You are on page 1of 6

ARKIDIOSEZIA YA BUKAVU

MAISON DU SALUT

NA

COMMUNAUTE DE L’EMMANUEL

SALA YA YERIKO

yeriko ambayo inafungua

kutoka kwa minyororo na vifungo vyetu

MAI 2023
2

2
3

Siku ya Kwanza 9. Mwezi nazo nyota, wanyonge wasikie na


zitawale usiku, kwani kufurahi.
Zaburi 135 : litania wema wake niwa
ya shukurani milele. 4. Mtukuzeni Bwana
pamoja nami, tulikuze
1. Aleluya ! Maandishi ya jina lake wote pamoja.
Mshukuruni Bwana, kutafakari: Kulia
kwa ushindi Kwa 5. Nilimkimbilia
kwani ndiye mwema, Bwana, akanisikiliza,
kwani wema wake ajili ya uwezo na
utunzaji wa Mungu akaniopowa katika
ndio wa milele. hofu zangu zote.
(Kut 15, 18)
2. Mshukuruni 6. Mtazameni yeye
Mungu, Mungu wa Kimya kwa muda ili
kuweka ndani. Neno mkafurahiwe, wala
miungu, kwani wema nyuso zenu
wake ndio wa milele. la kurudiliya wakati
wa mchana: zisihuzunike.
3. Mshukuru Bwana, 7. Mnyonge huyu
Bwana wa ma bwana, ˶Mshukuruni
Bwana, kwani ndiye alilia, naye Bwana
kwani wema wake akamsikiliza,
ndio wa milele. mwema, kwani
wema wake ndio wa akamwokoa katika
4. Alifanya peke yake milele. ˵ shida zake zote.
mambo ya ajabu, 8. Malaika wa Bwana
kwani wema wake amepanga jeshi kando
ndio wa milele. Siku ya pili zote za wenye
5. Alizifanya mbingu kumheshimu,
Zaburi 33: Bwana akawaopoa.
kwa heshima, kwani awakomboa
wema wake niwa watumishi wake 9. Oneni, mwonje
milele. jinsi Bwana alivyo
1. Ya Daudi mwema. Heri mtu
6. Aliweka nchi juu ya alipojisingizia kuwa
maji, kwani wema yule anayemkimbilia!
na wazimu mbele ya
wake niwa milele. Abimeleki, 10. Mheshimu Bwana,
7. Alifanya mianga akafukuzwa naye, enyi watakatifu wake,
mikubwa, kwani akatoka. kwa maana wenye
wema wake niwa kumheshimu
2. Nitamtukuza hawakosi kitu.
milele. Bwana kila wakati,
8. Alifanya jua sifa yake kinywani
litawale mchana, mwangu siku zote.
kwani wema wake ni 3. Roho yangu ijisifu
wa milele. katika Bwana;
3
4

