Tunapenda kuwataarifu kwamba, Katibu Mkuu Utumishi amewahamisha
Wafanyakazi wafuatao kutoka NSSF kwenda ofisi nyingine za Serikali kama ifuatavyo:
Na. Jina Nafasi aliyokuwa nayo NSSF Ofisi aliyohamia
1 Grace James Busilili Senior Benefit Officer I Makumbusho ya Taifa Tanzania 2 Amina Ramadhani Kaumo Senior Compliance Officer II Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) 3 Winfrida Wilson Zagwi Principal Benefit Officer I Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) 4 Lugano Sophen Senior Security Officer II Wakala wa Usajili wa Mwampeta Biashara na Leseni (BRELA) 5 Ally Athumani Mtambua Principal Benefit Officer I Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) 6 Victoria Thedot Kasapila Principal Records Assistant Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Kutokana na uhamisho huo, Watumishi hao hawatakiwi kuhusika na majukumu ya
Mfuko tangu walipopewa barua hizo za uhamisho mwezi Novemba, 2022.
Imetolewa na: Kurugenzi ya Rasilimaliwatu na Utawala