You are on page 1of 3

MRADI WA KUPIMA VIWANJA 20,000 JIJINI DAR ES SALAAM

UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA VI- Ix. Malipo kamili ya kiwanja yaki- Faida:


WANJA KATIKA MAENEO YA MRADI shafanywa, mwananchi hupewa ba- • Kuokoa muda na gharama iwapo
MWANANCHI ANAVYOWEZA KUPATA rua ya toleo la kiwanja husika siku hi- michoro ya mwisho itaonekana
KIWANJA KATIKA MAENEO YA MRADI yohiyo ambayo malipo yamekamil- kuwa na dosari za kitaalam ambazo
WA KUPIMA VIWANJA 20,000 JIJINI DAR shwa. zitahitaji kufanyiwa marekebisho.
ES SALAAM. X. Baada ya mwananchi kupewa • Kuwa na uhakika kuhusu mahitaji
i. Upimaji wa viwanja unapokamilika, Barua ya Toleo hutakiwa kurudi muhimu ya kuzingatiwa wakati mi-
utaratibu wa kuvigawa hutan- Wizara ya Ardhi baada ya wiki mbili choro inaandaliwa.
gazwa kwenye vyombo vya habari. kuchukua hati ya kiwanja chake ili
ii. Tangazo litataja idadi ya viwanja, akasaini mbele ya Mwanasheria na JINSI YA KUWASILISHA MAOMBI YA
matumizi na gharama zake. kuirudisha tena wizarani kwa ajili ya KIBALI CHA UJENZI:
iii. Mwananchi anayehitaji kiwanja kusainiwa na Kamishna wa Ardhi na Baada ya m ichoro kukamilika,
hujaza fomu ya maombi (Land kusajiliwa. iwasilishwe ikiwa kwenye majalada kwa
form No.19) na kuirudisha kwa Afisa Xi. Baada ya miezi miwili Hati ita- namna ambayo inaweza kufunguliwa
Ardhi wa Manispaa husika kwa mu- kuwa imesajiliwa; Hivyo mwananchi na kusomeka. Michoro hiyo iwasilishwe
jibu wa tangazo na ratiba ili- atatakiwa kufika Wizara ya Ardhi ku- ifuatavyo:-
yotolewa. chukua hati yake. • Seti nne za michoro ya jengo
iv. Ugawaji wa viwanja hufanywa na (Architectural drawings scale 1:100 &
Kamati ya Kugawa Ardhi ya Manis- VI WAN JA VI LI VYOPI M WA HU- 1:50).
paa husika. JENGWA KWA UTARATIBU WENYE KI- • Seti mbili za michoro ya vyuma
Kamati ya Kugawa Ardhi ya Manisa- BALI (Structural drawings scale 1:50) kwa
paa itatoa orodha ya wananchi walio- NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA majengo ya ghorofa.
kubaliwa kupata viwanja na kutan- UJENZI (BUILDING PERMIT)
gazwa rasmi kwa mujibu wa sheria ya 1. Kulingana na Sheria ya Ujenzi wa 4. MICHORO ILIYOANDALIWA IONYESHE
kugawa ardhi. Majengo Mijini Sura Na.101, si ru- NINI?
husa kwa mtu yeyote kujenga au Michoro itakayoandaliwa inatakiwa
Vi. Mwananchi ambaye jina lake lime- kuanza kujenga jengo bila ya:- ionyeshe mambo yafuatayo:-
kubaliwa kugawiwa kiwanja hufika i. Kutuma maombi kwa mamlaka • Namna jengo litakavyokuwa (plans,
katika Ofisi ya Ardhi ya Manispaa ku- ya mji. sections, elevations, foundation, roof
chagua kiwanja kulingana na ma- ii. Kuwasilisha michoro ya jengo na plan and site plan)
takwa yake tayari kwa kukilipia. kumbukumbu husika. • Ramani ya kiwanja (location Plan)
Vii. Mwananchi hupewa fom u III. Kupata kibali kwa maandishi kina- • Namba na eneo la kiwanja kilipo.
inayoonyesha gharama ya kiwanja choitwa “Kibali cha ujenzi • Jina la mmiliki wa ardhi inayohusika
(voucher) alichochagua. • Jina la mchoraji, ujuzi na anwani
Viii.Mwananchi atatakiwa kwenda 2. KIBALI CHA AWALI: • Ukubwa wa jengo kwa mita za
Wizara ya Ardhi kulipia kiwanja ali- (Planning consent): mraba
chokichagua na kupewa risiti ya Inashauriwa kupata kibali cha awali • Ujazo wa kiwanja (plot coverage)
malipo aliyofanya. Utaratibu wa kabla ya kuomba kibali cha ujenzi, • Uwiano (plot ratio)
malipo ni kuwa Hivyo muendelezaji anatakiwa aan- • Urefu wa jengo (height)
• Anaweza kulipa gharama yote • Matumizi yanayokusudiwa
mara moja au dae mchoro wa awali (sketch plans
scale 1:100, 1:200) akionyesha aina • Idadi ya maegesho yatakayoku-
• Anaweza kuanza kulipia kwa wepo
awamu baada ya kujaza fomu ya ujenzi atakaokusudia kufanya ili
aweze kupata • Umbali wa jengo kutoka kwenye
inayopatikana ofisini kwa Meneja ridhaa ya kuendelea na hatua za mipaka ya kiwanja (setbacks) na
Mradi. Awamu ya kwanza ni lazima kuandaa michoro ya mwisho. • Mfumo wa kutoa maji taka hadi
iwe nusu au zaidi kwenye mashimo
VIAMBATANISHO: • Kulipwa fidia iwapo jengo litabo- 1. -MSIMAMO WA SHERIA KUHUSU
