KU-KU Hali kukubali Kusoma-Kusoma ni ku-zuri -imba/Mariamu/pendeza Kuimba kwa Mariamu ku-na-pendeza Fanya kazi/siku kucha/chosha/mimi Kufanya kazi siku kucha ku-na-(ni)-chosha Hali ya kukanusha Kusoma ni ku-zuri Ku-to-soma si ku-zuri Ku-to-soma ni ku-baya Ninapenda kusoma 2.Kitenzi 3.Kielezi 4.Kivumishi 5.Kiwakilishi 6.Kiunganishi 7.Kihusishi 8.Kihisishi 1.Sentensi za neno moja 2.Sentensizenye nominona kitenzi 3.Sentensi zenye nomino,kitenzi na kivumishi 4.Sentensi zenye nomino kitenzi na kielezi 5.Sentensi zenye nomino,kivumishi,kitenzi na kielezi 6.Sentensi zenye nomino,kitenzi,kivumishi na kiunganishi Mazingira ni nini? Usafi wa Mazingira Msamiati -faa Kutia kitu maanani(zingatia) Usafi wa Mazingira ni jambo ambalo linafaa kutiliwa maanani kwa unachangia pakubwa….. 1 Faida/athari kuni/mbao/bao Hewa safi ya kupumua