRIPINA SOKKI

S.L.P 171,
ENDAMARARIEK KARATU
28\03\2022

MKURUGENZI WA JIJI,
WILAYA YA KARATU,
S.L.P
KARATU ARUSHA

YAH: OMBI LA KUSAJILI KITUO CHA KULELEA WATOTO WADOGO.

Tafathali rejea kichwa cha habari hapo juu.Naomba ofisi yako kibali cha kusajiliwa kituo cha watoto
wadogo ndani ya wilaya ya karatu kata ya Endamariek.Kwa sasa katika wilaya ya karatu kata ya
Endamarariek hakuna kituo cha kulelea watoto wadogo ukilinganisha na sehemu zingine.Hivyo
ninaomba msaada wenu\wako kuniwezesha kuanzisha kituo cha kulelea watoto wadogo.

nitafurahi ombi langu likikubaliwa

Wako

AGRIPINA SOKKI

You might also like