You are on page 1of 6

MALERO MAGOMA, P.O.BOX 131, MULEBA.

MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YA MAKAZI.

NO MAELEZO KIASI VIPIMO GHARAMA JUMLA

UJENZI WA MSINGI (Sub -


Structure)
1 mawe gari lenye ujazo wa 12 tripu 50,000.00 600,000.00
2.2m3
2 Mchanga gari lenye ujazo wa 4 tripu 50,000.00 200,000.00
2.2m3
3 kokoto gari lenye ujazo 2.2m3 5 tripu 120,000.00 600,000.00

4 saruji Kwa ajili ya msingi , 55 mifuko 21,000.00 1,155,000.00


column na ground
beam(linta)
5 Nondo za mm12kwa ajili ya 18 idadi 30,000.00 540,000.00
column na ground beam

6 Nondo za mm06 kwa ajili ya 9 idadi 12,000.00 108,000.00


ring za kufungia nondo
7 Mbao za formwork za 1x8 14 idadi 7,500.00 105,000.00
8 Binding wire 0.25 roll 120,000.00 30,000.00
9 Mbao za 2x6 kwa ajili ya 13 idadi 8,000.00 104,000.00
kuseti msingi na formwork

10 Maji kutumika mpaka 7500 litre 25.00 187,500.00


ukamilishaji wa msingi
11 Drum za kuhifadhia maji 2 idadi 50,000.00 100,000.00
12 DPM 1.5 roll 120,000.00 180,000.00
13 Kifusi kwa ajili ya kutafta 11 tripu 40,000.00 440,000.00
level ya sakafu
14 Misumari mchanganyiko kwa 5 kg 3,000.00 15,000.00
ajili ya formwork
JUMLA NDOGO 4,364,500.00

UJENZI WA BOMA
(Superstructure)
15 DPC 105.0 mita 4,600.00 483,000.00
16 Tofari za block za 6" 2,900 idadi 1,800.00 5,220,000.00
17 nondo mm6 kwa ajili ya ringi 8 idadi 12,000.00 96,000.00
za kufunga nondo
18 nondo mm12 kwa ajili ya 14 idadi 30,000.00 420,000.00
column na tie beam
19 Binding wire 0.25 roll 120,000.00 30,000.00
20 Misumari mchanganyiko kwa 5 kg 3,000.00 15,000.00
ajili ya formwork
21 Mbao za 2x4 za scalfolding 17 idadi 4,500.00 76,500.00
22 Mbao za 1x8 za scalfolding 20 idadi 7,500.00 150,000.00

23 Mchanga gari lenye ujazo wa 6 tripu 50,000.00 300,000.00


2.2m3 kwa ajili ya kujengea
kuta na zege la linta na
kuweka sakafu
24 kokoto gari lenye ujazo 2.2m3 3 tripu 120,000.00 360,000.00
kwa ajili ya zege la linta

25 saruji kwa ajili ya kujengea 40 mifuko 21,000.00 840,000.00


kuta na zege la linta

JUMLA NDOGO 7,990,500.00

UEZEKAJI WA PAA
26 mabati ya G.28 pamoja na 90 idadi 28,000.00 2,520,000.00
kofia
27 mbao za 2"x6"x12ft za 60 idadi 8,000.00 480,000.00
tiebeam na Rafter
28 mbao za 2"x4 "x12ft za struts 40 idadi 4,500.00 180,000.00
na wall plate
29 mbao za 2"x3"x12ft za 70 idadi 4,000.00 280,000.00
purlins
30 mbao za 1"x8"x12ft za fiscia 15 idadi 9,000.00 135,000.00
board
31 misumari mchanganyiko 12 kg 4,000.00 48,000.00
32 misumari ya bati 17 kg 4,000.00 68,000.00
33 Dawa ya kuhifanyi mbao 3 litr 30,000.00 90,000.00
litr20
34 kenchi wire 2 kg 3,500.00 7,000.00
JUMLA NDOGO 3,808,000.00

UMALIZIAJI (FINISHING)
35 Mlango wa mbao ngumu wa 1.0 idadi 2,700,000.00 2,700,000.00
1200 x 2500mm ikiwemo na
fremu, bawaba na komeo
lake
36 Grill ya mlango wa 1200x 1 idadi 220,000.00 220,000.00
2500mm
37 Milango ya mbao ngumu ya 5 idadi 230,000.00 1,150,000.00
900x2500mm ikiwemo na
fremu, bawaba na komeo
zake
38 Milango ya mbao ngumu ya 5 idadi 200,000.00 1,000,000.00
800x2500mm ikiwemo na
fremu, bawaba na komeo
zake
39 Madrisha ya aluminium 4 idadi 230,000.00 920,000.00
ukubwa wa 1500x2000mm
40 Madrisha ya aluminium 3 idadi 2,100,000.00 6,300,000.00
ukubwa wa 1500x1500mm

41 Madrisha ya aluminium 5 idadi 100,000.00 500,000.00


ukubwa wa 800x600
42 Grill za madrisha ya 1500x 4 idadi 150,000.00 600,000.00
2000mm
43 Grill za madrisha ya 1500x 3 idadi 120,000.00 360,000.00
1500mm
44 Grill za madrisha ya 800x 5 idadi 90,000.00 450,000.00
600mm
45 Saruji kwa ajili ya kupiga 40 idadi 21,000.00 840,000.00
plasta
46 Mchanga ujazo wa gari lenye 3 trip 50,000.00 150,000.00
2.2m3 kwa ajili ya kupiga
plasta
47 Rangi aina zote (ndoo ya litr 12 idadi 150,000.00 1,800,000.00
20)
48 Roller brush 3 idadi 5,000.00 15,000.00
49 Brush 4'' 4 idadi 4,000.00 16,000.00
50 Msasa 4 M 1,500.00 6,000.00
51 Chokaa mfuko wa 15kg 12 mfuko 16,000.00 192,000.00
52 Gypsum powder mfuko wa 9 mfuko 14,500.00 130,500.00
25kg
53 Gypsum board 35 idadi 19,000.00 665,000.00
54 Screw za gypsum 1.25'' 13 box 9,000.00 117,000.00
55 Mikanda ya gypsum 24 Idadi 8,000.00 192,000.00
56 Rangi ya prima litr 20 4 ndoo 83,000.00 332,000.00
57 Vigae vya chooni (sakafuni 5 box 21,000.00 105,000.00
na ukutani)
JUMLA NDOGO 18,760,500.00

58 Uwekaji wa mifumo ya maji 1 L/SUM 3,200,000.00 3,200,000.00


safi na taka kikamilifu
59 Uwekaji wa mifumo ya 1 L/SUM 2,000,000.00 2,000,000.00
umeme kikamilifu
JUMLA YA GHARAMA YA
VIFAA 40,123,500.00

GHARAMA YA UFUNDI 25% 10,030,875.00

JUMLA KUU 50,154,375.00


*

You might also like