You are on page 1of 3

MKATABA WA MAKUBALIANO YA KUENDESHA BAJAJI.

MAKUBALIANO HAYA YANAFANYIKA LEO TAREHE………………….

Kati ya

Ndugu ______________________________________ambaye anatambulika kama


dereva ,Pamoja na ndugu ______________________________ambaye ni
msimamizi/mtunzaji wa Bajaji ikiwa chini ya umiliki wa ndugu
_________________________________ yenye taarifa zifuatazo:

Make: ______________

Model: ______________

Year: ________________

Body Type: ____________

Color: _______________

Bajaj Identification Number: ____________

MAKUBALIANO YA MKATABA:

A. Mimi ____________________________________nimekubali kukabidhiwa bajaji yenye


maelezo tajwa hapo juu nikiwa kama Dereva kwaajili ya kufanya biashara ya kusafirisha
watu kwenye eneo la Kigamboni Jijini Dar es salaam.
B. Mimi dereva wa bajaji hii nakubali kukabidhi malipo ya kiasi cha sh 15,000 kila siku kwa
ndugu_______________________________kama ada ya kukodishwa chombo hiki.
C. Bajaji hii itafanya mizunguko yake maeneo ya kigamboni Dar es salaam.
D. Bajaji hii itaanza kazi saa 11 asubuhi hadi saa nne usiku na sio zaidi ya hapo.
E. Baada ya kazi bajaji itakua inaegeshwa kwaajili ya mapumziko kwenye eneo
la_______________________________________
F. Bajaji itafanyiwa service ya kumwaga oil na kucheki mipira kila baada ya juma moja na
Service kubwa itafanyika kila baada ya juma tatu.
G. Gharama za kufanya service zitakua za dereva wa bajaji hii kwa kushirikiana na
msimamizi wa bajaji.
H. Dereva wa bajaji hii atahakikisha chombo kinalazwa mahala ambapo msimamizi
amependekeza na kushindwa kufanya hivyo kutapelekea usitishaji wa mkataba huu.
I. Dereva atahakikisha bajaji inakua katika hali nzuri wakati wa kuikabidhi kwa
msimamizialiyemkabidhi.
J. Mkataba huu unaweza kuvunjwa na mmiliki wa Bajaji hii kama hatoridhika na utunzaji
wa chombo chake.
K. Mmiliki wa bajaji hii atakua na haki zote za kisheria kufuatilia bajaji yake na hata
kuamua mapendekezo mengine.

HITIMISHO
Mimi _____________________________________________Nimekubali kukabidhiwa na kuwa
Dereva wa Bajaji hii kuanzia leo tarehe ……/……./…….. katika eneo la Kisota Kigamboni na
nimekubali kufuata makubaliano na masharti yote ya mkataba huu hapo juu.

Kwa pamoja Dereva na Msimamizi wa Bajaji tajwa wanatambua na


kukubaliana juu ya kilichoandikwa hapo juu.

Jina La Msimamizi; _________________________________

Sahihi: ______________________
Tarehe: _____________

Jina la Shahidi wa Msimamizi:______________________

Sahihi: ______________________

Tarehe: _________________________

Jina la Dereva: _______________________________

Nida Namba: ______________________________________

Sahihi: ________________________________

Tarhe: _________________________________
Jina la Shahidi wa Dereva: ______________________________

Sahihi: _______________________________

Tarehe: ________________________________

Kumbuka: Dereva atamkabidhi Msimamizi nakala ya kitambulisho chake cha Taifa, pamoja na
picha mbili za passport size kwaajili ya kumbukumbu ya Makabidhiano.

You might also like