11. Watajiri 3. Bwana ametutendea Umsifu Bwana, ee


wamegeuka maskini, makubwa, tumeona roho yangu, na yote
wakaona njaa, bali furaha. yaliyo ndani yangu
wanaomtafuta Bwana yasifu jina lake
hawakosi kitu chema. 4. Ee Bwana, takatifu!
uwarudishe wafungwa
Maandishi ya zetu, kama mito 2. Umsifu Bwana, ee
kutafakari: maombi jangwani mwa kusini. roho yangu, wala
kwa ajili ya usisahau mema yake
ukombozi na 5. Waliopanda mbegu yote!
urejesho wa watu wa wakilia machozi
Mungu (si 36, 1-17) watavuna kwa 3. Yeye anasamehe
Kukaa kimya kwa shangwe. zambi zako zote,
muda ili kuliweka anaponya magonjwa
6. Kwenda yako yote.
ndani Neno la wanakwenda wakilia
kurudia wakati wa machozi, wakichukua 4. Yeye anakomboa
mchana: ˵Nilisema mbegu za kupandwa. uzima wako katika
na Bwana naye Kurudi wanarudi kwa kaburi, anakuzunguka
akanijibu, akaniokoa shangwe wakichukua kwa wema na rehema.
na hofu zangu zote. miganda yao.
5. Yeye anashibisha
Nyimbo: Neema za Maandishi ya mema maisha yako ;
kufunguliwa. kutafakari: kurudi ujana wako
SIKU YA TATU kwa ushindi kwa unarudishwa upya
wahamishwa (jr kama wa tai.
Zaburi 135 : kurudi 31,7-14)
kwao 6. Bwana anatenda
waliohamishwa Kimya kwa muda ili mambo ya haki,
kuweka Neno ndani anawahukumu sawa
1. Wimbo wa ili lijirudie wakati wote
maandamano. wa mchana: ˶Bwana, wanaosumbuliwa.
badilisha hatima
Bwana yetu tena, 7. Alimjulisha Musa
alipowarudisha unapofufua vijito njia zake, wana wa
wafungwa wa Siyoni vilivyokauka˵ Israeli matendo yake
tulikuwa kama waota makuu.
ndoto. SIKU YA INE
8. Bwana ni mwenye
2. Hapo kinywa chetu Zaburi 102 : Mungu huruma na mpole,
kilijaa kicheko na ni mwema na mvumilivu, mwenye
ulimi wetu shangilio. mwenye haki wema mwingi.
Hapo walisema kati
ya mataifa: Bwana 1. Ya Daudi. 9. Haendelei daima
amewatendea kukukaripia, wala
makubwa! kukukasirika milele.

4
5

10. Hatutendi kadiri Nitakutukuza, ee hasira ya adui zangu,


ya zambi zetu, wala Bwana, kwa moyo mkono wako wa
hatupatilizi kadiri ya wangu wote, kwani kuume
makosa yetu. umesikia maneno ya unanisalimisha.
kinywa changu.
11. Kama vile mbingu Mbele ya malaika 8. Bwana atatimiza
ziinuka juu ya nchi, nitakuimbia, kwangu aliyonitendea.
hivyo wema wake Ee Bwana, wema
unazidi kwa wenye 2. nitaliangukia wako ndio wa milele,
kumheshimu. hekalu lako takatifu. usiache kazi ya
Nitatukuza jina lako mikono yako.
12. Kama mashariki kwa ajili ya wema na
ilivyo mbali na uaminifu wako. Kwa Maandishi ya
mangaribi, hivyo na maana umekuza kutafakari: Wimbo
zambi zetu ameziweka kuliko yote jina lako wa kinabii wa
mbali nasi. na ahadi yako. Zekaria (Lk 1, 67-79)
13. Kama vile baba 3. Siku nilipokuomba Kimya kwa
anavyowahurumia ulinisikiliza, uliongeza muda ili kuyaweka
watoto wake, hivyo nguvu rohoni ndani Maneno ya
Bwana anawahurumia mwangu. kurudia wakati wa
watu wema. mchana: “Bwana ni
4. Wafalme wote wa Mkuu, astahili
Andiko la dunia watakutukuza, kusifiwa sana, ukuu
Kutafakari: Mungu, ee Bwana, wake hauna kikomo.
kama mchungaji, watakaposikia »
huwakusanya na maneno ya kinywa
kuwaokoa watu chako ; SIKU YA
wake (Ez 34, 11-17) SITA
5. wataziimbia njia za
Nyamaza kwa muda Bwana : ˶Kweli, Zaburi 144 :
ili kulitia ndani Neno utukufu wa Bwana ni Ukubwa na Wema
la kurudia wakati wa mkubwa!˶ wa Mungu
mchana: ˵Wema
wake kwa waaminifu 6. Bwana yuko juu, 1. Wimbo wa kusifu.
wake unapanda juu lakini anamwangalia Wa Daudi
kama anga juu ya mnyonge, Nitakutukuza, Ee
dunia. anamtambua mwenye Mungu wangu
kiburi toka mbali. Mfalme, nitasifu jina
SIKU YA TANO
7. Ninapokwenda kati lako daima na milele.
Zaburi 137 : ya taabu, Wewe
Shukrani kwa ajili 2. Kila siku nataka
unaimarisha uzima kukusifu, na kutukuza
ya msaada wangu ; unanyosha jina lako daima na
1. Ya Daudi mkono wako kuizuia milele

