wananchi wa Iramba na kupeleka bungeni kwa ajili ya utekelezaji kutoka serikalini.
MALENGO MAKUU YA GROUP HILI NI :-
(i) Ushirikishaji jamii kutambua fursa na vikwazo kwa maendeleo ili kupendekeza njia sahihi ya kutatua kwa kufanya utafiti wa kawaida na utafiti shirikishi; (ii) Ukusanyaji na uchambuzi wa takwimu za uchumi na kijamii na za mchanganuo wa jinsia zitakazotumika wakati wa kutoa maamuzi na upangaji mipango na bajeti, ufuatiliaji na tathmini; (iii) Uhamasishaji wa jamii katika kuandaa au kuhuisha mipango shirikishi na bajeti ya mwaka kwa kuzingatia vipaumbele;(Mbunge atachukua vipawo mbele vya jimbo lake) (v) Ushiriki wa jamii katika kuanzisha, kutekeleza na kusimamia miradi ya jamiii na shughuli za kujitegemea kwa kutumia rasimali zilizopo kwenye jamii . (vi) Uandaaji na usambazaji wa jumbe rahisi zinazoelimisha jamii kuhusu maendeleo na maelekezo ya Serikali Mfano Tanzania ya viwanda, Ugatuaji Madaraka, Elimu Bure, Mabadiliko ya Tabia Nchi n.k.; (vii) Kuandaa ujumbe rahisi wa kuelimisha jamii kuwa na mtizamo chanya kwenye miradi mikubwa ya Kitaifa ya Gesi, Umeme, Maji, Hifadhi ya Mazingira, Reli na Barabara na fursa zilizopo kwao kwenye miradi hiyo ikiwemo ajira na masoko ya bidhaa (ix) Kuratibu shughuli za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF); na Kutoa Taarifa kwa Mkuu wa Idara (Chief Admin)
MALENGO UFAFANUZI UTEKELEZAJI
Ni mfumo shirikishi Ni mfumo wa kuimarisha uliojikita Zaidi uhusiano kuwashirikisha baina ya serikali na jamii Malengo ya wanajamii katika katika Group hatua ya upangaji kuibua, kupanga na mipango na bajeti kutekeleza mipango ya katika jimbo letu la maendeleo ya jamii Iramba Msisitizo katika mchakato wa upangaji Vipaumbele vya Jihada za jamii mipango ya jamii jamii na usaidizi kwa mbunge Hufanyika katika Hufanyika katika mchakato mchakato wa mzima wa upangaji mipango maendeleo ya jamii Uwezeshaji katika ngazi ya (maandalizi ya jamii, kijiji mpaka ngazi za upangaji mipango, utekelezaji jimbo na kujijengea uwezo ).