You are on page 1of 1

Ubungo Plaza

2nd Floor,Office No.215


P.O. Box 11488
Dar es Salaam
Tanzania
Tel: + (255) 779 303030
Email:info@cadsecurities.com

Dear Shareholder of Tanzania Portland Cement Plc (Twiga Cement),

RE: TAXPAYER IDENTIFICATION NUMBER (TIN)

We kindly request you to provide your TIN (TAXPAYER IDENTIFICATION NUMBER) for Twiga Cement to use it when
paying the withholding Tax deducted during payment of your dividends.

Kindly remember to write below details;


Cds No:
Names on share certificate:
TIN:
Names written on TIN certificate:
Your bank account no:
Bank Name:
Names written on your bank acc
Telephone no:
Telephone network provider:
Your email address:
Choose dividend Method: Mobile Pay or Bank direct deposit?

After completing above details you can send this letter back through our email address: info@cadsecurities.com

YAH: NAMBA YA MLIPA KODI- TAXPAYER IDENTIFICATION NUMBER (TIN)


Tunaomba utume namba yako ya mlipa kodi -TAXPAYER IDENTIFICATION NUMBER (TIN), ili Twiga Cement waweze
kutumia wakati wanafanya malipo ya Withholding Tax (kodi) inayokatwa kwenye malipo ya gawio lako.

Tunaomba pia ujaze taarifa kwenye jeduwali;


Cds No:
Majina ya kwenye cheti cha hisa:
Namba ya mlipa kodi (TIN):
Majina yaliyoandikwa kwenye TIN
Akaunti namba yako ya benki:
Jina la benki unayoitumia:
Majina yaliyoandikwa benki:
Namba yako ya simu:
Mtandao wa simu uliyoandika:
Barua pepe:
Chagua njia ya kulipwa gawio: Kulipwa kwa Simu au Kulipwa kwenye akaunti?

Ukimaliza kujaza unaweza kurudisha barua hii kupitia barua pepe (Email)- info@cadsecurities.com

Wako,
CAD Securities Limited

Judith M. Sigonda
Mkurugenzi Mtendaji

Registered in Tanzania Number 46377

You might also like