You are on page 1of 2

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

TUME YA UTUMISHI SERIKALINI

Tume ya Utumishi Serikalini inawaarifu walioomba kazi


katika Ofisi ya Tume ya Maandili ya Viongozi kwa nafasi
ya Afisa Sheria Daraja la II kwamba usaili wa ana kwa
ana wa nafasi hizo utafanyika siku ya Jumatano ya
tarehe 02 Novemba, 2022 saa 2:00 asubuhi katika Ofisi
ya Tume ya Maadili ya Viongozi iliyopo Vuga Mjini
Unguja.
Wahusika wote wanatakiwa kuchukuwa vitu vifuatavyo:
 Vyeti halisi vya kumalizia masomo
 Cheti cha Kidato cha Nne
 Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi na
 Cheti cha Kuzaliwa.
Orodha ya walioteuliwa kufanya usaili huo ni:-
AFISA SHERIA DARAJA LA II

NAM JINA KAMILI JINSIA ZID


1 ZAINA SALUM ABDALLA FEMALE 620265966
2 IDAROUS RASHID ALI MALE 620285700
3 OMAR HAROUB ALI MALE 60301343
4 SITI HABIB MOH'D FEMALE 580041918
5 RAMADHAN HASSAN SAID MALE 90226760
6 ADILA KHAMIS ALI FEMALE 620392778
7 FATMA HUSSEIN OMAR FEMALE 520172726
8 YUSSUF ALI MUSSA MALE 690046926
9 KHAIRAT MOHAMED OMAR FEMALE 610271878
10 MAIMUNA BAKAR USSI FEMALE 620025290
11 FATMA AHMAD SAID FEMALE 10315219
12 RAYA AMEIR KHAMIS FEMALE 90228306
13 TIME ASAA KHAMIS FEMALE 260140344

You might also like