• Fomu moja ya maombi iliyojazwa molewa kwa sababu maalum UHARIBIFU WA ALAMA ZA MIPAKA.
kwa usahihi. • Kuweza kupata mkopo kutoka 1. Mtu yeyote ambaye kwa matashi
• Hati ya kumiliki kiwanja au barua Taasisi za Fedha. yake mwenyewe bila kuidhinishwa na
ya toleo. MUDA Sheria (jambo ambalo litambidi athibit-
• Kumbukumbu nyingine zinazohusu Michoro itaidhinishwa ndani ya miezi ishe yeye binafsi) ataondoa, ataharibu
kiwanja hicho kama hati za mitatu (3) toka mwombaji awasilishe au atahamisha au atasababisha uon-
mauzo, makabidhiano n.k maombi, aidha ndani ya muda huo doshaji, uharibifu au uhamisho au aki-
• Nakala za risiti ya kodi ya kiwanja mwombaji ataarifiwa sababu za mi- badili makao ya, au akiumbua, akiten-
na kodi ya majengo. choro kutoidhinishwa kupata kibali gua, akifuata au kuvunja au akitimiza
• Mabadiliko ya matumizi ya ardhi cha ujenzi. uumbushaji, utengo, ufutaji au uvunjaji
Ramani ya kiwanja iliyosajiliwa. UENDELEZAJI USIO NA KIBALI wa alama yeyote, atakuwa na hatia
Hairuhusiwi kufanya uendelezaji nje ya chini ya sheria hii, na atastahili ad-
HATUA ZINAZOFUATWA KATIKA KU- ya mipaka ya kiwanja unachokimiliki habu ya shilingi zisizozidi laki saba na
SHUGHULIKIA MAOMBI YA KIBALI kama vile maeneo ya wazi, ma- ishirini elfu au kifungo kisichozidi miaka
Zifuatazo ni hatua zinazofuatwa wa- bonde n.k bila vibali vilivyotajwa. miwili au adhabu zote hizo mbili, na
kati wa kuchunguza michoro hiyo:- baraza linaweza kumwamuru kulipa
UMUHIMU WA KUTUNZA ALAMA ZA gharama ya kurudisha alama hiyo
• Kuwasilisha michoro na kulipa MIPAKA YA VIWANJA NA MASHAMBA pamoja na gharama ya upimaji uta-
gharama za uchunguzi (scrutiny Utangulizi kao andamana na urudishaji huo.
fee) Aina ya alama za mipaka ya viwanja 2. Hakuna chochote katika kifungu hiki
• Uhakiki wa miliki na mashamba:- kitakachoeleweka kama kitamuacha
• Kukaguliwa usanifu wa michoro mtu yeyote asishitakiwe au asihu-
• Kukagua kiwanja kinachoku- Vipande vya nondo vilivyoimarishwa kumiwe chini ya Sheria ya Kanuni ya
sudiwa kuendelezwa kwa zege; adhabu (Penal Code) au chini ya She-
• Uchunguzi wa matumizi ya jengo Tofali dogo la zege lililopigwa mhuri ria yeyote kuhusu kitendo
na uwiano wa herufi na namba chochote au ukosefu wa kutenda
•Uchunguzi wa Maafisa Afya Alama hizo zinazoonyesha mipaka kama ilivyoelezwa katika sehemu hii.
•Uchunguzi wa mipango ya uondoaji zinapaswa kuhifadhiwa kwa manu- 3. Si ruksa kwa mtu kufanya kazi yeyote
Majitaka faa ya kutambulisha mipaka ya ki-
•Uchunguzi wa tahadhari za moto wanja au shamba unalomiliki. Kwa ambayo huenda ikaharibu alama za
•Uchunguzi wa uimara wa jengo mujibu wa Sheria ya Upimaji Sura maboya (Trignometric stations) au
•Kuwasilisha kwenye kikao cha Ka- Na.390 ya mwaka 1957 na kama alama Kuu za kina cha urefu uliolingan-
mati ndogo ya Vibali vya Ujenzi ilivyorekebishwa mwaka 1997, ni
baada ya kukamilisha taratibu zote. kosa la jinai kuharibu au kusogeza ishwa na usawa wa Bahari
•Hatimaye kuandika na kutoa kibali. alama za mipaka. Chini ya Sheria hii (Fundamental Bench Marks) au ku-
vifungu Na.11 na Na.12 ambavyo tenda kazi karibu na alama hizo mu-
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA vimeainishwa hapa chini vinatoa
UJENZI adhabu ya faini au kifungo au vyote himu itakayohatarisha vitu hivyo.
•Kujenga nyumba ambayo imethibit- kwa pamoja na kugharamia 4. Mtu yeyote atakaye kwenda
ishwa kitaalamu kuwa ni salama gharama ya alama inayohusika kinyume cha masharti ya kifungu hiki
•Kuwa na mazingira bora kwa kuwa pamoja na kazi ya upimaji itakayo-
na mji uliopangwa. fanywa kurudishia alama hiyo. cha sheria atakuwa amevunja sheria hii
•Kuepuka hasara na usumbufu ikiwa na anastahili faini ya shilingi zisizozidi laki
ni pamoja na kushitakiwa mahaka- saba na ishirini elfu kifungo kisichozidi
mani, kuvunjiwa na kulipa gharama
miaka miwili au kuhukumiwa adhabu
zote hizo mbili
MANUFAA YA KUTUNZA ALAMA ZA
MIPAKA
•Alama za mipaka zikitunzwa wakati
wote miliki inapodumu zitaepusha mi-
gogoro ya mipaka
•Kuepuka mashauri mahakamani.
•Alama hizo ni chanzo cha upimaji
mwingine mpya au wa kurudishia
alama zilizoharibiwa.

You might also like