You are on page 1of 9

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA.9/259/01/A/421 30/10/2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs
anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-11-01 hadi 2023-11-09 na hatimaye kuwapangia vituo
vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili
wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na
sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha
Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,
kidato cha IV, Kidato cha VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na
kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.

v. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results,

hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips)
HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

viii. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)

ix. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa
hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa
na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.

x. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na
vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

xi. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na
kunakili namba ya usaili kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
xii. Msailiwa haruhusiwi kuja na simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye eneo la
usaili.
RATIBA YA USAILI

TAREHE TAREHE TAREHE

YA YA YA
Na. MWAJIRI KADA USAILI MAHALI USAILI MAHALI USAILI MAHALI
WA WA WA MAH
MCHUJO VITENDO OJIANO
AFISA U
SAFIRIS
HAJI
DARAJA Sun, Nov Thu, Nov
MDAs & UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL PSRS D
1 LA II (TR 5, 2023 HAKUNA HAKUNA 9, 2023
LGAs CAFÉ THEATRE 1 ODOMA
ANSPOR 10:00 AM 7:00 AM
T
OFFICER
II)
MSAIDIZI
WA
HESABU Wed, Nov
MDAs & PSRS D
2 II (ACCO HAKUNA HAKUNA HAKUNA HAKUNA 1, 2023
LGAs ODOMA
UNTS AS 7:00 AM
SISTANT
II)
AFISA U
NUNUZI
DARAJA
Sun, Nov Thu, Nov
MDAs & LA II (PR UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE PSRS D
3 5, 2023 HAKUNA HAKUNA 9, 2023
LGAs OCUREM (AUDITORIUM HALL) ODOMA
10:00 AM 7:00 AM
ENT
OFFICER
II)
TAREHE TAREHE TAREHE
YA YA YA
Na. MWAJIRI KADA USAILI MAHALI USAILI MAHALI USAILI MAHALI
WA WA WA MAH
MCHUJO VITENDO OJIANO
AFISA
UGAVI
DARAJA Sun, Nov Thu, Nov
MDAs & UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE PSRS D
4 LA II (SU 5, 2023 HAKUNA HAKUNA 9, 2023
LGAs (AUDITORIUM HALL) ODOMA
PPLIES 7:00 AM 7:00 AM
OFFICER
II).
FUNDI
SANIFU
DARAJA
LA II
UPIMAJI Sat, Nov Wed, Nov
MDAs & UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL PSRS D
5 ARDHI 4, 2023 HAKUNA HAKUNA 8, 2023
LGAs CAFÉ THEATRE 1 ODOMA
(LAND T 10:00 AM 7:00 AM
ECHNICI
AN
SURVEY
II)
AFISA
UGAVI
MSAIDIZI
DARAJA
Sat, Nov Wed, Nov
MDAs & LA II (AS UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE PSRS D
6 4, 2023 HAKUNA HAKUNA 8, 2023
LGAs SISTANT (AUDITORIUM HALL) ODOMA
7:00 AM 7:00 AM
SUPPLIE
S
OFFICER
II)
TAREHE TAREHE TAREHE
YA YA YA
Na. MWAJIRI KADA USAILI MAHALI USAILI MAHALI USAILI MAHALI
WA WA WA MAH
MCHUJO VITENDO OJIANO
AFISA U
NUNUZI
MSAIDIZI
DARAJA
Sat, Nov Wed, Nov
MDAs & LA II (AS UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE PSRS D
7 4, 2023 HAKUNA HAKUNA 8, 2023
LGAs SISTANT (AUDITORIUM HALL) ODOMA
10:00 AM 7:00 AM
PROCUR
EMENT
OFFICER
II)
FUNDI
SANIFU
DARAJA
Sun, Nov Wed, Nov Thu, Nov
MDAs & LA II (UJ UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL VETA DO PSRS D
8 5, 2023 8, 2023 9, 2023
LGAs ENZI)-TE CAFÉ THEATRE 1 DOMA ODOMA
7:00 AM 7:00 AM 7:00 AM
CHNICIA
N II
(CIVIL)
MWAJIRI: MDAS & LGAS
KADA: AFISA USAFIRISHAJI DARAJA LA II (TRANSPORT OFFICER II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 05 November 2023
MUDA: 10:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL CAFÉ THEATRE 1
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 09 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

