You are on page 1of 4

MAKUBALIANO YA UJENZI WA FREMU MBILI.

MAKUBALIANO HAYA YAMEFANYIKA siku ya tarehe ……….. ya mwezi wa ………

mwaka 20…….

BAINA YA

Ndugu ……………………………...…………. Wa nambari ya simu ………………………..

ambaye ndani ya mkataba huu atajulikana kama MMILIKI WA ARDHI.

NA

Ndugu ……………………...…………………… wa nambari ya simu ………………………

ambaye ndani ya mkataba huu atajulikana kama MJENZI.

KWA KUWA:

a) MMILIKI WA ARDHI kwa hiari yake na akiwa na akili timamu anamruhusu

Ndugu …………………………………… kujenga fremu mbili katika kiwanja chake

namba……………………. Kilichopo……………..……………………….. Wilaya ya

……………………. Dar es Salaam kwa masharti yaliyoainishwa katika mkataba

huu.

b) Na kuwa MJENZI, kwa hiari yake bila kushurutishwa na mtu yuko tayari kujenga

fremu mbili katika eneo la ………………...………………… katika kiwanja namba

……………..…………..... kilichopo………………………………………. Wilaya ya

……………............ Dar es Salaam kwa kuzingatia masharti yanayoainishwa katika

mkataba huu.
WAHUSIKA WA MKATABA HUU WANAKUBALIANA YAFUATAYO:

a) KWAMBA mkataba huu utaanza kutekelezwa siku ya tarehe ………………… ya

mwezi wa ……………… mwaka 20………. Na kuhitimishwa siku ya tarehe

………………… ya mwezi wa ……………….. mwaka 20……………

b) KWAMBA MJENZI atajenga fremu mbili kwa gharama ya shillingi

……………………….... za kitanzania kwa kuzingatia masharti waliyokubaliana na

MMILIKI WA ARDHI katika kiwanja namba ………………………….....

kilichopo ……………………..…………………. Wilaya ya ………..……............

Dar es Salaam

c) KWAMBA MJENZI atachukua asilimia 60% ya mapato ya fremu zote mbili

ambayo ni sawa na shillingi ………………………... za kitanzania na MMILIKI

WA ARDHI atachukua asilimia 40% ya mapato katika fremu ambayo ni sawa na

shillingi ………………………………….. za kitanzania.

d) KWAMBA wahusika katika mkataba huu wanatakiwa kufata masharti na

makubaliano yaliyoainishwa katika mkataba huu, kushindwa kutekeleza majukumu

yako yanaweza kupelekea kumlipa mmoja wapo fidia.

e) KWAMBA wahusika katika mkataba huu wanakubaliana kwa kuzingatia masharti ya

uwazi, uwajibikaji na uzingatiaji wa kanuni za kisheria.

f) KWAMBA mgogoro au utofauti wowote utakaojitokeza baina ya wahusika ambao

hauwezi kusuruhishwa kwa amani baina ya wahusika, yatasuruhishwa kwa mujibu

wa sheria za nchini Tanzania.


KWA KUTHIBITISHA: yote yaliyotangulia, pande zote mbili za mkataba (MMILIKI WA

ARDHI NA MJENZI) zinaweka sahihi ya makubaliano ya kutekeleza yaliyoafikiwa hapo juu

kama inavoonekana hapo chini.

UMESAINIWA hapa DA ES SALAAM na

………………………………………….

Ametambulishwa na . ……………………………

Ambaye namfahamu binafsi mbele yangu leo MMILIKI WA ARDHI

Tarehe ………… Mwezi ………… Mwaka ………….

MBELE YANGU

Jina: …………………………………………………

Sahihi: ………………………………………………

Anuani S.L.P: ………………………………………

Namba za Simu: ……………………………………

Wadhifa: ……………………………………………

UMESAINIWA hapa DA ES SALAAM na

………………………………………….

Ametambulishwa na . ……………………………

Ambaye namfahamu binafsi mbele yangu leo MJENZI

Tarehe ………… Mwezi ………… Mwaka ………….


MBELE YANGU

Jina: …………………………………………………

Sahihi: ………………………………………………

Anuani S.L.P: ………………………………………

Namba za Simu: ……………………………………

Wadhifa: ……………………………………………

You might also like