You are on page 1of 1

MWAKA MPYA.

14. MUNGU WANGU, MWAKA MPYA.Harmonized by:


   
Maestoso F.B.Mallya.

                   
       
 
      
Mu - ngu wa - ngu mwa ka mpya wa'ngi - a Na - fa - ha - mu ndi - we bbi ha - ki - ka

          
       
            
   
   
9


         
        

       
Nku - u - nga - me Mku - u wa du - ni - a, U - lo - ku -

     
          
     

 
14
     
      

 
wa a - wa - li ya mi - a - - - ka.

       



      
 

2. Mwaka huu kama ni kipaji,


Nipatacho kwa wema wako vile,
Je! ntumie pasipo uchaji?
Nsifahamu uzima wa milele?

3. Najuaje mwaka uanzao


Kama mimi nitawona kukoma?
Hata kesho sina haki nayo;
Wa wazimu kuota mwaka mzima.

4. Woga mkubwa ni kuniingia


Nikiwaza makosa nliotenda,
Siku zangu zilizopotea,
Na malipo nacha kuwa ziada.

5. Mungu mwema ukuniongezea


Nimetaka kuwa mtu wa shukrani
Kila saa kukumbukilia,
Tuzo langu nipate uwingu.

©fortunatusbonnymallya.

You might also like