You are on page 1of 4

Fares Bashora Maso

Sunrise1917 – Sunset 10/02/2023


Order of Hymns
Bwana u sehemu yangu
Bwana u sehemu yangu, Mali hapa sikutaka, Niongoze safarini,

service Rafiki yangu, wewe,


Katika safari yangu,
Tatembea na wewe
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Mbele unichukue
Mlangoni mwa mbinguni
Niingie na wewe
Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Pamoja na wewe,
Saturday 18th February 2022 Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Pamoja na wewe,
Katika safari yangu, Heri nikute mashaka, Mlangoni mwa mbinguni
09.00am All gather at the tents Tatembea na wewe Sawasawa na wewe. Niingie na wewe

Mwamba Wenye Imara


09:30am Choir Performances
Mwamba wenye imara, kwako nitajificha Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria
Maji hayo na damu, yaliyotoka humo Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii
10.00am Eulogy and Tributes Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi. Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa

Sina cha mkononi, naja msalabani Nikungojapo chini, nakwenda kaburini


Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike Nipaapo mbinguni, nakukuona enzini
11.00am Speeches
Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa. Roho yangu na iwe, rahani mwako wewe

12.00pm Church Service Salama Moyoni


Nionapo amani kama shwari, Ingawa Shetani atanitesa,
12:40pm Viewing of the body Ama nionapo shida; Nitajipa moyo kwani;
Kwa mambo yote umenijulisha, Kristo ameona unyonge wangu,
Ni salama rohoni mwangu. Amekufa kwa roho yangu.
1:30pm Procession headed to
cemetery Salama, Salama, Dhambi zangu zote, wala si nusu,
Rohoni, Rohoni, Zimewekwa Msalabani;
Ni salama rohoni mwangu. Wala sichukui laana yake,
2.30pm Body laid to rest Ni salama rohoni mwangu.
2 Ee Bwana himiza siku ya kuja,
Panda itakapolia;
Utakaposhuka sitaogopa,
Ni salama rohoni mwangu.
Historia
Mzee Fares Maso alizaliwa mwaka wa 1917 katika mji
wa Rhoka alienda shule ya msingi ya Laini wakati wa
wamishonari. Alipata kipenzi chake cha maisha Lydia
Habisani wakabarikiwa na watoto saba ambao ni
Ghamakale Maso (Marehemu), Pauline Hagari Gwiyo,
Leana Koshi, Bayugu Maso, Edward kokani Shakala,
Doyo Phares na Buya Phares. Alibarikiwa na wajukuu
sitini na saba, vitukuu mia moja na ishirini na saba na
vilembwe ishirini na nne. Alifanya kazi ya ukulima ili
aweze kujikimu kimaisha.

Kanisa na Huduma
Marehemu mzee Fares Maso alikuwa miongoni mwa
waanzilishi wa kanisa mjini Laini baada ya kupokea
habari njema ya yesu Kristo kutoka kwa wamishonari.

Marehemu mzee Fares alilazimika kuhamia eneo la


ukulima huko scheme ambapo alikuwa mstari wa mbele
kuzindua hekalu la kimethodisti hapo Charkungu. Yeye
Pamoja na wengine aliwahamasisha watu kushiriki katika
ibada jumapili.
Imani
Marehemu alilinda Imani yake kwani alikuwa akizingatia
na kutegemea maombi hata wakati wa kipindi kigumu cha
kuugua kwake na uzee. Alimkiri yesu na kumwamini
kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yake.

Tulimpenda lakini Mungu alimpenda Zaidi. Mungu


aipokee roho yake.
friend.

Rest in Peace

You might also like