1. UTANGULIZI 3.
UCHAGUZI WA ENEO
Mwani ni aina ya mimea inayoota na kukua
kwenye maji chumvi (bahari) na maji baridi 1. Chagua eneo ambalo halina mawimbi
JAMHURI YA MUUNGANO WA (mito, maziwa na mabwawa). Tofauti iliyopo makubwa ili yasiharibu mazao.
TANZANIA kati ya mwani na mimea mingine inayokua 2. Epuka maeneo yaliyo karibu na
kwenye nchi kavu ni kwamba mwani mwingiliano wa mto;
hautegemei mizizi kufyonza maji na 3. Kiasi cha chumvi kwenye maji kinatakiwa
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI virutubisho vingine bali hutumia sehemu kiwe kati ya gramu 27 hadi 35 za chumvi
zote za mmea kuvyonza virutubisho zilizoyeyushwa katika kilo moja ya maji;
vinavohitajika kutoka kwenye maji. Aina ya 4. Kiasi cha joto la maji liwe kati ya
IDARA YA UKUZAJI VIUMBE MAJI jamii ya mwani inayolimwa nchini Tanzania sentigredi 25°C and 30°C;
kitaalam hujulikana kama “Eucheuma 5. Kina cha maji kinatakiwa kisiwe chini ya
denticulatum” na pia huitwa Eucheuma futi 2 wakati wa kupwa kwa maji na zaidi ya
spinosum. Aina nyingine ni “Kappaphycus futi 7 wakati wa kujaa;
KILIMO CHA MWANI alvarezii” kwa jina jingine Eucheuma 6. Ardhi iwe imara ili kuruhusu usimikwaji
cottonii. wa vigingi;
7. Ardhi inatakiwa iwe na mchanganyiko wa
2. NJIA MBALIMBALI ZA KILIMO CHA mchanga na mawe;
MWANI 8. Chunguza uwepo wa viumbe wengine wa
2.1 Kutumia vigingi bahari ambao wana uhusiano wa karibu na
Njia hii hutumika kwa kusimika vigingi chini mwani, mfano samaki aina ya tasi. Hii ni
na kufunga kamba kati ya vigingi ambapo dalili nzuri kuwa eneo linafaa kwa ajili ya
mbegu za mwani hufungwa kwa kutumia kilimo cha mwani; na
taitai. 10. Zingatia pia upatikanaji wa nguvu kazi,
vifaa shamba, miundombinu ya usafiri na
2.2. Kutumia chelezo ‘raft’ mawasiliano.
Njia hii hufanyika kwa kufunga mwani katika
mianzi iliyounganishwa na kutiwa nanga. 4. UCHAGUZI NA MAANDALIZI YA
Njia hii hufanya mwani kuelea juu kabisa MBEGU
karibu na uso wa maji.
1. Tumia kisu kisafi na chenye makali ili
kupata mbegu bora;
2. Ncha ya tawi la mbegu inatakiwa kuwa
iliyonyooka;
3. Usitumie mbegu ambayo matawi yake
yamekatika kwa juu;
kilimo cha Mwani kwa kutumia chelezo
1
4. Kabla ya kupanda, safisha mbegu na iv. Kusanya mwani wote uliovunwa ix. Peleka katika soko.
maji bahari kuondoa uchafu na vimelea kwenye chombo (mtumbwi, boti,
vingine. jahazi); 4 MATUMIZI YA MWANI
5. Nafasi kati ya mbegu moja na nyingine v. Peleka mwani katika eneo la kukaushia Mwani unaposindikwa, hutoa ute/gundi
iwe sentimita (20–25 cm). pindi chombo kinapojaa; na utumikao kwenye viwanda mfano;
vi. Hakikisha unapima uzito wa mwani i. Gundi aina ya kappa carrageenaan
5. UTUNZAJI WA SHAMBA uliovunwa kabla ya kuutandaza kwa ajili hutokana na mwani mwekundu na
1. Tembelea shamba angalau kila baada ya kukausha. hutumika kwenye usindikaji wa vyakula,
ya wiki mbili; rangi za kupaka, dawa za meno, sabuni
2. Ondoa mimea yote iliyokauka na kufa na 7. UKAUSHAJI WA MWANI na shampoo;
weka mipya iliyo michanga na yenye afya; i. Tandaza vizuri mwani kwenye eneo la ii. Ute wa agar utokanao na mwani aina
3. Ondoa uchafu ulioganda kwenye mwani ukaushaji; ya gracillaria hutumika kutengenezea
kwa kutingisha matawi au kamba; ii. Usianike mwani chini kwenye ardhi, vikuzio vya vimelea (culture media)
4. Funga kamba zilizofunguka; tumia majani ya minazi, nylon, kama bakteria na kuvu; na
5. Badili vigingi na mambo zilizoharibika; mwamba ili kuzuia uharibifu na iii. Mwani wa kijani hutumika kama
6. Rudishia nanga zilizopotea; uchafu; chakula cha binadamu, wanyama na
7. Usiruhusu mimea kukua zaidi ya iii. Geuza Mwani mara kwa mara na kutengeneza mbolea.
kilogramu 5 maana zitaharibiwa kwa urahisi ondoa uchafu wote uliojitokeza. Kwa
na mawimbi au mvua; kawaida mwani hukauka kwa muda Kwa maelezo i kuhusu kilimo cha mwani,
8. Tunza kumbukumbu za mavuno na wa siku mbili kipindi cha jua; wasiliana na:
gharama za uendeshaji; na iv. Hakikisha hakuna maji yanagusa
9. Iwapo shamba lina ukubwa wa hekta mwani wakati wa kukausha (funika KATIBU MKUU (UVUVI),
moja na zaidi ni vema kuweka nyavu zenye mwani wakati wa mvua); WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI,
ukubwa wa nchi 4 mwisho wa shamba ili v. Tenganisha Mwani wakati wa S.L.P 2847,
kuzuia mimea isichukuliwe na mawimbi. kukausha kulingana na siku 40487 DODOMA
ulipovunwa; SIMU: +255 26 2322612
6. UVUNAJI vi. Mwani uliokauka unakuwa na asilimia NUKUSHI: +255 (0)2861908
Mwani huvunwa unapofikia uzito wa kati ya 30-35 za unyevu na asilimia isiyozidi 5 E-mail: Ps@[Link]
gramu 750 hadi 850. za mchanganyiko wa vitu vingine. Pia
i. Pita kwa kila shina ukivuna kwa kukata unakuwa mlaini na unanata Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana nasi kupitia:
mazao yaliyo tayari kwa kutumia kisu unapoguswa;
kikali. Acha kiasi cha gramu 200 za vii. Ondoa chumvi iliyoganda kwa kutikisa Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji,
mmea kwa ajili ya kuchipua tena; mwani; na Wizara ya Mifugo na Uvuvi,
ii. Kama unataka kuvuna mwani wote kata viii. Pakia mwani msafi uliokauka kwenye S.L.P 2847,
shina lote kwa ujumla; magunia au mifuko mikubwa na 40487 Dodoma
iii. Unaweza kutumia wavu aina ya scoop- hifadhi juu ya chanja usiweke mfuko Simu: +255 (0)769220212
net kuchota mmea wote; moja kwa moja kwenye sakafu kuzuia Nukushi: +255 (0)2861908
unyevu. E-mail: daq@[Link]