5
6

3. Bwana ni mkubwa, mchana: ˵ Bwana ni yote, imbeni wimbo


wa kusifiwa sana, mkuu, anastahili wa shangwe.
wala ukubwa wake kusifiwa sana; ukuu
hauvumbulikani. wake hauna kikomo. 9. Mungu atawala juu
˵ ya mataifa, Mungu
4. Kizazi kwa kizazi amekaa katika kiti
kinatukuza matendo SIKU YA SABA chake kitakatifu.
yako, na kutangaza
maajabu ya uwezo Zaburi 46 : Mungu 10. Wakuu wa mataifa
wako. ni Mfalme wa wote wamekusanyika
pamoja na kabila la
5 Nitaeleza sifa ya 1. Kwa Bwana Mungu wa Abrahamu.
utukufu wako, na mwimbishi. Ya wana
Maana wakuu wa
habari za matendo wa kore. Zaburi.
dunia ni wake
yako makuu. 2. Enyi mataifa yote, Mungu : Yeye ni
pigeni mikono, mtukufu sana.
6. Watataja matendo
yako ya ezi ya mshangilieni Mungu, Maandishi ya kutafakari:
kutisha, nami kwa kelele la furaha. ushindi wa Mwana-
Kondoo aliyechinjwa (Ufu
nitahubiri makuu 3. Kwani Bwana 5:6-14)
yako. Aliye juu ni wa
kutisha, ni mfalme Kimya kwa muda ili
7. Watakumbusha kuweka ndani
wema wako mkuu, mkuu wa dunia yote.
watashangilia haki 4. Amezeka makabila Neno la kurudia
yako. chini yetu, na mataifa wakati wa mchana: ˵
chini ya miguu yetu. Bwana,
WitoMungu
wa Kila Aliye
Siku
8. Bwana ni mwenye Juu Zaidi, ni wa
huruma na mpole ; 5. Ametuchagulia nchi kutisha,
Mungu, nisaidie; Bwana njoo, ta
mvumilivu na hii usiri wetu, sifa ya
mwenye wema maana
Yeye ndiyeufalme
Mfalmeni wako, na nguv
Yakobo, mpendwa
mwingi. wake. Mkuu wa dunia
na milele. yote
Amina

9. Bwana ni mwema 6. Mungu amepanda Maombi ya mwisho.


kwa wote, na huruma kwa mashangilio,
yake juu ya matendo Bwana kwa mlio wa Mungu, wewe usiyefunga moyo
yake yote. tarumbeta. waja wako katika shida, tunakus
Maandishi ya wote, unaodhihirisha uwezo wa
7. Mwimbieni Mungu,
kutafakari: Wimbo mwimbieni! mbali zaidi kukuomba utuondol
wa kinabii wa Mwimbieni Mfalme maisha yetu, kwa hivyo hii ndio
Zekaria (Lk 1, 67-79) wetu, mwimbieni!
(Taja tatizo lako hapa); utuhuru
Kimya kwa muda ili 8. Maana Mungu ni
kuweka ndani. Neno kwa furaha bila kukoma!
Mfalme wa dunia
la kurudia wakati wa
Ubarikiwe, usifiwe na utukuzwe
6 Katika Jina la Yesu Kristo, Mwan
wetu, anayeishi na kutawala pa
na Roho Mtakatifu, Mungu aliye

You might also like