You are on page 1of 4

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA

TAMKO LA MAPATO KUTOKANA NA KUPATA RIBA KATIKA

ARDHI AU MAJENGO

SEHEMU A: TAARIFA ZA MUUZAJI

Jina la Muuzaji:

TIN:

Anwani ya Posta:

P. O. Box: Mji:

Anwani ya Mahali:

Namba ya Kiwanja: Namba ya Kitalu:

Mtaa/Mahali:

Kazi:
1. Kama unafanya biashara, eleza aina ya biashara.

2. Kama umeajiriwa, eleza jina kamili na anwani ya posta ya Mwajiri.

3. Nyinginezo

ITX204.01.E Declaration of Gain from Realisation of an Interest in Land or Buildings

Page 1 of 4
SEHEMU B: TAARIFA ZA MNUNUZI

Jina la Mnunuzi:

TIN:

Anwani ya Posta:

P. O. Box: Mji:

Anwani ya Mahali:

Namba ya Kiwanja: Namba ya Kitalu:

Mtaa/Mahali:

Kazi:
1. Kama unafanya biashara, eleza aina ya biashara.

2. Kama umeajiriwa, taja jina kamili na anwani ya posta ya Mwajili.

3. Nyinginezo

SEHEMU C: TAARIFA ZA NYUMBA

ITX204.01.E Declaration of Gain from Realisation of an Interest in Land or Buildings

Page 2 of 4
1. Nyumba ipo Kiwanja Na: Mahali:

2. Kitalu Na: Hati Na:

3. (a) Gharama za Ujenzi/Ununuzi: TZS

Tarehe ya Kununua: Siku Mwezi Mwaka

(b) Tarehe ya Kuanza Ujenzi: Siku Mwezi Mwaka

Tarehe ya Mwisho wa Ujenzi: Siku Mwezi Mwaka

(c) Tarehe ya Kuanza kutumia: Siku Mwezi Mwaka

(d) Matumizi ya jengo kabla ya kuuza:

SEHEMU D: TAARIFA ZA MAUZO

Mauzo: (Ambatisha nakala ya Mkataba wa Mauzo na Ripoti ya Uthaminishaji)

SEHEMU E: TAMKO

Mimi/Sisi ………………………………………………………………………………………………
nina/tunatamka kuwa taarifa zilizotolewa ni za kweli na sahihi kwa uelewa wangu/wetu.

Tarehe: …………………………………………………….. Saini: …………………………………..

KWA MATUMIZI YA OFISI TU

1. BEI ILIYOREKEBISHWA/ILIYOKUBALIKA: TZS

2. GHARAMA ZILIZOREKEBISHWA/ZILIZOKUBALIWA: TZS

3. ONGEZEKO HALISI: TZS

4. IMEFANYIWA KAZI NA:

ITX204.01.E Declaration of Gain from Realisation of an Interest in Land or Buildings

Page 3 of 4
Jina la Kwanza Jina la Kati Jina la Ukoo
Cheo:

Siku Mwezi Mwaka

Saini ……………………………………… Tarehe:

5. IMEIDHINISHWA NA:

Jina la Kwanza Jina la Kati Jina la Ukoo

Cheo:

MAELEZO: ……………………………………………………………………………….
………………………………………………………………………………………………
Siku Mwezi Mwaka
Saini ……………………………………… Tarehe:

ITX204.01.E Declaration of Gain from Realisation of an Interest in Land or Buildings

Page 4 of 4

You might also like