You are on page 1of 1

Kazi Mradi.

Maagizo

● Katika makundi mliyowekwa, tekelezeni kazi mradi ifuatayo.


● Hakikisheni mmetaja virejelewa mwishoni mwa kila shughuli. Virejelewa hivi vinaweza kuwa
viunga vya tovuti fulani, video (aghalabu za YouTube), majarida, magazeti na au vitabu vya
kiada.

1. Shughuli ya kwanza.

● Fanyeni utafiti wa maendeleo ya lugha ya Kiswahili na muyawasilishe kwa ubunifu. (Alama 10)

2. Shughuli ya pili.
● Fanyeni utafiti wa changamoto zinazokabili lugha ya Kiswahili na mziwasilishe kwa ubunifu. Pia,
taja jinsi ya kukabili kila changamoto. (Alama 10)

You might also like