You are on page 1of 5

TAREHE 02/07/2021 TAREHE 02/07/2021

SEHEMU YA: 03(a): YA MAPITIO YA NUSU MWAKA (DESEMBA………………….)

Ijazwe na mtumishi anaepimwa kwa makubaliano na msimamizi wa kazi

3.1 3.2 3.3. Maendeleo ya utekelezaji 3.4. Sababu yenye


Namba malengo yaliyokubalika kufikia lengo kuathiri utekelezaji
(kama sehemu ya 2)

1. KUENDESHA MAGARI YA KUWAFIKISHA WATUMISHI AU HAKUNA


MAMLAKA. VIFAA VYA MAMLAKA SEHEMU
INAYOITAJIKA KWA WAKATI.
2. KUHAKIKISHA GARI LA MAMLAKA KUPELEKA GARI SERVICE KWA HAKUNA
LINATUNZWA NA KUFANYIWAA WAKATI NA KWA KUZINGATIA
SERVICE KWA MAELEZO YA KILOMETA ZINAZOTAKIWA NA
MUUNDAJI NA KUFANYIA USAFI. KULIFANYIA USAFI WA WAKATI.
3. KUTOA TAARIFA YA MATATIZO AU KUNG’AMUA MATATIZO AU HAKUNA
UBOVU WA GARI SEHEMU HUSIKA UBOVU WA GARI NA KUTOLEA
SEHEMU HUSIKA KWA WAKATI.
4. KUANDIKA TAARIFA ZA SAFARI KUHAKIKISHA SAFARI ZOTE UHABA WA VITABU
ZOTE ZA GARI ZA KIKAZI KATIKA ZINAANDIKWA KWENYE KITABU VYA KUANDIKIA
KITABU CHA SAFARI (LOG BOOK) CHA SAFARI WAKATI WA KUTUNZA
NA KUTUNZA KUMBUKUMBU KUTOKA NA WA KUFIKA KUMBUKUMBU ZA
HIZO KAMA INAVYOELEKEZWA NA NINAKOENDA NA KURUDI SAFARI (LOG BOOK)
MAMLAKA
5. KUTEKELEZA MAJUKUMU KUHAKIKISHA MAJUKUMU HAKUNA
MENGINE YOTE YA KIKAZI MENGINE NINAYOPEWA
NITAKAYOPEWA NA KIONGOZI NAYATEKELEZA KWA UFANISI
WANGU NA KWA WAKATI
SEHEMU YA 4: KUREKEBISHA MALENGO (PALE INAPOHUSIKA)

Ijazwe na mtumishi anaepimwa kwa makubaliano na msimamizi wa kazi

4.1 4.2 Marekebisho ya 4.3 Malengo ya 4.4 videzo vya 4.5 Mahitaji ya
malengo yaliyokubalika utendaji utendaji rasilimali
yaliyokubalika vilivyokubalika zilizokubalika

4.6 Mtumishi anayepimwa 4.7 Msimamizi wa kazi

…………………………………… ………… ………………… ………………………………….. ………… …………………

Jina(kwa herufi kubwa) Saini Tarehe Jina(kwa herufi kubwa) Saini Tarehe

SEHEMU 5: UPIMAJI WA UTENDAJI KAZI WA MWAKA (JUNI………………………………………….)


Ijazwe na mtumishi anaepimwa kwa makubaliano na msimamizi wa kazi

5.1 5.2 Malengo Yaliyokubalika 5.3maendeleo Ya 5.4 Alama Iliyotolewa


Utekelezaji Wa Mlengo
Yaliyofikiwa
mtumishi msimamizi Alama
zilizofikiwa
1 KUENDESHA MAGARI YA LIMETEKELEZWA 1
MAMLAKA
2 KUHAKIKISHA GARI LA MAMLAKA LIMETEKELEZWA 2
LINATUNZA NA KUFANYIWA
SERVICE KWA MAELEKEZO YA
MUUNDAJI PAMOJA NA
KULIFANYIA USAFI
3 KUTOA TAARIFA YA MATATIZO LIMETEKELEZWA 1
YA UBOVU WA GARI SEHEMU
HUSIKA
4 KUANDAA TAARIFA YA SAFARI LIMETEKELEZWA 1
ZOTE ZA GARI ZA KIKAZI KATIKA
KITABU CHA SAFARI (LOG BOOK)
NA KUTUNZA KUMBUKUMBU
HIZO KAMA INAVYOELEKEZWA
NA MAMLAKA
5 KUTEKELEZA MAJUKUMU YAMETEKELEZWA 2
MENGINE YOTE YA KIKAZI
NITAKAYOPEWA NA KIONGOZI
WANGU
Jumuisho la kiwango cha alama za utendaji: 1.4
Jumuisho hili lioneshe mafanikio ya malengo ya utekelezaji
yaliyokubalika sehemu ya 5
Alama

1 = utekelezwaji wa malengo yote na ya ziada kwa ufanisi

2 = utekelezaji wa malengo yote kwa ufanisi

3 = utekelezaji wa wastani kwa malengo yote

4 = utekelezaji usioridhisha ambao ni chini ya wastani bila sababu ya kutosha

5 = utekelezaji usioridhisha na usiozingatia malengo


SEHEMU YA 6: SIFA ZA UTENDAJI BORA

Ijazwe na mtumishi anaepimwa kwa makubaliano na msimamizi wa kazi

6.1 6.2 Vigezo Muhimu 6.3 Ubora Wa Sifa 6.4 Alama Iliyotolewa
Namba
1. MAHUSIANO KAZINI mtumishi msimamizi Alama
zilizofikiwa
Uwezo wa kazi 1
Uwezo wa kushirikiana na wenzako 1
Uwezo wa kustahiliwa na wenzio 2
2. MAWASILIANO NA Uwezo wa kujieleza kimaandishi 2
USIKIVU Uwezo wa kujieleza kwa kunena 2
Uwezo wa usikivu na ufahamu 2
Uwezo wa kufunza na kuendeleza 1
3. UONGOZI NA Uwezo wa kupanga na kusimamia 2
USIMAMIZI Uwezo wa kuongoza, kuhamasisha na 2
kutatua migogoro
Uwezo wa ubunifu na uanzishaji 2
4. UBORA WA UTENDAJI Uwezo wa kutoa matokeo sahihi kwa 2
wakati
Uwezo wa kuhimili utekelezaji na 1
kuendelea kwa muda mrefu
5. UTENDAJI Uwezo wa kufikia malengo 2
UNAOZINGATIA WINGI Uwezo wa kumudu majukumu 1
WA MATOKEO
6. UWAJIBIKAJI NA UTOAJI Uwezo wa uwajibikaji katika kutekeleza 2
WA MAAMUZI majukumu
Uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa 1
wakati muafaka
7. KUTHAMINI WATEJA Uwezo wa kuhudumia wateja 1
8. UAMINIFU Uwezo wa kuonesha stadi za uongozi 2
Uwezo wa kumsaidia kiongozi 2
kutekeleza majukumu yake
Uwezo wa kupokea na kutekeleza 1
maelekezo
9. UADILIFU Uwezo wa kutekeleza majukumu 2
kikamilifu kwa muda uliopangwa
Kutoa Huduma bila vishawishi 1
Uwezo wa kutumia taaluma kwa 1
manufaa ya umma
Jumuisho la kiwango cha alama 1.43
za utendaji sehemu ya 6
Alama:

1 = utekelezaji wa majukumu yote na ya ziada kwa ufanisi

2 = utekelezaji wa majukumu yote kwa ufanisi

You might also like