P.O BOX 2016, MBEYA,
1 VICTOR ROMANUS WILLA
MBEYA

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: MSAIDIZI WA HESABU II (ACCOUNTS ASSISTANT II)
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 01 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

P.O BOX 36009,
P.O BOX 353, DODOMA,
1 ISAACK FRANCIS AMULIKE 2 ALOYCE EMANUELY TATI KIGAMBONI, DAR ES
DODOMA
SALAAM

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: AFISA UNUNUZI DARAJA LA II (PROCUREMENT OFFICER II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 05 November 2023
MUDA: 10:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE (AUDITORIUM HALL)
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 09 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA
Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI
P.O BOX 9213, ILALA, DAR P.O BOX 10782, UBUNGO,
1 ASIMWE DAVID KYARUZI 2 ABASI MAKALA YAHYA
ES SALAAM DAR ES SALAAM
P.O BOX 66713,
P.O BOX 2888, DODOMA,
3 ELIN JOSIAH TEULAS KINONDONI, DAR ES 4 EGIDIUS PASTORY TASHABWA
DODOMA
SALAAM
P.O BOX 0655671203, P.O BOX 12426,
5 RIGOBERT ALEX MARO KINONDONI, DAR ES 6 JOSEPHINE JOHN ZACHARIA KINONDONI, DAR ES
SALAAM SALAAM

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: AFISA UGAVI DARAJA LA II (SUPPLIES OFFICER II).
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 05 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE (AUDITORIUM HALL)
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 09 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

CONSOLATA ANTHONY P.O BOX 100229, TEMEKE, P.O BOX 9213, ILALA, DAR
1 2 ASIMWE DAVID KYARUZI
MWAIMU DAR ES SALAAM ES SALAAM
P.O BOX 12426,
P.O BOX 2077, DODOMA,
3 NAOMI STANLEY MKUNDA 4 JOSEPHINE JOHN ZACHARIA KINONDONI, DAR ES
DODOMA
SALAAM
P.O BOX 1378, KIGOMA,
5 REHEMA NAFTAR BIKAKA
KIGOMA

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 04 November 2023
MUDA: 10:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL CAFÉ THEATRE 1
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 08 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

P.O BOX 1062, DODOMA,
1 ANDERSON SAMWEL MAGERO
DODOMA

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: AFISA UGAVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT SUPPLIES OFFICER II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 04 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE (AUDITORIUM HALL)
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 08 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

P.O BOX 104610, TEMEKE,
1 BAKARI MAULIDI RAMADHANI 2 ABDUL KHALIFA STAMBULI
DAR ES SALAAM

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: AFISA UNUNUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT PROCUREMENT OFFICER II)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 04 November 2023
MUDA: 10:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) - CIVE (AUDITORIUM HALL)
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 08 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA
Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI
P.O BOX 3014, ARUSHA, P.O BOX 3070, MOSHI,
1 NAILEJILEJI LOMAYAN MOLLEL 2 BRIAN MAGNUS KIRENGA
ARUSHA KILIMANJARO

MWAJIRI: MDAS & LGAS

KADA: FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI)-TECHNICIAN II (CIVIL)
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO: 05 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – CBSL CAFÉ THEATRE 1
TAREHE YA USAILI WA VITENDO: 08 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: VETA DODOMA
TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO: 09 November 2023
MUDA: 07:00:00 AM
MAHALI: PSRS DODOMA

Na. JINA LA MWOMBAJI ANUANI

P.O BOX 2958, ILALA, DAR
1 WILLIAM ROBERT MATIKU
ES SALAAM

LIMETOLEWA NA;

KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

You might also like