You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANOWA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA


MASHARIKI

Simu: +255-26-2323201-7 Mji wa Serikali,
Nukushi: +255-26-2323208 Mtumba,
Barua pepe: nje@nje.go.tz S.L.P 2933,
Tovuti: www.foreign.go.tz
40466 DODOMA

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO

Dodoma, 22 Februari 2022


Wizara imepokea fursa za ufadhili wa masomo (scholarship) ya muda mrefu katika kada
mbalimbali kutoka Serikali ya Thailand kwa mwaka wa masomo wa 2022-2023

Fursa za masomo zilizotolewa zinahusisha mafunzo ya Shahada ya Kwanza, Mafunzo


Shahada ya Uzamili (Master’s Program) na Shahada ya Uzamivu (PhD).

Taarifa zaidi kuhusu fursa mbalimbali za mafunzo haya zinapatikana kupitia kiunga
cha mtandao https://bit.ly/3J6UYg3 na tovuti www.admissions.au.edu

Wizara inawahimiza Watanzania wenye sifa kuchangamkia fursa hizi za masomo


zilizotolewa.

Emmanuel Buhohela
Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali

You might also like