Professional Documents
Culture Documents
Hassan Omar Haji
Hassan Omar Haji
ZANZIBAR.
22/08/2023.
KAMISHINA
ZIMAMOTO NA UOKOZI.
ZANZIBAR.
IMPITIE.
ZANZIBAR.
Mimi ni NCO mwenye namba F 2056/ CPL Hassan Omar Haji wa kikosi cha zima moto na uokozi
nilieajiriwa kwenye intake 02 sehemu yangu ya kazi ni mji salama [CCTV].
Naomba kuongeza mkataba wangu wa kuendelea na kazi kwa muda wa miaka mitatu (3) ijayo.
Mkuu nategemea ombi langu hili litaikiriwa na kukubaliwa kwa moyo wa huuma tu naukizingatia kuwa bado
mimi ni NCO na mwenye afya njema.
Ahsante
……………………………